GLOBAL's News (44,244)

KALA JEREMIAH, LA VEDA, MO MUSIC, BEN POL, STAMINA, NEY LEE WAFUNIKA UZINDUZI WA VIDEO 'USIKATE TAMAA'

Kala Jeremiah (kushoto) na Nuruwell wakipafomu kwa mara ya kwanza wimbo wa Usikate Tamaa ndani ya Maisha Club.…

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 6:00am — No Comments

MSUNGU ANUSURIKA KIFOStori: Gladness Mallya

MSANII wa filamu Bongo, Stanley Msungu ‘Senetor’ amenusurika kifo baada ya kupata ajali na gari lake kuharibika vibaya.…

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 5:30am — No Comments

MINOTI YA ESCROW INAUMA SANA!

Stori: Ojuku Abraham

THIS is not fair (Hii siyo sawa)! Tunaweza kufumba macho na kuacha kusema kinachoendelea katika baadhi ya ‘madudu’ serikalini, lakini linapokuja suala la uchotwaji wa Sh. bilioni 306 za umma kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow, tuache masihara, minoti…

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 5:30am — 1 Comment

DIDA AIBU ILIYOJE!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro

Weka mbali na watoto! Prizenta asiyekaukiwa matukio wa Kituo cha Redio Times FM cha Jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ anadaiwa kutia aibu ukumbini baada ya kutaka kuzikunja na Master of Ceremony (MC) kisha kuumbuliwa na kigauni cha kihasarahasara alichokuwa…

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 5:00am — No Comments

LUNDENGA AWAKA KISA SITTIStori: Musa Mateja

MKURUGENZI wa Lino International Agency ambao ndiyo waandaaji wa Shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga amewaka kinomanoma baada ya kuulizwa habari za mrembo wake aliyejivua taji hivi karibuni, Sitti Mtemvu.…

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 4:30am — No Comments

MTOTO ATUMIWA KUMWIBA MTOTO, AKAMATWA...

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro

Hatari! Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 8 (jina linahifadhiwa kimaadili), mkazi wa Kihonda mjini hapa anayesoma darasa la kwanza kwenye Shule ya Msingi Noto Sosario, anadaiwa kutumika kumwiba mtoto mwenzake kisha kukamatwa na kunusurika kuuawa…

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 4:00am — No Comments

ESHA BUHETI AOGOPA DHAMBI YA KUJICHORA TATUU

Stori: Imelda Mtema

MSANII wa filamu za Kibongo, Esha Buheti, amesema kuwa anaweza akafanya vitu vingi vya kujiremba lakini anaogopa sana kujichora tatuu kwani ni dhambi.…

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 4:00am — No Comments

MASOGANGE SIRUDI BONGO HIVI KARIBUNI!

Stori: Imelda Mtema

MREMBO aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali za wasanii Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hatarajii kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana.…

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 4:00am — No Comments

MSANII BONGO MUVI ABAMBWA MAKABURINI AWE KAMA WEMA NA LULU

Stori:  Waandishi wetu

Ulozi! Chipukizi sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Fetty’ amenaswa makaburini akiwanga katika kile kinachodaiwa kuwa ni kutekeleza masharti ya ‘sangoma’ ili ajipatie umaarufu na kuwafikia mastaa kama Wema Isaac Sepetu, Jacqueline Wolper Massawe na Elizabeth Michael…

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 4:00am — No Comments

USIKU WA MASHUJAA BAND NDANI YA NEW CITY PUB JIJINI MBEYA

Added by GLOBAL on November 24, 2014 at 12:00am — No Comments

DAVID KAFULILA NA JESSICA KISHOA WALIVYOMEREMETA

Mbunge wa Kigoma Kusini, Mhe. David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22,…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 5:47pm — 2 Comments

MSHAURI WA RAIS UHURU: MAUAJI YA KENYA YANALENGA KUZUA UHASAMA WA KIDINI

Baadhi ya miili ya abiria waliouawa jana na Al-Shabaab eneo la Mandera, Kenya.…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 4:10pm — 1 Comment

HAIJAPATA KUTOKEA, VODACOM KINARA WA KULIPA KODI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI

MWISHONI mwa wiki kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania iliibuka kinara wa pili kwa walipa kodi wakubwa na inaongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano nchini ambapo haijawahi kutokea.

Akiongea katika kilele cha maadhimisho ya 8 ya Wiki ya Mlipa Kodi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Kitengo cha…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 3:30pm — No Comments

ABDULRAHMAN KINANA: MUDA WA KULINDANA HAUPO TENA‏

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara  mjini Lindi wakati akimkaribisha Katibu mkuu wa…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 11:30am — 1 Comment

TASWIRA KATIKA MAHAFALI YA 9 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR

Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Angellah Kairuki (kushoto), akimkabidhi cheti Muhitimu aliyefanya vizuri Shahada ya Kwanza ya Jinsia na Maendeleo, Nyamambara Simon katika…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 11:23am — 1 Comment

ARSENAL ILIVYOANGUKIA PUA KWA MAN UNITED

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 10:30am — 2 Comments

MBRAZIL EMERSON KUZIBA PENGO LILILOACHWA NA JAJA ALIYEKATISHA MKATABA NA YANGA

Geilson Santana Santos ‘Jaja’.

KLABU ya Yanga inatarajia kumsajili kiungo mkabaji mpya kutoka Brazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe kuziba nafasi hiyo iliyoachwa na mshambuliaji Geilson Santana Santos ‘Jaja’…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 9:30am — 5 Comments

RAIS KIKWETE ATOLEWA NYUZI KATIKA MSHONO, AFYA YAKE YAZIDI KUIMARIKA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada ya kutoka katika…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 9:30am — 2 Comments

MAKOCHA WACHAGUA VIJANA KUSHIRIKI MICHUANO YA TAIFA U-12

Mwamuzi akiwakagua wachezaji.…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 5:00pm — No Comments

News Topics by Tags

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson on Friday. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson on Friday. 28 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson on Thursday. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson on Friday. 45 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson on Friday. 74 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson yesterday. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson yesterday. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson 5 hours ago. 21 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service