Billboard iliyoko makutano ya barabara za Sam Nujoma na Old Bagamoyo (Mwenge Mataa), likitangaza gazeti la michezo na burudani, CHAMPIONI, linaloongoza Bongo.

PICHA: Richard Bukos/GPL

Views: 2037

Tags: Championi, billboard

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Gratious Kimberly(TKN) on July 8, 2011 at 2:13am

Kuna na kunguru hapo....umemwona!!.....ndo hali halisi!!!!

 

Comment by Gratious Kimberly(TKN) on July 8, 2011 at 2:12am
Hahaaaaaaaa.......   Wail...point hiyo.....angalia uchafu wa bajaji sijui pikipiki!
Comment by wail on July 7, 2011 at 3:08pm
Watanzania bwana......kila siku tunapiga zogo haki miliki swala langu Mumeweka picha ya Messi munamlipa au munatumia tu picha yake kwa matangazo bila ya mwenyewe kujuwa

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 6 hours ago. 10 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson 16 hours ago. 27 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson 16 hours ago. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson 21 hours ago. 44 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by maleka sakeha Nov 10. 73 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson 4 hours ago. 10 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 6 hours ago. 29 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson 14 hours ago. 17 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

Sam Lurram posted a status
1 minute ago
wahyu basuki posted a status
1 minute ago
Shakil Hasan posted a status
2 minutes ago
james kamerun posted a status
2 minutes ago
Sam Lurram posted a status
2 minutes ago
Sam Lurram posted a status
2 minutes ago
Sam Lurram posted a status
3 minutes ago
sahabali posted a status
4 minutes ago
amirrasoly posted a status
4 minutes ago
Ruth D. Fay posted a status
4 minutes ago
james kamerun posted a status
4 minutes ago
Sam Lurram posted a status
5 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service