AJALI! TOYOTA SURF YAVAMIA MGAHAWA, YAUA!

Ajali imetokea eneo la Mabibo Mwisho dakika chache zilizopita ambapo gari aina ya Toyota Surf, imeancha njia na kugonga watu waliokuwa ndani ya Mgahawa, inaelezwa kuwa jumla ya watu wanne wamekufa papo hapo na wengine wamekimbizwa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Magomeni kwa matibabu. Kwa mujibu wa mwandishi wetu aliyeko eneo la tukio na kama inavyoelezwa na mashuhuda wengine, gari hilo lilikuwa likiendeshwa na mtu mmoja aliyekuwa na familia yake ya watu watatu wakiwemo watoto, huku ikielezwa kuwa alikuwa kasi na kama mtu aliyekuwa akikikimbizwa. Hali yake na aliokuwa nao haijajulikana ingawa inasemekana alitoka ndani ya gari na kutoweka. Eneo la jali hiyo ni ile njia panda ambapo ukitoka Manzese kama unaenda Mabibo Mwisho, kuna njia panda ambapokulia unaenda ubungo Maziwa na kushoto unaenda Loyola High School. Dereva hakwenda kushoto wala kulia, badala yake alinyoosha moja kwa moja ambako hakuna barabara bali kuna nyumba, maduka na mgahawa.Pichani ni mabaki ya gari hilo kama yalivyokutwa kituo cha Polisi Magomeni mara baada ya ajali.

imebaki kumbukumbu tu....

..picha kamilivyo ndani ya mgahawa huo baada ya kugongwa...

..ajali hiyo ya kustaajabisha ilivuta umati wa watu wa eneo hilo



Find more videos like this on Global Publishers

PICHA NA VIDEO: Makongoro Oging'/GPL




Views: 6

Tags: ajali, mabibo

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Arqam Samir on August 30, 2010 at 9:39am
HII INAONYESHA HUYO DEREVA ATAKUWA AMELEWA HAIWEZEKANI KATIKA HALI YA KAWAIDA AFANYE AJALI KUBWA NAMNA TENA KATIKA BARABARA NDOGO. HUYU DEREVA ATAFUTWE ILI SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE.
Comment by vanesa rwerengera on August 30, 2010 at 7:33am
LOOOOH! Sijui watu siku hizi tumeingiliwa na nini vichwani mwetu? Hakuna anayesikia sheria wala amri. Nahisi uongozi uko legelege sanaaaaaa. Kulindwa kwingiiiiiiiiiiii!!!!!! au vyakula vya kichina vimetuathiri? na vile vifeki? Mungu walaze pema peponi....Amen
Comment by Elibahati DAVID AKYOO on August 29, 2010 at 8:36pm
Atuna la kusema zaidi ya kusema poleni wafiwa.
Comment by Wiliam john on August 29, 2010 at 8:03pm
Lol!!!
Comment by richboston on August 29, 2010 at 5:52pm
du jamani hakika ajali hizi zimekuwa nyingi poleni wale wote majeruhi na waliokutangulia mbele ya haki
Comment by TEASER BOY on August 29, 2010 at 5:33pm
DAAAH POLENI WAFIWA INASIKITISHA ILA NDIO AHADI IMEFIKA
Comment by jombaa on August 29, 2010 at 3:58pm
Poleni wafiwa.
Ila jamani mwendo kasi unaua
Comment by Boniphace N. Kashaga on August 29, 2010 at 3:51pm
Why?
When we will stop killing others?


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

GUNZ TRUVADA posted a status
"KUMPA ASIYE KUPA NI SAWA SAWA NA KUTUPA"
1 minute ago
othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
12 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
12 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago
kheri zewe commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"minyama uzembe"
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website