Faida na hasara ya ndoto za mapenzi

Miongoni wa makundi ya vijana hasa wenye umri wa kati miaka 15-23 wengi wao huota wakifanya mapenzi ndotoni, lakini mbali na hao kuna watu wazima pia ambao hukumbwa na tukio hili. Uotaji wa ndoto hii umekuwa ukitafsiriwa na wengi kwa maana tofauti tofauti, huku wengine wakiuhusisha na ufanyaji mapenzi na Majini.

Uchunguzi unaonyesha kuwa uotaji ndoto za kimapenzi huwatokea hata watu ambao hawajawahi kufanya kitendo hicho kabisa, huku watu wanaofanya nao wakiwa ni wale wanaowafahamu kwa sura au wasiowafahamu. Wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi juu ya nini kinachangia uotaji huu wa ndoto za kimapenzi?

Kitaalamu ndoto hizi hutokana na mawazo ya mtu husika ambayo yanaweza kugawanywa katika sehemu mbili ambazo ni MAWAZO YALIYO WAZI au YALIYOJIFICHA. Mtaalamu wa masuala ya ndoto Daktari Gillian Holloway anaeleza kuwa ndoto hizi hufumbua maamuzi na hisia zilizojificha nyuma ya ubongo.

Pamoja na tendo hili kuwa baya katika mitazamo ya wengi hasa kiimani, lakini bado si kitaalamu halina ubaya kwa kiwango hicho kwani mara nyingine husaidia kutafsiri yale ambayo wahusika hawakupata kuyafahamu kabla.

Kwa mfano vijana ambao hawajafanya mapenzi hupata kutambua raha itokanayo na kitendo hicho na hivyo kuwaamshia hisia za kimapenzi ambazo pengine hawakuwa nazo hapo awali.

Wachunguzi wa masuala ya ndoto wanasema ndoto hizi zikitumika vizuri zinaweza kusaidia kumpata mchumba anayegusa hisia za moyo, aina ya mapenzi yanayokufurahisha, haiba ya mpenzi umpendaye na wakati mwingine huchangia kuongeza uzalishaji wa homoni na kupunguza msongo wa mawazo sawa na mtu aliyefanya mapenzi laivu.

Hata hivyo watu wanaotajwa kutokewa na kitendo hicho mara kwa mara ni wenye tabia ya kuogopa wanaume/wanawake na hivyo kuzikandamiza hisia zao, pamoja na wale wanaochochea hamasa za kingono na kutokuzikata, (mfano kufanya romance na kuachana bila kuingiliana), wanaotazama picha za ngono, wanaozungumzia sana mambo ya kimapenzi na wale wanaowaza sana wapenzi wao walio mbali.

Kwa maana hiyo ili mtu asiweze kutokewa na ndoto hizo hana budi kujizuia na mambo hayo yanayotokana na uamshaji na ukandamizaji wa hisia za kingono. Hii ina maana ya utashi wa mtu wa kutopenda kuota, lakini si kwamantiki kuwa uotaji huu unauhusiano na mambo ya kishirikina au kichawi kama ambavyo watu wengine wanavyoaminishwa.

Mwisho kama kuna wanaodhani kuwa ndoto hizi zimewadhuru kwa namna moja au nyingine, wafahamu kuwa kilichowadhuru si kuota ndoto hizo bali ni wasiwasi wao unaotokana na kusikia na wala si madhara kwa maana ya kuota kwenyewe, kwani ikiwa ni ndoto hata wanyama kama Mbwa, Paka na Sungura nao huota wakifanya mapenzi, ushahidi ambao unatosha kutupilia mbali hoja ya ndoto kutokana na majini.

Views: 1641

Tags: mahaba11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Doreen S. Lema on May 3, 2011 at 5:53pm
Nashukuru sana kuipata mada hii mi ni mmojawapo muotaji sana wa ndoto hizi na nimejua sababu kuwa ni umbali nilio nao na nimpendae hivyo kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu. Nilidhani ni majini mahaba km wasemavyo wengi,nimekuwa nikikosa raha sana baada ya ndoto hizi. assantee sana.
Comment by lion on December 8, 2010 at 4:47am
HAHA HII NI NZURI
Comment by Sarah Anuary on December 7, 2010 at 11:13pm
Kweli kabisa si mambo ya kishirikina yameshatupata wengi na ni kwa ajili ya kuwa mbali na umpendae na pia kuongelea sana mambo ya ngono na picha hata kama si ngono ila za kimapenzi pengine za umpendae naliunga sana mkono jambo hilo.

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch Oculus Online http://w.atch.me/tu9E1r Watch Oculus Online http://w.atch.me/tu9E1r"
14 seconds ago
Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch Oculus Online http://w.atch.me/tu9E1r Watch Oculus Online http://w.atch.me/tu9E1r"
22 seconds ago
Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch Oculus Online http://w.atch.me/tu9E1r Watch Oculus Online http://w.atch.me/tu9E1r"
30 seconds ago
Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch That Awkward Moment Online http://w.atch.me/GXKIhc Watch That Awkward Moment Online http://w.atch.me/GXKIhc"
45 seconds ago
Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch That Awkward Moment Online http://w.atch.me/GXKIhc Watch That Awkward Moment Online http://w.atch.me/GXKIhc"
52 seconds ago
Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch That Awkward Moment Online http://w.atch.me/GXKIhc Watch That Awkward Moment Online http://w.atch.me/GXKIhc"
1 minute ago
Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch A Walk Among the Tombstones Online http://w.atch.me/vWP3uj Watch A Walk Among the Tombstones Online…"
1 minute ago
Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch A Walk Among the Tombstones Online http://w.atch.me/vWP3uj Watch A Walk Among the Tombstones Online…"
1 minute ago
vanhelsing posted a status
1 minute ago
Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch A Walk Among the Tombstones Online http://w.atch.me/vWP3uj Watch A Walk Among the Tombstones Online…"
1 minute ago
vanhelsing posted a status
1 minute ago
Md Mosharraf Khan posted a status
"Watch The November Man Online http://w.atch.me/yeJhQr Watch The November Man Online http://w.atch.me/yeJhQr"
2 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }