Stori: Richard Bukos, Issa Mnally na Imelda Mtema.
MfanyabiAshara ‘alwatani’ Bongo, mkazi wa jijini Dar, Allain Tajiri amekumbwa na skendo nzito baada ya kufumaniwa na mwanafunzi wa sekondari wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16.

MHH! ISHAKUWA SOO: Jamaa akiwa chini ya ulinzi baada ya kufumaniwa uku mwanafunzi akiwa ameshika kitendea kazi mkoni

Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumatano ya Aprili 24, mwaka huu katika chumba namba 107 kwenye gesti iitwayo Jamboz iliyopo Kinondoni jijini Dar.

Habari za uhakika zilieleza kuwa tukio hilo lilikuwa ni mtego baada ya walezi wa denti huyo kunasa mawasiliano ya mfanyabiashara huyo akimrubuni binti yao.

Jamaa akipiga pamba zake baada ya kufumwa

...Akivaa suluari yake kwa aibu kubwa

Katika mawasiliano hayo, Tajiri alimtaka denti huyo wa sekondari moja iliyopo Kibamba, Dar (jina linahifadhiwa kwa sababu maalum za weledi wa uandishi wa habari), wakutane kwenye gesti hiyo kwa ajili ya kuimomonyoa amri ya sita.

NOMA KWELI: Jamaa akimuangalia Mwanafunzi huyo kwa uchungu

AAGA ANAKWENDA ‘TUISHENI’
Baada ya walezi hao kuufuma ujumbe kwenye simu ya binti yao, walimuwekea doria bila mwenyewe kujijua na ulipokaribia muda waliokubaliana kukutana gesti, denti huyo aliaga anakwenda ‘tuisheni’.
Huku mapaparazi wetu wakiwa ‘stendibai’, kitendo cha binti huyo kuaga muda huo kilianza kuonesha dalili za mtego wa walezi kukaribia kukamilika.

APIGA MAJI KUJIWEKA FITI
Mapaparazi wetu ndiyo waliokuwa wa kwanza kufika eneo la tukio na kujibanza wakiwa na picha za wawili hao ambapo walimshuhudia mfanyabiashara huyo akifika kaunta na kuagiza maji makubwa na kuyanywa hadi yakaisha kisha kuelekea kwenye dirisha la mapokezi ya gesti hiyo.
Ilidaiwa kuwa yale maji aliyokunywa chupa nzima alilenga kuwa fiti kwa ajili ya ‘gemu’ na ‘kadenti hako’.
Mmoja wa mapaparazi wetu naye alijisogeza kwenye dirisha hilo akijifanya kutaka chumba na kumsikia mhudumu akimpa Tajiri chumba namba 107 na kumuonesha kilipo.
Ghafla binti huyo naye alifika mapokezi akiwa na sare za shule ambapo alimkuta paparazi wetu akiendelea kuzuga kwa kutaka kukagua chumba kizuri kabla ya kulipia.
Dakika chache baada ya Tajiri na denti huyo kuingia chumbani, mwanausalama mmoja alitangulia akifuatwa na mapaparazi wetu na ndugu wa denti huyo ambapo waliomba kukagua chumba hicho kwa kuwa kulikuwa na binti yao.

WAKUTWA KAMA WALIVYOZALIWA
Waliporuhusiwa waliingia na kugonga chumba ambapo jamaa huyo alifungua, wote wakakutwa wakiwa watupu huku mfanyabiashara huyo akiwa kwenye harakati za kuvaa ‘kinga’ au ‘dawa ya penzi’ baada ya kumchezea mtoto wa watu.
Tukio hilo lilivuta hisia za jazba kwa umati uliofurika ghafla kwenye eneo hilo huku kila mtu akilaani kitendo cha jamaa huyo kumkatishia denti huyo masomo na kumpeleka gesti kwa ajili ya ngono.

INAUMA SANA!
“Fikiria wewe kama mzazi unalipa ada mtoto wako asome halafu mtu mwingine kwa makusudi anamwachisha masomo na kumpeleka gesti wakafanye ngono! Kweli inauma sana, kila mzazi anatokwa na machozi,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo baada ya kuibuka kwa varangati gesti hapo.

TIMBWILI ZITO
Kwa upande wake, dada mlezi wa anayemsomesha denti huyo (jina tunalo) alijikuta akimnasa makofi mfanyabishara huyo na kuzua timbwili zito kutokana na kupandwa na hasira ya ajabu.

KOSA LAFANYIKA
Katika vuta nikuvute, ghafla jamaa huyo alifanikiwa kuwachoropoka na kuingia mitaani akitimua mbio hivyo kutoa kazi nyingine ya kuanza kumsaka upya ili afikishwe kwenye mkono wa sheria.
Hadi gazeti hili linakwenda mitamboni, ndugu wa denti huyo walikuwa katika harakati za kumfikisha mbele ya sheria mfanyabishara huyo ili ashike adabu yake, aache tabia hiyo ya kuharibu maisha ya mwanafunzi huyo.

AGIZO
Kufuatia hali hiyo, Oparesheni Fichua Maovu inayoendeshwa na Global Publishers imefikia hapo lakini tunaziomba taasisi, idara, polisi na mamlaka nyingine kumkamata mtuhumiwa huyo ili iwe funzo kwa wengine wenye tabia kama hiyo.

Views: 11254

Tags: risasi11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Ally m. abubakar on May 11, 2013 at 7:38pm
Hizo ndo Faisal za kondom, kondom hujui a maambukizi HIV,VVU,STD na Mimba za nje ya ndoa, lakini pia kuondoa hueneza zinaa, muleta umasikini na kuviza maendeleo ya n hi yeti, Nataka ni ulie swali JUMA OTHUMAN SHAABAN , Je serikali haiyoni kondomu zina madhara kwa watumiaji. Tu eons wahusika wail kuwa tayari qanat aka kutumia kondom ambayo serikali ku pitia TACAIDS inabimiza tutu mie bila ya kujali madhara
Comment by Mawazo Katota on May 8, 2013 at 9:38pm

Tematema & Matilanga @ pamoja na kuwa maneno yenu yana ukweli lakini huyu jibaba anastahili adhabu kali na wazazi nao wanastahili lawama kwa kuwa hadi binti anafuzu somo la ngono kwa kiwango hicho wao walikuwa wapi  Bure kabisa!

Comment by Matilanga Lukingita on May 6, 2013 at 9:11pm

Mawazo katoto umeona hiyo @ Tematema Jeremia? Binti kama kweli unakali shule kwa nini umwadanganye wazazi wako? Tena na nguo za shule hadi guest? Huyu keshazoea huyu wala aikuwa siku ya kawanza!! Tafuna manofu huo KIMAMA!!!

Comment by Tematema Jeremia on May 3, 2013 at 9:05am

Huyu mtoto wa kike nae sio rizki alijua kabisa anaenda gesti naye akaaga anaenda tuisheni tuisheni gani inafanyika gesti kama sio tuisheni ya kujifunza kumpakata mwanaume hapo napo akili ya darasani ziro bora aolewe tu kesha lamba asali kitambo huyo haogopi tena kuumwa na nyuki

Comment by Mawazo Katota on May 1, 2013 at 11:39pm

Bwana Matilanga huyu jamaa anasubiri kuwekwa lupango kwa muda usiojulikana. Halafu na wewe sijui kwa sababu na wewe una tabia kama yake unashabikia. Na wewe tafuta denti wakukamate ukanyee debe kama Babu seya. Hapa unashabikia sheria ikichukua mkondo wake mnaanza kulalamika Hovyo kabisa.

Comment by Matilanga Lukingita on April 30, 2013 at 9:42pm

Mwenyekiti wetu KIMAMA nimekuja kuripoti kuwa likizo yangu imeisha. Sasa huyu jamaa alichelewa nini kuvua hicho kitaiti haraka na kulamba huyu mdenti????????

Comment by Matata semali on April 30, 2013 at 9:01am

Mwenye gesti afunguliwe mashtaka na kunyang'anywa leseni ya biashara ya gesti. 

Comment by pjoan audes on April 30, 2013 at 12:00am

Hii naona kama ni bongo movie! wala hakuna uhalisia ni story ya kuuzia gazeti tu umati wote na polisi wakiwemo mtuhumiwa anawatorokaje? huoni hapa kuna hofu ya kuuliza kituo gani cha polisi kapelekwa na kesi itapelekwa mahakama ipi na lini!

Comment by SULEIMAN MWINYIMVUA on April 29, 2013 at 8:19pm

Yani hilo jitu liwajibiswe kikamilifu

Comment by juma othman shaaban on April 29, 2013 at 4:41pm

hivi  jamani tunakwenda wapi? hivi hata hufikirii kwamba siku moja nawewe utakuwa na watoto halafu watu wwafanyie ki

tu kama hicho utajisikiaje? kuweni na imani jamani kama wazazi au walezi acheni kabisa ushetani huo. Wanawake wameja kila kona nini ushenzi

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by hiepelines Jul 4. 6 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Aug 15. 7 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Aug 15. 6 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by Joe reggan Apr 24. 2 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }