DIAMOND PLATINUMZ NDANI YA MKASI SHOW

Diamond akipigwa mapouda tayari kwa Show ya Mkasi inayoendeshwa na Salama Jabir.

After makeup, Diamond akatupia shade pale kati.

Akiwekewa mic tayari kwa show.

Show imeanza.

Show ikiendelea.

Pozi baada ya show.

Platinumz akiwa na Mhe. Aden Rage pale kati baada ya show.

PICHA ZOTE KWA HISANI YA WWW.THISISDIAMOND.COM

Views: 4167

Tags: DIAMOND

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by ngumbi tatizo on August 22, 2012 at 7:28am

always we need to anticipate big in order to bring changes

Comment by ngumbi tatizo on August 15, 2012 at 9:55am

Comment by ngumbi tatizo on August 15, 2012 at 9:55am

jamani si utani we need changes especially those sector that we think can raise our country economy so as to run the poverty that we have

Comment by gibson gilberty on July 28, 2012 at 3:37pm

people always are talking so be strong coz u"r man.

Comment by sada pravin on June 14, 2012 at 11:44pm

haya bhana domo samakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Comment by Mawazo Katota on June 14, 2012 at 11:17pm

Diamond Platinum tusemeje? Haya bwana likiwaka anika likizimika nduguzo watakusaidia kuanua.

Comment by msichoke mlugu on June 14, 2012 at 9:36pm

unauza

Comment by Fidodido on June 14, 2012 at 7:21pm

Kapendeza sana  mpingo kama huwo bila ya  Poda hauwezi kupendeza,,,,

Comment by ANDERSON SOGOLE on June 14, 2012 at 4:58pm
bhana mdogo umekuwa matawi
Comment by Elisha J. Mwankundile on June 14, 2012 at 4:15pm

AH WE ENDELEA KUTUSUA TUU ANGA MBALIMBALI NA UWE MAKINI SAANA NA HAO WANAOJIFANYA NI MARAFIKI ZAKO KIPINDI HII.. WAKATI HAWAJUI WAPI TULIKO KUTOA KIJANA..... HAAAYA ... IPOSIKU UTAKUMBUKA USEMI WANGU HUU....

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by hiepelines Jul 4. 6 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Aug 15. 7 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Aug 15. 6 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by Joe reggan Apr 24. 2 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

Latest Activity

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }