Basi aina ya Coaster lenye namba za usajili T 323 BEB likiwa limezama katika Mto Kizinga.
Basi aina ya DCM lenye namba za usajili T 323 BEB linalofanya safari zake kati ya Mbagala na Buguruni leo limepata ajali mbaya baada ya kudondoka katika Mto Kizinga uliopo Mtoni Mtongani Jijini Dar es Salaam na kujeruhi baadhi ya wasafiri waliokuwa katika basi hilo.

Basi hilo likiwa ndani ya mto Kizinga baada ya ajali

Coaster hilo baada ya ajali

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo

Gari la kikosi cha zimamoto likiwa eneo la tukio ambapo haikufahamika lilifika katika eneo hilo kwa ajili gani.

Hali halisi baada ya ajali hiyo

Wakazi wa Mtongani wakishuhudia tukio hilo.



PICHA ZOTE NA MUSSA MATEJA / GPL

Views: 3

Tags: COASTER, DAR, LADONDOKA, MTONI

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Mackairre Rockeatouh Comment by Mackairre Rockeatouh on July 21, 2010 at 11:46am
Madereva wa daladala ni wazembe sana hawajali roho za watu, sasa wewe mpaka anaingia Mtoni ilikuwaje? Anyway TANROADS wekeni vizuizi vya pembeni kama kwenye madaraja ya treni
Salim Nassor Comment by Salim Nassor on July 21, 2010 at 7:28am
Ni jambo la kawaida kwa ajali za barabarani, waswahili tunasema kua" PENYE RIZIKI HAPAKOSI FITINA" haya kwa mana kila ambapo unatafutia riziki hapakosi matatizo, cha msingi ni kua makini na kutokua mzembe, lakini umo mtoni hamna MAMBA?.

ADVERTISEMENT

TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Profile Icon
kalisa bruno taifa commented on Dongonyo Juniour's photo
aaaaaaaaaaaaa hata million pound unaweza kutoa
18 minutes ago
Profile Icon
Profile Icon
Profile IconProfile Icon
sophy and mency mgl are now friends 27 minutes ago
Profile Icon
nance liked GLOBAL's blog post 'Shilole aifungukia stori yake ya kubakwa' 35 minutes ago
Profile Icon
mency mgl left a comment for neema molleli
I LIKE YA PROFILE 
50 minutes ago
Profile Icon
mency mgl commented on mency mgl's photo
Hunizidi mimi FURAHA, yani nawapenda sana wote wawili
1 hour ago
Profile Icon
18 blog posts by GLOBAL were featured 1 hour ago
Profile Icon
Blog posts by GLOBAL 1 hour ago
Profile Icon
julius manning commented on GLOBAL's blog post 'KATUNI...'
atampa kila kitu !!!!! sijamwelewa kabisa !!
1 hour ago
Profile Icon
julius manning commented on GLOBAL's blog post 'Uwoya, Wema, Kajala wanatumia dozi'
kichwa cha habari kina uzito mkubwa mi nilifikri wana dozi ya Mzee wa Loliondo
1 hour ago
Profile Icon
mwachali.rogers commented on GLOBAL's blog post 'Caf yaitosa barua ya Yanga SC'
Yanga acheni uoga mnadhani hata caf wakikubali ichezwe 1 mnafikiri itafanyika hapa bongo? Bora…
1 hour ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service