
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema, John Shibuda akizungumza jambo mbele ya umati wa wananchi waliohudhuria uzinduzi huo.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi.
Dk Wilbroad Slaa akikabidhiwa Ilani ya Uchaguzi ya Chadema, 2010 na Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe.
Muasisi wa CHADEMA, Bob Makani akiwa jukwaa kuu, muda mfupi baada ya kuanguka jukwaani na kulazimika kukatisha hotuba yake.
Wananchi wakishangilia kwa nguvu wakati Mgombea Urais wa Chadema Dk. Wilbroad Slaa akizinadi sera jukwaani.
Msanii Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ naye alikuwepo Jangwani.
Msanii Fred Malick Mkoloni kutoka Kundi la Wagosi wa Kaya akisoma Risala maalum kwa Mgombea Urais wa Chadema, Wilbroad Slaa.
Mwanasheria mashuhuri na mwanachama mpya wa Chadema, Mabere Marando akiunguruma jukwaani.
Mtangazaji Marine Hassan wa TBC akiondolewa na wanausalama baada ya kutokea tafrani kufuatia kukatika kwa matangazo yaliyokuwa yanarushwa moja kwa moja na kituo hicho kutoka viwanjani hapo.
Mashabiki wa Chadema wakimsindikiza Mgombea Ubunge wa Chama hicho, Joseph Mbilinyi wakati akiondoka viwanjani hapo.
PICHA: RICHARD BUKOS, STORY: HASHIM AZIZ/ GPL.
Comment
Comment by Arqam Samir on August 30, 2010 at 9:31am
Comment by Elibahati DAVID AKYOO on August 29, 2010 at 9:12pm
Comment by vita wilbards on August 29, 2010 at 11:28am | 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
Sili Silali |
| 5 |
IL-YA |
| 6 |
chama baby |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
kaka |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Kelvin Luhala Eto'o |
othman Ochu posted a status
mrembo commented on Sili Silali's photo

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers