Na Shakoor Jongo, Dar es Salaam
KATIKA kile kilichoonekana kama wasanii wa Bongo Movies wana ‘aleji’ na kujisitiri miili yao, baada ya Wema Sepetu na Aunt Ezekiel, safari hii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ameanika sehemu zake za siri kweupe.

Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa ameanika sehemu zake za siri.

Gazeti hili lina picha zinazomwonesha Shilole ambaye kwa sasa amegeukia muziki wa mduara, akiwa jukwaani huku akionekana hana habari kabisa na kitu kinachoitwa staha achilia mbali heshima.
Chanzo chetu cha habari kwa sharti la kutotajwa jina lake gazetini, kilinyetisha kwamba, Shilole amekuwa na kawaida ya kujiachia kihasarahasara hasa anapokuwa kwenye shoo na bendi yake.

Shilole akiwa ameacha sehemu zake nyeti.

Mdau wa filamu Jumanne Athuman, mkazi wa Magomeni jijini Dar es Salaam, alisema amekerwa sana na kitendo cha Shilole kukaa hovyo jukwaani kwani anajidhalilisha mbele ya jamii ambayo itajitizama kupitia kwake.
 “Huyu Shilole hana heshima kabisa, juzi tu nilisoma kwenye gazeti (siyo la Global)  akiwakashfu Wema na Aunt  eti ndiyo tatizo Bongo Movies, mbona naye huwa anajiachia hovyo?

“Kwa nini hawa wasanii hawajiheshimu? Inaniuma sana, nahisi kama ndiyo kawaida yao. Ni sikio la kufa...hawasikii dawa. Wamezidi sana, wanajichafulia heshima zao kwenye jamii,” alisema Jumanne.
Juhudi za Risasi Mchanganyiko kumpata Shilole ili azungumze picha hizo, hazikuzaa matunda baada ya simu yake kutopatikana hewani.

Views: 50190

Tags: mchanganyiko11

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by Kimama Kinini on November 17, 2012 at 6:56am

@ HAMISI FARAHANI, NIMEKUPATA,  WAACHE KUMSAKAMA SILOLE, SISI WANAUME RIJALI TUNAFURAHIA KUANGALIA MABINTI WANAOKAAA KIHASARAHASARA, KAMA WENYINE HAMTAKI KUCHUNGULIA HAYO MAUTABU BASI, JIPOTEZEENI

Comment by hamisi farahani on November 16, 2012 at 10:33pm

Jamani wacheni kumsakama huyu dada .Shilole amevaa tight hayuko uchi.hebu angalieni vizuri hizo picha.sasa mnataka avae magunia? Shilole umependeza sana dada angu rusha roho watajijua.

 

 

Comment by mammy on November 5, 2012 at 12:23pm

aibu tupu kama huu ndio ustaa mm bac tena

Comment by richardngeze on November 5, 2012 at 11:32am

Poa shilole tangazo limetufikia! but wateja hakuna labda upeleke uwanja wa fisi.

Comment by penina mwailunda on November 5, 2012 at 9:16am

Hivi huyu si ndo yule yule wa kudai kuwafunika wenzie? hv ni kwa kukaa uchi au? ila bado hajamfikia yule aliejikojolea

Comment by sabra abdulla on November 4, 2012 at 6:40pm

mmelaaniwa nyinyi.

hmna tofauti na wanyama wengine kwa kwenda uchi.

ndo sanaa gani iyo sasa mmmxxxxyyyyycwyyyyyyyyy!

Comment by Mchuma Mgumu on November 3, 2012 at 3:24pm

OLE WAKO KIMAMA KIKUBWA AKUKUTE KATIKA HALI HIYO, UTASIMULIA, KIMAMA KIKUBWA, TAFADHALI MTAFUTE HUYU SILOLE UMSHIKISHE ADABU

Comment by pjoan audes on October 29, 2012 at 6:26pm

Kama anaonyenyesha chake kuwafurahisha wateja tena kwenye shoo zake, kuna tatizo gani?!

Comment by baby muzne on October 29, 2012 at 12:27am

wanauza hao

Comment by Jerry Jerry on October 27, 2012 at 8:14am

SAWA BUT HIZO PICHA ZILIVO PIGWA NI KIUZUSHI VILE PICHA IME PIGWA KWA CHINI UNAONA BANAEE, SAWA NGUO FUPI ILA UPIGAJI WA PICHA ZENYEWE NDIO UTATA MPIGAJI ALI PIGA KWA KUCHUNGULIA SIO [POA MAPAPALAZI  MPIGA PICHA MKUDA,MKUDA SANA TANA MKUDA HIZO PICKS MMEZINUNUA KWA MKUDA FLANI ACHENIM ZA KIKUDA WAKUDA MKUDA

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

misu babu posted a status
1 minute ago
Herum posted a status
""
1 minute ago
misu babu posted a status
3 minutes ago
aslam uddin posted a status
3 minutes ago
aslam uddin posted a status
3 minutes ago
pasha pramanik posted a status
4 minutes ago
misu babu posted a status
4 minutes ago
Jishan Ashik posted a status
5 minutes ago
kitong posted a status
7 minutes ago
Polat Salla posted a status
7 minutes ago
misu babu posted a status
7 minutes ago
pasha pramanik posted a status
9 minutes ago

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }