All News Posts Tagged 'risasi11' (1,453)

HAMISA APANGUA MSURURU WA WANAUME

Stori: Musa Mateja

MODO maarufu Bongo, Hamisa Mabeto amekanusha vikali taarifa za kuwa ana msururu wa mabwana kama inavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.…

Added by GLOBAL on August 23, 2014 at 7:03am — 7 Comments

FETTY, MULI B WANASWA KIMAHABA

Stori: Musa Mateja, Kahama

MTANGAZAJI wa Clouds FM, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’ na DJ Muli B, wamenaswa wakiwa kwenye pozi la mahaba huku tena wakiwa wamejisahau utadhani mume na mkewe.…

Added by GLOBAL on August 23, 2014 at 6:56am — 2 Comments

PAPA KUJITABIRIA KIFO, WAUMINI WAANZA MAJONZI!

Na Mwandishi Wetu

MAJONZI yameanza kuwakuta baadhi ya waumini wa kanisa katoliki Bongo kufuatia kiongozi wao wa dunia, Papa Francis (77) kuweka hadharani hatima ya maisha yake.…

Added by GLOBAL on August 23, 2014 at 6:50am — 2 Comments

NORA AWABOMOA BONGO MOVIE

Stori: Gladness Mallya

MKONGWE kwenye kilinge cha filamu Bongo, Nora amewachana viongozi wa Bongo Movie kwa kuwasahau wakongwe kwenye gemu.…

Added by GLOBAL on August 23, 2014 at 6:44am — 2 Comments

FUNDI AUWA, ATUPWA BWAWANI

Chande Abdallah na Deogratius Mongela

FUNDI ujenzi aliyefahamika kwa jina la Omari Mkulu (25) amedaiwa kuuawa na kutupwa ndani ya bwawa baada ya kudaiwa kutoweka nyumbani kwa takriban siku tatu.…

Added by GLOBAL on August 23, 2014 at 6:38am — 6 Comments

WOLPER ALIA KUTOPATA MTOTO

Na Imelda Mtema

SUPER lady kunako tasnia ya sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe (26), anadaiwa kuangua kilio kisa kutopata mtoto, Risasi Jumamosi limeinyaka.…

Added by GLOBAL on August 23, 2014 at 6:32am — 8 Comments

SANDRA: NACHUKIA UKE WENZA

Stori: Rhoda Josiah

MKONGWE kwenye sanaa Bongo, Salama Salmin ‘Sadra’ amesema kuwa hakuna kitu anakichukia maishani kama uke wenza.…

Added by GLOBAL on August 23, 2014 at 6:29am — 2 Comments

JUX: KWELI JACK PATRICK ALIKUWA NI MPENZI WANGU!

Na Musa Mateja

MALOVEE! Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, staa wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Nitasubiri, Juma Khalid ‘Jux’, kwa mara ya kwanza amevunja ukimya na kufungukia penzi lake na modo anayedaiwa kufungwa nchini China kwa msala wa madawa ya kulevya ‘unga’,…

Added by GLOBAL on August 23, 2014 at 6:00am — 1 Comment

DUDE ATOA SOMO LA MCHEPUKO

Na Gladness Mallya

STAA wa Mchezo wa Bongo Dar es Salaam, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kuwataka wasanii wenzake kuepuka michepuko akidai wengi wao wanaiendekeza.…

Added by GLOBAL on August 16, 2014 at 8:59am — 1 Comment

WASTARA AOLEWA NA MWANAUME ASIYEMJUA

HiSTORIA KWA UFUPI

Wastara alizaliwa mwaka 1983 katika Hospitali ya Turiani iliyopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro akiwa ni mtoto wa tano kati ya saba waliozaliwa katika familia yao.…

Added by GLOBAL on August 16, 2014 at 8:51am — 5 Comments

KIDUME WA MA - MC WA KIKE ANASWA

Stori:Richard Bukos

KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Yona Nathal, mkazi wa Ubungo ya River Side jijini Dar es Salaam, Jumanne iliyopita alijikuta katika timbwili zito na kundi la washereheshaji maarufu wa kike Dar ‘ma -MC’ baada ya kubainika kuwachanganya kimapenzi.…

Added by GLOBAL on August 16, 2014 at 8:42am — 5 Comments

BAA YAGEUZWA KANISA DAR

Stori: Denis Mtima

WAKATI matukio mengi ya kushangaza na kushtukiza yakiendelea kutokea kila siku duniani, neno la Mungu nalo linazidi kushika kasi kufuatia baa moja iliyopo Sinza-Lion jijini Dar kugeuzwa kuwa kanisa.…

Added by GLOBAL on August 16, 2014 at 8:34am — 5 Comments

SHILOLE ATAJA SABABU ZA KURUDIANA NA MZIWANDA

Na Erick Evarist

STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha.…

Added by GLOBAL on August 16, 2014 at 7:00am — 1 Comment

MENINAH:HATUENDANI NA DIAMOND

Na Andrew Carlos

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Meninah Abdulkareem ‘Meninah’ amefunguka juu ya tetesi zinazoeneo kuwa na uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ‘Diamond’ kwa kusema kuwa siyo levo yake.…

Added by GLOBAL on August 16, 2014 at 6:59am — 3 Comments

MCHUMBA AMSAKA JACK DUSTAN

Na Imelda Mtema

MCHUMBA wa aliyekuwa mshiriki wa Shindano la Maisha Plus (Season 2), Jack Dustan, Hamisi Ally ameibuka na kusema anamsaka mchumba wake huyo aliyepotea kwa takriban mwaka mzima tangu amvalishe pete ya uchumba.…

Added by GLOBAL on August 16, 2014 at 6:57am — 3 Comments

AFANDE SELE AZIMIA AKIMZIKA MKEWE!

Stori: Dustan Shekidele,Morogoro

Mfalme wa Rhymes Bongo, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameshindwa kustahimili msiba wa mkewe, Asha Msindi (34) na kujikuta akizimia msibani wakati wa maziko, Risasi Jumamosi lina stori ya kusikitisha.…

Added by GLOBAL on August 16, 2014 at 6:52am — 9 Comments

KIBANO! TRAFIKI WAMFUNGIA KAZI DEREVA JEURI

Stori: Deogratius Mongela na gabriel ng’osha

DEREVA wa Basi la Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA) ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta akipewa kibano hevi na askari wa usalama barabarani ‘trafiki’ baada ya kuleta ubabe…

Added by GLOBAL on August 16, 2014 at 6:00am — 3 Comments

MUME, MKE VARANGATI MAHAKAMANI

Stori: Haruni Sanchawa

TIMBWILI! Jamaa mmoja na mkewe ambao wote hawakujulikana majina mara moja wamezua varangati la aina yake mahakamani kisa kikiwa ni kufutiwa kesi na kushindwa kuheshimu amri za maafande.…

Added by GLOBAL on August 9, 2014 at 9:10am — 5 Comments

UNGA WAMTESA TENA AGNESS MASOGANGE

Stori: Imelda Mtema

MAJANGA! Baada ya kuchomoka kwenye ule msala wa awali wa madawa ya kulevya, video queen matata Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ amejikuta akiteseka kwa ishu hiyo kwa mara nyingine.…

Added by GLOBAL on August 9, 2014 at 8:15am — 4 Comments

BELA, KALAMA NDOA YANUKIA

Stori: Gladness Mallya

STAA wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda ‘Bela’ na mpenzi wake wa kitambo, Karama Omari ‘Luten’ wanatarajia kufunga ndoa Novemba, mwaka huu.…

Added by GLOBAL on August 9, 2014 at 8:05am — 2 Comments

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by kathy paramores yesterday. 19 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by anilahsan Jul 19. 79 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by navarrohart Jun 8. 37 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by anilahsan Jun 26. 72 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Aicar Salewa May 23. 5 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by anilahsan Jul 12. 21 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service