TAMASHA LA ‘IPENDE TANZANIA’ LILIVYOFANA JIJINI DAR

Mwimbaji wa nyimbo za injili, Upendo Kilahiro akiimba katika tamasha hilo.

Umati wa watu uliohudhuria Tamasha la ‘Ipende Tanzania’ katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam.

Mwimbaji wa nyimbo za kusifu na kuabudu, Pastor Safari akimtukuza Mungu katika tamasha hilo.

Mojawapo ya michezo iliyovutia maelfu ya watu ni huu wa pikipiki, ambapo mwendesha pikipiki huyu alionyesha umahiri mkubwa katika kutumia chombo hicho cha usafiri.

Na George Kayala
TAMASHA  la ‘Ipende Tanzania’ (Love Tanzania Festival) lililomalizika jana katika viwanja vya Jangwani jijini Dar es Salaam limefana na kuwaacha maelfu ya wakazi wa jiji hilo wakishindwa kuamini juu ya michezo iliyokuwa inafanyika kabla ya mahubiri.
Tamasha hilo lililoongozwa na mhubiri, Andrew Palau, akishirikiana na waimbaji kutoka ndani na nje ya nchi wakiongozwa na Don Moen na mwanadada Nicole C. Mullen, limebaki akilini mwa watu wengi ambao wanasema hawakutarajia kuona pikipiki zikiruka juu kiasi kile.
“Nilipigwa butwaa kuona mchezo wa kuruka na pikipiki, uimbaji na muziki kwa ujumla hasa wakati walipoimba waimbaji Nicole na Don Moen.  Hakika  jambo hili  lilikuwa faraja kwangu,” alisema mmoja walioshuhudia tamasha hilo, Musa Joseph.

Views: 398

Tags: DAR, LA, LAFANA, TAMASHA, TANZANIA’, ‘IPENDE

Comment

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

Comment by ezekiel hamsin nyamika on August 13, 2012 at 4:13pm

cjapata kuona live

Comment by Real De' Dear on August 13, 2012 at 1:43pm

twi twi twi crying, jaman nimemic.

Comment by julius manning on August 13, 2012 at 1:27pm
nimekubali

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mayalilwa Mar 8. 26 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service