FLORA MVUNGI AJIZIBA ‘NANILIU’ KWA MIKONO!

Na Erick Evarist
SIKU chache baada ya kuvishwa pete ya uchumba, bibi harusi mtarajiwa ambaye ni mwigizaji Bongo, Flora Mvungi amenaswa akiwa ametinga kivazi kifupi kilichosababisha maeneo yake muhimu kuwa wazi.
Mpango mzima ulipigwa chabo na paparazi wetu juzikati katika Viwanja vya Leaders Club ambapo mwanadada huyo alikuwa ametimba kula bata na mchumba wake,  Hamis Ramadhan ‘H.Baba’.
Akiwa maeneo hayo, kutokana na nguo fupi aliyokuwa amevaa, kuna wakati alijikuta akikaa vibaya na kuzifanya sehemu zake nyeti kuonekana ambapo alilazimika kutumia mikono yake kujisitiri.
Hata hivyo, kivazi hicho kilisababisha minong’ono kwa baadhi ya watu waliokuwepo eneo hilo. “Mh! Hiki kivazi cha shemeji leo balaa. Ona kila akiweka pozi, mambo yanakuwa hadharani, mastaa wetu bwana” alisikika akisema mmoja wa wanaume waliokuwa wakimpiga chabo.

Views: 6207

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by rogers katabarwa on October 24, 2012 at 3:01pm

kumbe demu huyu ni mbovu...magazeti yanampa promo

 

Comment by NANZIA P. MSHANA on October 11, 2012 at 4:09pm

HEYIIIII BI ARUSI MTARAJIWA UNAWAONYESHA NINI WAKWE ZAKO?

Comment by mihayo bugali on October 10, 2012 at 1:08pm

Tuachie tuone mbunye yako kama inalipa tukutafute mwaya!!!

Comment by Halima Kimoto on October 9, 2012 at 1:53pm

Kuvaa viguo vifupi sio uzungu wala umagharibi mila na tamaduni za kitanzania haziruhusu kuvaa hivyo vivazi mvaavyo mnaonesha nini hasa twataka kujua?

Comment by pjoan audes on October 8, 2012 at 3:01pm

Sasa kama alikuwa ameongozana na mchumba wake na hajakerwa na kivazi chake sisi inatuhusuje?!

Comment by Matilanga Lukingita on October 8, 2012 at 2:39pm

Mmmh sasa huyu naye atakuwa mkamwana wa wasukuma kweli??? Ninavyowafahamu wasukuma na heshima zao!!! Sijui

 

Comment by Ndegesha on October 6, 2012 at 3:15pm

hawo ndio wanaacha watu atu kufanya thambi

 

Comment by David Wagwene on October 6, 2012 at 9:51am

sasa na ww H baba mwenzio anavaa hivyo hata kumtonya au ndio kuogopa kuachwa kwa kumuachia uhuru kwa 100%????????Flora hicho unachotaka kila m2 akione tambua anayetakiwa kukiona ni Hbaba tu nacmwingine au ulikuwa na malengo gani sissy??????

Comment by john bosco on October 6, 2012 at 12:27am

KWANI KUNA ALIYEMLAZIMISHA KUVAA???????????? SHE IS SHAME OF HER OWN ACT!!!!!!!!!!!!!

Comment by Jerry Jerry on October 5, 2012 at 5:22pm

NYAUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ Dec 16. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 10 hours ago. 13 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by maleka sakeha yesterday. 30 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson 9 hours ago. 13 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 11 hours ago. 38 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }