Kwa taarifa zaidi kuhusu picha hii soma HAPA
Comment
Comment by Ally O. Mapinda on February 29, 2012 at 2:04pm Nimefurahi sana kuiona hii picha, maana hawa jamaa huku ulaya wanatuona watu weusi ni kama nyani, so nadhani ingekuwa poa waone picha kama hii, maana ishu za kibaguzi daily huwa zinaanzia kwa mtu mweupe kumbagua mweusi. Safi sana
Comment by lumi mwandelile on February 28, 2012 at 2:15pm PICHA INAUKWELI KABISA
Comment by samora rajab albert on February 26, 2012 at 10:02pm mh sidhani
Comment by julius manning on February 26, 2012 at 5:43pm kwa vitendo vya binadamu ni ukweli mtupu
Binaadamu hawezi geuka mnyama ila naamini kuishi kwako inabidi kujiangalia kiafya.Kula chakula bora na mazoezi kila siku ili kujilinda na magonjwa pamoja na kuongezeka uzito.Na kuongezeka uzito unaweza kusababisha kunenepa na kujikuta unabadilika kimaumbile na kuonekana "shapeless"yaani umbo limekaa vibaya halipendezi.Pombe inachangia sana kwa kuongezeka kwa mwili na magonjwa ya ajabuajabu.
Comment by Bob Fernandes on February 26, 2012 at 12:57pm
Comment by Lightness Alex Kweka on February 26, 2012 at 12:01pm mh@!
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
Sili Silali |
| 5 |
IL-YA |
| 6 |
chama baby |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
kaka |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Kelvin Luhala Eto'o |
othman Ochu posted a status
mrembo commented on Sili Silali's photo

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers