All News Posts Tagged 'waraka11' (16)

waraka wa Shigongo kwa wapiga kura

Ndugu zangu,

Watanzania wenzangu,

Tumsifu Yesu Kristo,…

Added by GLOBAL on October 30, 2010 at 9:00am — 22 Comments

Nimekubali matokeo, asanteni Wanabuchosa

Namshukuru Mungu,

Baada ya mchakato wa kura za maoni kupita, nimekaa chini na kuona ni vyema sasa niwaandikie WanaBuchosa waraka huu kuwashukuru na pia kuwapa msimamo wangu kwa sasa baada ya matokeo kutoka, Dk. Charles Tizeba akiwa amepitishwa na Chama chetu, Chama Cha Mapinduzi ili akiwakilishe katika kinyang’anyiro cha kumtafuta Mbunge wa Jimbo la Buchosa, mimi nikiwa mshindi wa pili kati ya watu kumi waliojitokeza kuwania nafasi hiyo.



Yaliyotokea mpaka matokeo yakawa hivyo ni…

Added by GLOBAL on September 6, 2010 at 9:40am — 4 Comments

Hatua ya kumi: Kumbuka ulikotoka, beba mzigo wako-4

Ndugu zangu, nawashukuru sana kwa kuwa nami kwa wiki zote hizo kufuatilia waraka wangu huu, ni imani yangu kuwa umekujenga na kukubadilisha kabisa. Kitu cha msingi ni kufuatilia kwa makini yote niliyoyaelekeza katika waraka huu.



Hakuna kinachoshindikana, kila kitu kilianza taratibu na baadaye kukua! Usiogope kujaribu. Bila shaka siku moja utakuwa na mafanikio na kujivunia, kwangu mimi itakuwa furaha zaidi maana waraka wangu utakuwa umekuwa tiba ya kutosha! Hivi karibuni nitaanza makala…

Added by GLOBAL on July 19, 2010 at 1:41pm — No Comments

Hatua ya kumi: Kumbuka ulikotoka, beba mzigo wako-3

Niliwaonea huruma sana wafungwa waliokuwa gerezani siku hiyo, katika hotuba yangu niliwaomba wakifanikiwa kutoka, wafanye kila kinachowezekana kubadilisha historia za maisha yao, wasikubali kufa na majina waliyopewa! Na ambao wangebaki ama kufia gerezani, bado walikuwa na nafasi ya kubadilisha maisha yao kabisa, ili siku ya mwisho wakati historia za maisha yao zinasomwa watajwe kama watu waliobadilika tabia baada ya kuishi gerezani.



Baada ya tamasha hilo ambalo kwa kweli lilinitoa…

Added by GLOBAL on July 12, 2010 at 10:56am — 1 Comment

HATUA YA KUMI: Kumbuka ulikotoka, beba mzigo wako -2

Mungu ametuweka duniani ili tumwakilishe, hata siku moja yeye hatashuka kama yeye na kumlisha Yatima yule, kumsaidia mgonjwa yule, kumfariji mjane yule, bali anatufanikisha sisi katika maisha yetu kwa ajili ya watu wengine. Kwanini baada ya wewe kufanikiwa, iwe kifedha, kielimu au namna yoyote katika maisha, ujione ndio mwenye akili na waliobaki wote ni wajinga? Hivi hujui Mungu amekupa ulivyonavyo vyote kwa ajili ya watu wengine? Na utakavyozidi kuwasaidia ndivyo utakavyozidi…

Added by GLOBAL on July 5, 2010 at 10:51am — No Comments

Hatua ya kumi:Kumbuka ulikotoka, beba mzigo wako

Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka…

Added by GLOBAL on June 28, 2010 at 9:39am — No Comments

Hatua ya TISA: Kiu ya kupata taarifa (Thirst for Information)

Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele…

Added by GLOBAL on June 21, 2010 at 10:03am — No Comments

Je, unayo sababu ya wewe kufanikiwa?

NIMETII OMBI LAKO

Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea maombi ya kukumbusha tulipoanzia somo hili. Wengi walianza kusoma hatua za katikati bila kujua nini hasa mwanzo wake. Walisoma hatua kwa hatua, hivyo wakawa wanataka kujua mwanzo wake. Hivyo basi, toleo hili nimeamua kuweka sehemu ya kwanza ya somo ambalo tunaendelea nalo “JE, UNAYO SABABU YA KUFANIKIWA?” Wiki ijayo tutaendelea pale…

Added by GLOBAL on June 14, 2010 at 9:46am — 1 Comment

Kiu ya kupata taarifa (Thirst for Information)-3

Onyo:

Mambo ninayoandika hapa ni maoni yangu binafsi, yanatokana jinsi ambavyo mimi nayatazama maisha, hivyo si jambo la ajabu kutofautiana na watu wengi kutegemea na namna ambavyo wao wanayatazama maisha haya haya. Lengo langu si kumkashifu mtu, bali kujaribu kusaidia pale ambapo naona pana tatizo na ninaweza kufanya hivyo. Wakati mwingine maneno haya yanaweza kumgusa mtu, akajisikia kama…

Added by GLOBAL on June 7, 2010 at 11:02am — No Comments

Hatua ya tisa: Kiu ya kupata taarifa (Thirst for Information)-2

Onyo:

Mambo ninayoandika hapa ni maoni yangu binafsi, yanatokana jinsi ambavyo mimi nayatazama maisha, hivyo si jambo la ajabu kutofautiana na watu wengi kutegemea na namna ambavyo wao wanayatazama maisha haya haya. Lengo langu si kumkashifu mtu, bali kujaribu kusaidia pale ambapo naona pana tatizo na ninaweza kufanya hivyo. Wakati mwingine maneno haya yanaweza kumgusa mtu, akajisikia kama…

Added by GLOBAL on May 31, 2010 at 10:37am — No Comments

HATUA YA TISA: Kiu ya kupata taarifa (Thirst for Information)

Onyo:

Mambo ninayoandika hapa ni maoni yangu binafsi, yanatokana jinsi ambavyo mimi nayatazama maisha, hivyo si jambo la ajabu kutofautiana na watu wengi kutegemea na namna ambavyo wao wanayatazama maisha haya haya. Lengo langu si kumkashifu mtu, bali kujaribu kusaidia pale ambapo naona pana tatizo na ninaweza kufanya hivyo. Wakati mwingine maneno haya yanaweza kumgusa mtu, akajisikia kama…

Added by GLOBAL on May 24, 2010 at 9:32am — No Comments

Kiu ya kupata taarifa (Thirst for Information)

Nianze waraka wangu wa leo kwa kuwapeni ushuhuda wa jambo lililonitokea siku mbili zilizopita, ni vizuri niwaeleze juu ya jambo hili ili mpate kuona namna watu wanavyobadilika kwa kusoma waraka huu na kupata maarifa ambayo yanawasaidia kutoka hatua moja ya maisha kwenda nyingine, namshukuru sana Mungu kwa kunitia nguvu na kunifanya niendelee kutimiza wajibu wangu wa kuandika waraka huu, ambao mimi naamini kabisa unatoka kwake, ili uweze kuwasaidia watumwa wa kiakili, wanaoteseka kwa sababu tu…

Added by GLOBAL on May 17, 2010 at 10:03am — 1 Comment

Hatua ya nane: Katika maisha lazima uwe na watu unaotamani kufanana nao (You must have Role Models)-4

Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele…

Added by GLOBAL on May 10, 2010 at 10:00am — 3 Comments

Hatua ya nane: Katika maisha lazima uwe na watu unaotamani kufanana nao (You must have Role Models)-3

Mtu mwingine ambaye nimekutana naye ni Yusuf Manji, huyu ni miongoni mwa matajiri wakubwa nchini Tanzania, nilichomuuliza ni kwamba kama leo hii angekuwa hana fedha kabisa, yaani ameishiwa angeanza biashara gani ambayo ingemuwezesha kufika mahali alipo? Unajua alinijibu nini?

“Chakula!”

“Chakula?”



“Ndio, hali ya Uchumi kwa sasa hivi duniani ni ngumu, karibu kila biashara imevamiwa na watu wenye fedha nyingi, wenye mitaji mikubwa ambao mtu akiwa unaanza biashara huwezi…

Added by GLOBAL on May 2, 2010 at 4:30pm — 2 Comments

Hatua ya nane: Katika maisha lazima uwe na watu unaotamani kufanana nao (You must have Role Models)

Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha mambo yaende kama yalivyo! Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama wewe ni miongoni mwa watu hawa, au ni mtu ambaye unataka kufikia vilele mbalimbali maishani mwako, basi Waraka…

Added by GLOBAL on April 19, 2010 at 9:38am — 3 Comments

Hatua ya saba: Chagua marafiki sahihi-6

Nimeamua kuanzisha ukurasa huu ili niweze kuwasiliana na Watanzania wenzangu nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi katika mioyo

ya wenzangu waliokata tamaa, najua wapo ambao wamejaribu mambo mengi

maishani mwao na hayakutokea kama walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua kuacha

mambo yaende kama yalivyo!…

Added by Clarence Mulisa on April 5, 2010 at 9:28am — No Comments

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mayalilwa Mar 8. 26 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

Latest Activity

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service