AMINI USIAMINI, HII IMETOKEA SASA HIVI!

Unaweza usiamini hiki utakacho kisoma hapa, lakini kweli kimetokea, tena ndani ya chumba cha habari sasa hivi. Wakati mjadala ukiendelea kuhusu habari iliyoandikwa leo kwenye gazeti la Uwazi kuhusu habari ya 'simu ya kifo' ambapo mfanyakazi mmoja wa kampuni ya GPL alikuwa akibisha kuwa ni jambo lisilowezekana, mara ukaingia ujumbe kwenye sinmu yake, lakini alipotaka kuusoma akasita baada ya kuona namba inasomeka 000000000...(kama inavyoonekana kwenye picha)! Bila shaka mtakubali kuwa hii namba si ya kawaida na katika kipindi hiki cha uvumi wa 'simu za kifo' ukitokewa na ishu kama hii unaweza kuifungua tu? Bila shaka huwezi kuusoma utasita na huwezi kufanya majaribio katika jambo la hatari, waswahili wanasema sumu hailambwi! Wakati tukiwasiliana na wahusika, wewe msomaji unashauri nini, ufunguliwe ujumbe usomwe au usifunguliwe? Au, kitaalamu kinashariwa kitu gani lifanyike katika hili?


WEB EDITOR


...namba ya 0000000 ni ya nani?

Views: 402

Tags: KIFO, SIMU, YA

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by moses sarai on September 14, 2010 at 9:50pm
usalama wa taifa hiyo ndio test yenu je mnaweza kazi au mpo tuu? tegueni huo mtego kama kweli nyinyi ni usalama wa hili taifa la bongo tunasubiri majibu,,,,,,,,,,,,,,,,
Comment by maida jimmy on September 14, 2010 at 7:58pm
HAKUNA ANAETAKIWA KUOGOPA KIFO IWE KWA SIMU AU AJALI AU CHOCHOTE MSITUTISHE JAMANI
Comment by nicholas on September 14, 2010 at 7:41pm
ka simu kenyewe hata bure sichukui
Comment by nicholas on September 14, 2010 at 7:40pm
Daa tembea uone...na kama elimu ni ghali basi jaribu ujinga,jamani watanzania hivi vitu vipo wazi haiitaji uende kusoma havard university kujua hili,siku hizi dunia imekuwa kijiji na kila taarifa inapatikana kiganjani mwako,nani kawaroga watanzania?mobile phone radiation hazina madhara kwa mwanadamau hata kidogo huu ni uvumi tu,nanukuu kwanza kutoka kwenye wikipedia,

The effect mobile phone radiation has on human health is the subject of recent interest and study, as a result of the enormous increase in mobile phone usage throughout the world (as of June 2009[update], there were more than 4.3 billion users worldwide[1]). Mobile phones use electromagnetic radiation in the microwave range, which some believe may be harmful to human health. A large body of research exists, both epidemiological and experimental, in non-human animals and in humans, that shows overall no evidence for harmful effects. Other digital wireless systems, such as data communication networks, produce similar radiation.

The World Health Organization, based upon the consensus view of the scientific and medical communities, has stated that cancer is unlikely to be caused by cellular phones or their base stations and that reviews have found no convincing evidence for other health effects.[2][3] The WHO expects to make recommendations about mobile phones in 2010.
labda nitaongea na mtu hapa soma chini.

What is radiation?

Radiation is energy travelling through space in the form of waves or particles. It occurs naturally and has always been around, we've evolved with it and we're bombarded with it in one form or another every day of our lives - from the earth, from space and even within our own bodies. Some experts suggest a little radiation is a good thing and we all know of its uses in medical science to combat and diagnose some illnesses.

There are various types of radiation but we won't get into the physics of atoms, neutrons and protons (there are plenty of websites that explain it if you want the scientific stuff) - but we will tell you why radiation is in mobile phones and whether or not you need to worry about it.
Radiation and your mobile

The type of radiation emitted from mobile phones is electromagnetic radiation. It's present in mobiles because they use radio frequency (RF) waves to make and receive calls. The doses are considered to be very small as the emissions are low power (short range). Nevertheless, there are ways in which you can reduce exposure to these waves.
The health risks

Despite extensive research on the subject, there has been no conclusive evidence that using a mobile phone causes long term harmful effects in humans.

wanitumie mimi hizo msg nizisome......kuhusu swala eti hizo msg ni za majini hayo sijui ila kwenye technology najua nini kinaendelea.
Watanzania msiogope mnatishwa tu,kuna mjanja mmoja hapo anafanya watu wajiharishie.
Comment by Simon Kilamlya on September 14, 2010 at 5:04pm
Chonde chonde tnaiomba serikali ifuatile suala hili, kwani hata wenzetu kenya limewatokea,kwanini serikali yetu inakuwa ngumu kusikilza kilio cha watu wake? Namomba watu wa usalama wa taifa waingilie kati lazima watagundua jambo kwani naamini chanzo kipo katika Exchange za kampuni za simu husika.
Comment by Nicholas on September 14, 2010 at 4:46pm
Ni ya Majini,nafikiri MAJINI YANATAKA KUWASILIANA NA BINADAMU KAMA SHEIKH YAHYA ANAVYOAMINI
Comment by Sb.57. on September 14, 2010 at 4:33pm
FUNGUENI MSOME KUNA UJUMBE GANI, ACHENI MAMBO YA AJABU?.....HII NCHI NDO MANA HAINA MAENDELEO. MBONA MNAACHA KAZI NA KUANZA KUHANGAIKA NA VITU AMBAVYO HAVIPO....KWAKWELI HATA VIONGOZI WA NCHI HII WANA KAZI NGUMU SANA!!!!
Comment by Martin Anthony Mhando on September 14, 2010 at 4:26pm
Bomu hilo ipelekeni hiyo simu kwa wataalam wa kutegua mabomu (Panya wa SUA) ili wawasaidie!!!
Comment by Stellah Michael on September 14, 2010 at 3:52pm
hebu kwendeni kule, mtu ameisave number kwa jina la 0000000 halafu kajitumia mesej mwenyewe ikaaapear jina as saved mnasema ndo simu ya kifo. msitufanye sisi watoto bwana.
Comment by edward mwingira on September 14, 2010 at 3:51pm
Nafikiri mamlaka ya mawasiliano ifanyie kazi jambo hili ili wananchi waondolewe wasi wasi wa kutumia simu hasa na uvumi kuwa kuna simu za kifo.
UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 ZIMEBAKI:

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 7 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 3 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }