Na Hemed Kisanda
Sexy lady wa Bongo Movies, Flora Mvungi anatamani kujiunga katika dini inayodaiwa kuwa ni ya kishetani ya Freemason, Amani linashuka nayo.

Akizungumza na gazeti bora la mastaa Bongo, Amani, hivi karibuni, staa huyo wa muvi ya Domestic Love aliweka ‘pleini’ kwamba amekuwa akisikia simulizi nyingi zinazohusu dini hiyo na kupata ushawishi mkubwa wa kujiunga nayo.

Flora alidai kuwa, alipata hamasa zaidi baada ya kusikia habari za kuwepo sherehe maalum iliyofanywa na waumini wa Freemason hivi karibuni.

“Nilikuwa nasikia simulizi tu kuhusu Freemason lakini juzi juzi nimeambiwa wamefanya sherehe yao kwenye ukumbi mmoja hapa Dar, natamani sana kuingia kwenye dini hii ili nijue inakuwaje ukiwa huko,” alimalizia Flora.

Views: 659

Tags: amani11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by hamza salum on April 12, 2011 at 12:35am

ni sawa na kusema unatamani kuingia mtoni uone inakuaje,ina maana hujui kuingia kwenye moto kua ni kuangamia

Comment by Sebastian Salatiel Shemhilu on November 12, 2010 at 9:36am
WE NENDA UKAFE, NADHANI KIFO KINAKUITA NA HIO AKILI YA KUJIUNGA NA DINI HIYO NI USHETANI UMEKUINGIA AKILINI
Comment by Agatha Mwasimba on November 8, 2010 at 11:25am
bila shaka akili yake itakua imechakachuliwa
Comment by Akram on November 7, 2010 at 9:33pm
DUH HUYU KAPIGA MAHESABU YAKE ANAJUA HUKO KUNA PESA NINI?
Comment by shola ama on November 5, 2010 at 4:40pm
c ilimradi anatoka kwenye gazeti
Comment by Leyla khamis on November 5, 2010 at 12:42pm
Duh hili demu jinga kweli kweli! Umesahau kuwa kuna siku ya mwisho? Kichwa chako!
Comment by brian julius maka on November 5, 2010 at 9:20am
dada tabu ya nini wakati kila kitu kipo at your access!!
Comment by brian julius maka on November 5, 2010 at 9:19am
Dada tabuu ya ninI?? wAKATI MZEE WETU YUPO!! Shekeh
Comment by vita wilbards on November 4, 2010 at 5:31pm
KAMA ANATOA TIGO APATE PESA ILI AMTUMIZI YAKE YAWE YA KI STAR ITAKUWA KUJIUNGA NA FREE MASONS? JIANDAE KUTOA SADAKA BIBIE KAMA NI MAMA AU BABA YAKO AU MWANAO
Comment by justine baranyikwa on November 4, 2010 at 4:44pm
Utaingia mara ngapi wakati mambo yako ni ya kifreemason

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ Dec 16. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 13 hours ago. 13 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by maleka sakeha yesterday. 30 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson 11 hours ago. 13 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 13 hours ago. 38 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }