Vijana wa Baikoko wakiwa kazini.


Kikundi cha Vijana Star, kutoka pande za Kisosola mkoani Tanga
kinachopiga ngoma ya asili ya mkoa huo hiitwayo Baikoko leo alfajiri
kilipagawisha mashabiki katika onesho lake la pamoja na Jahazi Modern
Taarab, lililofanyika Mango Garden jijini Dar.


Shabiki huyu baada ya kupandwa na midadi alijikuta vipaja manuuu


Baada ya midadi kumzidi alienda kumkatikia mpiga manyanga


Alishindwa kuvumilia na kujikuta akimvaa mpiga manyanga huyo na kutaka kuserebuka naye ‘ziro distance’.


PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /GPL

Views: 7345

Tags: BAIKOKO, DAR, YAFUNIKA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by CHRISTOPHER FRANCIS LYIMO on April 17, 2010 at 10:42am
DU KWELI DUNIA IMEKWISHA MIMI NIPO TANGA BAIKOKO WANAIMBA MATUSI MATUPU ILA KWA JAMII HAIPENDEZI UTAKUTA WATOTO WENGI NDIO WANAHUDHURIA HIYO NGOMA KWENYE MIKESHA YA HARUSI.

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by Kasharu Martin 20 hours ago. 2 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Egbert Chogo Feb 10. 5 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Kasharu Martin 19 hours ago. 7 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by Mohammed Nasser Abdullah Mar 19. 6 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Joyce Moses Oct 1, 2013. 4 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa Jun 20, 2013. 0 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

Latest Activity

erander posted a status
30 minutes ago
erander posted a status
52 minutes ago
erander posted a status
56 minutes ago
erander posted a status
1 hour ago
erander posted a status
1 hour ago
kletus Edward commented on GLOBAL's blog post WALIOLIPUA ARUSHA KUNASWA!
"wameshindwa kuwanasa milipuko ya huko nyuma waje wawanase leo?? Sijuii!"
1 hour ago
hangwa majaliwa commented on GLOBAL's blog post MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU
"Nuksi hiyo !!Tunaambiwa tuache micheouko hatusikii,Sasa mauti yamekuta jamaa akiwa na…"
1 hour ago
Faridi Mohamed commented on GLOBAL's blog post MAMA: HUU SI UJAUZITO JAMANI, TUMBO LIMEJAA MAJI
"Naomba global mnapotaka kumwombea mtu msaada jaribu muweke maelezo ya kutosha ili asaidiwe maana…"
1 hour ago
kletus Edward commented on GLOBAL's blog post YANAYOJIRI LEO BUNGENI DODOMA
"Hawa jamaa wanasema rasimu hii ya katiba ni batili sasa kama ni batili wanajadili ya nini??"
1 hour ago
Daniel Seni commented on GLOBAL's blog post YANAYOJIRI LEO BUNGENI DODOMA
"MREMA AMECHOMOA! Anadai ANA UZOEFU WA MIAKA MINGI SERIKARINI. SERIKALI TATU HAIWEZEKANI TZ!"
1 hour ago
hope commented on GLOBAL's blog post MAALIM GURUMO AZIKWA KIJIJINI KWAO MASAKI, KISARAWE LEO
"R.I.P Mzee ngurumo"
1 hour ago
Ben commented on GLOBAL's blog post Godoro La Mtumba - 21
"Balaaaaaaaaaaaaa..."
1 hour ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service