BAHATI BUKUKU NUSURA APEWE TALAKA BAA

Bahati Bukuku.

STAA wa nyimbo za Injili Bongo anayetamba na albamu ya Dunia Haina Huruma, Bahati Bukuku amenusurika kulimwa talaka baa kutoka kwa mumewe waliyetengana naye miaka 7 iliyopita, Daniel Basila.
Kwa mujibu wa chanzo, ishu hiyo ilitokea mwishoni mwa mwezi Julai, mwaka huu ndani ya Baa ya Land Mark Hotel iliyopo Ubungo, jijini Dar.
Ilidaiwa kuwa, Basila alimwita ‘mtalaka’ wake huyo hotelini hapo ampe talaka yake baada ya kuishi ‘singo’ kwa miaka saba huku ndoa yao ikiwa haijulikani hatima yake.
“Daniel alimwita Bahati kwa simu, akamwambia aende pale hotelini akampe talaka. Alipofika alimkuta jamaa ameshika kikaratasi eti ndiyo talaka, lakini Bahati akamwambia kama amedhamiria kutoa talaka aende mahakamani,” kilisema chanzo.

Views: 5486

Tags: amani11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by David Wagwene on September 9, 2012 at 3:15pm

aisee kwa hiyo ndoa ndoano lkn kwa kuwa umeokoka na una hekima kama kuna uwezekano bac tafuteni suluhu mrudiane cjajua kama mlibarikiwa watoto.Kama mlipata ndio kabisaaaa mrudiane msiwatese watoto wenu

Comment by abdullah Nassor on September 9, 2012 at 12:29pm

mwanawake akiachika ndio anajuta

Comment by Vivian E. Minja on September 3, 2012 at 9:39pm
Dada yangu.neno Samahani ni Dogo sana lakini lina maana kubwa, Jishushe hata Kama yeye ndie mwenye Makosa mwambie nimekosa mimi ili Amani iwepo ndani ya ndoa.
Comment by mayalilwa on September 2, 2012 at 6:56pm

Tatizo la wanandoa wengi ni wagumu kutamka neno "NAOMBA MSAMAHA" Bukuku muombe msamaha mumeo, jishushe kwake mtaendeleo hivyo mpaka lini? kama haumpendi ulifuata nini baa? Na kama alikuitia talaka ungeichukua hiyo karatasi, uliikataa ukidai akakupee mahakamani na huku ukielewa fika unaweka kigingi cha kutoachika.

Comment by Focus Kunambi on September 1, 2012 at 5:37pm

NILITEGEMEA MTU KAMA BAHATI BUKUKU NDOA YAKE NDIYO INGEKUWA YA MFANOI LAKINI HAIKUDUMU HATA MIAKA MIWILI SASA ANACHOIMBAIMBA KILA WAKATI KINAMSAIDIAJE YEYE BINAFSU???

Comment by Bartham Lyimo on August 29, 2012 at 10:30am

kwani chanzo cha kuvunjika kwa ndoa hiyo ni nini hasa?

Comment by ARCHITECT MOSES on August 28, 2012 at 10:49pm

WAJNGA 2 WANAUDHI SASA

Comment by kadama J'z on August 25, 2012 at 3:51pm

enzi za mwalimu ndio kulikua na watumishi wanao fuata maadili ya ndoa lakini siku hizi hakuna cha watumishi wala nini wote ni wizi mtupu

Comment by Janeth Jr on August 24, 2012 at 3:05pm

Henirieta Saimon nawewe mmbeya!! haa! ulimpima? au umembukizwa wewe ukahisi na mwenzio?

Comment by DEMIE SIMON on August 24, 2012 at 2:57pm

pole sana dada yangu dunia hii ni yetu sisi na majaribu ameumbiwa mwanadamu,piga moyo konde mungu yuko pamoja nawe

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service