Stori: Imelda Mtema
PICHA inayomuonesha mwigizaji Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti wa tatu kwa ukubwa nchini Dubai, Al Farooq imenaswa.

Aunt Ezekiel akiwa nje ya msikiti.

Chanzo kilichopo Dubai kimeeleza kuwa, Aunt aliondoka nchini wiki mbili zilizopita kwenda nchini humo kumtembelea mume wake, Sunday Demonte ndipo alipoamua kwenda katika msikiti huo lakini alionekana mwenye mawazo sana.
“Nilimuona akiwa ni mtu ambaye alikuwa hana furaha kabisa na mara baada ya kutoka msikitini hapo, dada mmoja ambaye alikuwa naye alikuwa akimpiga picha mbalimbali nje ya msikiti huo,” kilisema chanzo.

Views: 4524

Tags: risasi11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Shema Idrisa on October 7, 2013 at 4:06pm

Atajijua mwenyewe hakuna dini ya kujionyesha.

Comment by tatu said on October 7, 2013 at 3:23pm

Sasa cha ajabu ninini hapo?

Comment by julius manning on October 6, 2013 at 11:20am

huo ni mkwara wake tu.

Comment by Mohammed Nasser Abdullah on October 6, 2013 at 8:55am

WAJEMENI MBONA WATANZANIA TUNA DANGANYANA SANA MSIKITI HUO UKO ABU DHABI NA SIYO FALME ZA KIARABU NA INAITWA UNITED ARAB EMIRATES NI NCHI  NDOGO NDOGO ZA MASHEKHE ZIMEUNGANA NI KAMA VILE ZANZIBAR NA TANGANYIKA NA KUITWA TANZANIA.

PIA MSIKITI HUO KUNA SEHEMU YA WANAWAKE NA WANAUME PIA NI MISIKITI MINGI IPO SEHEMU YA WANAWAKE NA WANAUME NI KITU CHA KAWAIDA HATA TANZANIA PIA MISIKITI MINGI MIPYA INAYO SEHEMU YA WANAWAKE NA WANAUME PIA.

HIVYO AUNT ANGALIWEZA KWENDA NDANI KAMA KAWAIDA NA MIMI NI MWENYE WA HAPA ULIPO MSIKITI.

UNAPOSEMA FALME ZA KIARABU NI NCHI KAMA 5  HIVI KAMA SIKOSEI INAKUWA OMAN, SAUDIA, MOROCO, JORDAN, BAHARAIN. NA NCHI ZA MASHEKHE NI QATAR, KUWAIT NA EMIRATES ILA KWA ZOTE HIZI MARA NYINGI HUZIITA NCHI ZA KIFALME.

SHUKRANI

Comment by TZ on October 5, 2013 at 12:31pm
Huo ni msikiti mmoja mkubwa katika falme za kiarabu na ni kivutio cha watalii wengi sana hapo na yo yote tu huwa anaweza kwenda kutembelea ila haruhusiwi kuingia ndani ya msikiti na hapo alipopiga hiyo picha ni sehemu ya nje. @Jodat ni kweli hakuna umuhimu wa wanawake kuswali msikitini lakini karibu misikiti yote na ma MAll huwa na sehemu ya wanawake ya kuswalia hususan huko nchi za kiarabu. Kwa hivyo mwanddishi hiyo haimaanishi kitu cho chote hapo cha huyo Ezekiel
Comment by Jodat King on October 5, 2013 at 7:04am

Huyo alienda kutalii tu hapo,kwanza nchi za kiarabu wanawake huwa hawasali Msikitini,wao husali nyumbani,katika dini ya kiislamu mwanamke hana umuhimu sana wa kusalia msikitini kama ilivyo kwa mwanaume.

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by hiepelines Jul 4. 6 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Aug 15. 7 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Aug 15. 6 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by Joe reggan Apr 24. 2 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }