Na Luqman Maloto
Mbali na madaktari, ipo ripoti kuwa kila kukicha watu wanapoteza maisha pande mbalimbali za nchi, ikielezwa kwamba sababu ya vifo ni wagonjwa kuacha kutumia dozi za kurefusha maisha walizopewa hospitalini baada ya kunywa kikombe cha Babu Ambi wa Samunge, Loliondo.
“Ni ruhusa watu kwenda Loliondo kwa sababu ni ngumu kuingilia imani za watu, lakini ni vizuri watu wakapokea ushauri wa kitaalamu ambao tunawapa. Wasithubutu hata siku moja kupuuza wala kuacha tiba za hospitali.”
Wakati huo huo, Makongoro Oging’, aliyekuwa Kahama mkoani Shinyanga anaripoti kuwa watu tisa waliokunywa kikombe cha Babu Ambi wa Loliondo wameangua kilio baada ya kupima na kugundua kuwa bado wana virusi vya ukimwi.Comment
Comment by shabani athumani on July 5, 2011 at 1:11am
Comment by shabani athumani on July 5, 2011 at 1:07am sam c waathirika wote walifanya ngono zembe,ila kunasiku kwenye tv babu alisema watu wasiache doz,na wsitoroke mahospitalin pia yeye si hospital ya rufaa.
Comment by shabani athumani on July 5, 2011 at 12:59am
Comment by mimi on July 4, 2011 at 4:42pm
Comment by Abas Mzumbasha on July 3, 2011 at 10:17am
Comment by Sarah Anuary on June 30, 2011 at 6:37pm
Comment by magdalena cathbert on June 29, 2011 at 7:44pm
Comment by faith colly on June 28, 2011 at 7:16pm
Comment by Mume Wangu on June 28, 2011 at 5:00pm
Comment by Mume Wangu on June 28, 2011 at 4:58pm | 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
Sili Silali |
| 5 |
IL-YA |
| 6 |
chama baby |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
kaka |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Kelvin Luhala Eto'o |
othman Ochu posted a status
mrembo commented on Sili Silali's photo

You need to be a member of Global Publishers to add comments!
Join Global Publishers