JINI KABULA AITA MIDUME JUKWAA LA YANGA
STAA wa maigizo Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, hivi karibuni aliamua kujinadi pamoja na warembo wengine kwa midume katika jukwaa linalokaliwa na mashabiki wa Klabu ya Yanga.…

Added by GLOBAL on May 14, 2013 at 9:30am — 5 Comments
WABUNGE WADAIWA KUPEANA MIMBA
Na Waandishi Wetu
SKENDO nzito inalitafuna Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikitawala madai kwamba kuna wabunge wawili wanawake, wamejazwa mimba na waheshimiwa wenzao wanaume.…

Added by GLOBAL on May 14, 2013 at 8:30am — 8 Comments
MWIZI KWA KUTUMIA BODABODA AUAWA!
Na Makongoro Oging'
KIJANA mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja anayedaiwa ni mzoefu wa wizi kwa kutumia usafiri wa pikipiki ‘bodaboda’, ameuawa baada ya kumliza mwanamke aliyetambulika kwa jina la Jusmini.…

Added by GLOBAL on May 14, 2013 at 8:30am — 10 Comments
MREMBO: MBUNGE KANIBAKA
Sifael Paul na Erick Evarist
BINTI mrembo aitwaye Flora Bahati Lyimo anamtuhumu mbunge mmoja ‘mtata’ wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloongozwa na Spika Anne Makinda (jina tunalo) kuwa amembaka, Uwazi lina kisa cha aibu ya karne.…

Added by GLOBAL on May 14, 2013 at 8:00am — 20 Comments
MWANAUME ALIYELAZWA WADI YA WANAWAKE DAR; MAAJABU SABA
Na Makongoro Oging'
MAAJABU zaidi yamebainika kuhusu kijana wa kiume, Karina Mohamed ‘Natalia’, 20, aliyelazwa wodi ya wanawake akidhaniwa ni mwanamke.…

Added by GLOBAL on May 14, 2013 at 8:00am — 12 Comments
MAUAJI YATIKISA NCHI KILA KONA
Na Mwandishi Wetu
HIVI karibuni yametokea mauaji yaliyotikisa nchi kila kona katika vita kati ya polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi, Uwazi lina ripoti kamili.
MBEYA
Huko mkoani Mbeya watu watano waliosadikiwa kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Diwani Athuman alithibitisha kuwa majambazi hayo yaliuawa mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Kijiji cha Garijembe, Wilaya ya Mbeya…

Added by GLOBAL on May 7, 2013 at 8:30am — No Comments
MLIPUKO WA BOMU KANISANI... INATISHA
Na Joseph Ngilisho, Arusha
KAMA tulikuwa tunasubiri dalili kubwa zaidi zijitokeze ndipo tutambue kwamba hali ya nchi inatisha, tukio la bomu kutupwa kanisani, likasababisha vifo na majeruhi, lipimwe kama ishara ya juu kabisa.…

Added by GLOBAL on May 7, 2013 at 8:00am — 9 Comments
JALADA LA MHANDO WA TANESCO LAPIGWA DANADANA
Na Mwandishi Wetu
JALADA la tuhuma zinazomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), William Mhando na wenzake akiwemo mkewe Clara, linapigwa danadana. Uwazi limegundua.…

Added by GLOBAL on May 7, 2013 at 8:00am — 3 Comments
LOWASSA, MAGUFULI NGOMA NZITO
Na Mwandishi Wetu
WAKATI baadhi ya wanasiasa wakiwa wameanza kujiwinda kwa ajili ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, gazeti hili limefanya utafiti wa watu wanaotajwa kuwania nafasi hiyo na lina matokeo ambayo yanaonesha ngoma nzito.…

Added by GLOBAL on May 7, 2013 at 8:00am — 6 Comments
NI MAADUI BUNGENI…
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
KAMA hujui ndiyo ujue sasa, kwamba waheshimiwa wetu wanapokuwa ndani ya mjengo na kutoleana maneno machafu na yenye vitisho unaweza kusema nje watanuniana au hata kupigana singi, lakini waapi! Gelesha tu.…

Added by GLOBAL on April 30, 2013 at 8:30am — 7 Comments
MZEE WA KANISA ALIVYOZIKWA HAI
Na Mwandishi Wetu, Chunya
NI zaidi ya ukatili! Katika hali isiyowahi kufikiriwa na binadamu aliyeumbwa na Mungu, baadhi ya vijana wa Kijiji cha Mkwajuni Wilaya ya Chunya, Mbeya wamemzika akiwa hai aliyekuwa msaidizi wa padri, Katekista Flavian Mwamosi Mwachirui (68) wakimtuhumu kusababisha…

Added by GLOBAL on April 30, 2013 at 8:00am — 19 Comments
MSHTUKO!
Na Waandishi Wetu
MAGHOROFA yaliyojengwa kandokando ya Mto Mlalakua na Ufukweni mwa Bahari ya Hindi yatabomolewa, hivyo kuzua mshtuko mkubwa kwa wamiliki.…

Added by GLOBAL on April 30, 2013 at 8:00am — 8 Comments
MAMA ZITTO: WANATAKA KUNIUA
Haruni Sanchawa na Makongoro Oging'
SHIDA Salum ambaye ni mama mzazi wa mwanasiasa machachari ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe amesema kuna watu wanataka kumuua.…

Added by GLOBAL on April 30, 2013 at 8:00am — 11 Comments
MATUSI BUNGENI NI FEDHEHA KWA BUNGE; TUSIKUBALI
Na: Eric Shigongo
KWANZA kabisa nimshukuru Mungu kutokana na kutupendelea kwa kuweza kuwa hai leo lakini pia kwa kuiweka nchi yetu katika amani na utulivu.
Baada ya kusema hayo leo nimeamua kuzungumzia tatizo lililojitokeza la wabunge kuporomosha matusi na nitadodosa pia demokrasia ya vyama…

Added by GLOBAL on April 23, 2013 at 12:00pm — 7 Comments
BWANA HARUSI ‘JAMBAZI’ AKAMATWA KANISANI KUHUSISHWA NA UJAMBAZI
Stori:Mwandishi Wetu na Mitandao
Katika hatua isiyo ya kawaida, Bwana harusi Samwel Mutaka amekamatwa na polisi Jumapili iliyopita akiwa anajiandaa kufunga ndoa akidaiwa ni jambazi.
Kwa mujibu wa gazeti moja nchini Uganda, mkasa huo ulitokea katika Kanisa la Wasabato Najankumbi, nje…

Added by GLOBAL on April 23, 2013 at 11:21am — 16 Comments
ACHARANGWA MAPANGA, KISA NGOMBE!
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Athuman Salum Mkami, mkazi wa Kitongoji cha Lunulo, Kijiji cha Kisemo mkoani Morogoro, amenusurika kifo baada ya kukatwa mapanga na wafugaji.…

Added by GLOBAL on April 23, 2013 at 11:16am — 4 Comments
SIMANZI NZITO!
KUSOMA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
Stori:Makongoro Oging na Issa Mnally
Simanzi, majonzi na masikitiko makubwa yalitawala katika msiba wa Mwalimu Elizabeth…

Added by GLOBAL on April 23, 2013 at 10:40am — 10 Comments
PADRI
Vitendo vya kikatili vimekuwa vikitekelezwa katika sura mbalimbali, ila tukio la mtumishi wa Mungu, Padri Celestine John Nyaumba, 35, kumgonga kwa gari makusudi na kumcharanga mapanga mzazi mwenzake ni aibu isiyo na mfano.
Padri Celestine, anayetoa huduma kwenye Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph, Homboro, Dodoma,…

Added by GLOBAL on April 23, 2013 at 10:05am — 17 Comments
HAPONI MTU
Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa
IMEBAINIKA kwamba kuna mtandao wa askari ndani ya majeshi mbalimbali ya ulinzi nchini na hasa Jeshi la Magereza ambao unajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.…

Added by GLOBAL on April 16, 2013 at 4:00am — 18 Comments
2013
2012
2011
2010
1999
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
hope |
| 6 |
Tatu Majaliwa |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Mishy chunga |
| 10 |
shabani abdallah nguluko |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE 8 hours ago. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.



