BREAKING NEWS: BASI LA ABIRIA LATUMBUKIA MTONI DAR

Moja ya Coaster zinazofanya safari zake jijini Dar es Salaam
Habari zilizotufikia hivi Punde kutoka Mbagala nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam zinasema basi aina ya Coaster linalofanya safari zake kati ya Buguruni na Mbagala jijini Dar es Salaam limetumbukia kwenye mto Kizinga ulio mpakani mwa maeneo ya Mbagala na mtoni kwa Azizi Ally.

Kwa majibu wa mashuhuda wetu basi hilo lililikuwa limejaza abiria kupita kiasi na inasadikiwa wengi wao wameumia vibaya, Juhudi za wananchi wa eneo hilo kuwaokoa majeruhi zinaendelea.

Habari zaidi pamoja na picha mtazipata muda si mrefu endelea kubakia online na mtandao huu.

Views: 5

Tags: ABIRIA, BASI, DAR, LA, LATUMBUKIA, MTONI

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
2 minutes ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago
kheri zewe commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"minyama uzembe"
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website