FLORA, H- BABA NDOA SASA NI JUNE 8

Na Gladness Mallya
WALE wasanii wawili waliodumu kwenye uchumba kwa muda mrefu, Ramadhan Baba ‘H.Baba’ na Flora Mvungi wameamua kuvunja ukimya na kutangaza rasmi kuwa wanatarajia kufunga ndoa Juni 8, mwaka huu.

Ramadhan Baba ‘H.Baba’ na Flora Mvungi.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Flora alisema wale waliokuwa wakidhani uchumba wao ni geresha walie tu kwani siku ya kutimiza ndoto yao ya kuishi kama mke na mume imekaribia.

H.Baba alipomvisha pete ya uchumba Flora Mvungi.

“Tuko kwenye maandalizi ya ndoa yetu baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, sasa tumeamua kufunga ndoa na sherehe ya ndoa itafanyika Juni 8, sendoff Juni 4 mwaka huu ikiwa Mwenyezi Mungu atatujaalia uzima,”alisema Flora ambaye kwa sasa ni mjamzito.

Views: 2433

Tags: ijumaa11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by SALA on May 30, 2013 at 10:08am

Inshalllah tumuombe mungu ifika kwa amani.

Comment by meggie impostra on May 26, 2013 at 5:14pm

hayaa hongera kwa yoteee tuanisubiliaaa kwa hamuuu

Comment by julius manning on May 25, 2013 at 1:45pm

kila la heri

Comment by Ana Said on May 24, 2013 at 9:06pm

huyo ajae atakuwa mtoto wa pili

Comment by Mathilda Kayagambe on May 24, 2013 at 4:29pm

Watu lazima wa-taste mashine kama inafanyakazi jamani. Hakuna anaetaka kununua mashine mbovu. Haya kila la heri katika ndoa na uzae salama.

Comment by LJH_3 on May 24, 2013 at 2:54pm
Kwahiyo H-Baba alikuwa anangoja aone kama una mbegu za kuzalishwa ndio ameamua kukuoa kwanini asikuoe wakati huna mimba ili ule honeymoon yako kwa raha na sio kwa kutema mate ovyo na kula embe mbichi,hata siku ya harusi huta-enjoy kwa kweli sbb utachagua vyakula na kuchoka haraka
Comment by FURAHA TAUSI on May 24, 2013 at 11:44am

HONGERA MAMA KIJACHO

Comment by samora rajab albert on May 24, 2013 at 11:38am

kila la kheir

Comment by hope on May 24, 2013 at 11:33am

Haya tunasubiri na kila la kheri

Comment by shabani abdallah nguluko on May 24, 2013 at 10:34am

mungu awajalie ndoa yenu

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 40 minutes ago. 13 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by maleka sakeha 23 hours ago. 30 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 1 hour ago. 38 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }