All News Posts Tagged 'pasua11' (195)

RAIS KUTOKUWA NA ‘MENO’ KWENYE BUNGE LA KATIBA ALAUMIWE NANI?

KWANZA kama ilivyo ada nimshukuru Mungu kwa kuniweka hai nikiwa na afya njema.

Wiki iliyopita nilieleza jinsi muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulivyozitesa serikali za muungano na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar. Nikasema kamati na tume nyingi ziliundwa na fedha za walipa kodi,…

Added by GLOBAL on September 9, 2014 at 7:30am — No Comments

AJALI HIZI ZINAEPUKIKA!

HABARI za leo wapendwa wasomaji. Ni matumaini yangu kuwa Mwenyezi Mungu ameendelea kuwa upande wetu kama ilivyo siku zote. Ni faraja sana kuona kila jambo zuri au baya, limetokea kutokana na karama yake.…

Added by GLOBAL on June 24, 2014 at 7:00am — 1 Comment

KUKOSA UZALENDO KUMEFANYA VITABU VYA SHULE KUWA HOVYO

NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kunipa afya ya kuweza kuandika haya nitakayoyaandika leo katika safu hii.

Kichwani mwangu nasikia  kelele nyingi za wabunge wakiongozwa na Mhe. James Mbatia kuhusu udhibiti wa vitabu vinavyotumika shuleni, lakini machoni naona wazi kabisa kuwa watendaji wa vyombo husika hawasikii…

Added by GLOBAL on June 17, 2014 at 7:00am — No Comments

USIFURAHIE MATESO YA MTOTO WA MWENZAKO

IMEKUWA desturi yangu, lazima nianze kwa kulitanguliza mbele jina la Bwana Mungu wangu kabla ya kufanya jambo lolote kwa sababu nimefundishwa kuamini kwamba bila yeye hakuna kinachowezekana. Nimekuwa nikirudia mara kadhaa kuwaambia kuwa baadhi yetu, labda kwa fedha au mali tulizonazo, tunajiona kama…

Added by GLOBAL on June 3, 2014 at 6:30am — 1 Comment

TEMBO WANAKWISHA, WACHACHE WANANUFAIKA, UCHUMI UNADIDIMIA

Balozi Khamis Kagasheki.

NIMSHUKURU Mungu kwa kutuweka hai leo, mimi na wewe msomaji wangu.

Baada ya kumshukuru Muumba niende moja kwa moja kusema kwamba nimesikitika sana na nahisi moyo…

Added by GLOBAL on May 20, 2014 at 7:00am — No Comments

WABUNGE, NINI FAIDA YA RIPOTI YA MKAGUZI MKUU KAMA HAMFANYII KAZI?

Nianze kwa kumuomba Mungu atuzidishie amani katika nchi yetu huku akitupa afya njema ili tuweze kumtukuza na kumsifu daima kwa wema wake kwetu.…

Added by GLOBAL on May 13, 2014 at 6:00am — 1 Comment

BADO TUNAYO NAFASI KUNUSURU KATIBA MPYA

NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kila hatua ya maisha yangu, kwa sababu ninaamini kabisa, bila yeye, hakuna lolote ninaloweza kulifanya.…

Added by GLOBAL on April 22, 2014 at 5:00am — 3 Comments

NANI ATABADILI MIOYO YETU?

NIMSHUKURU sana Mungu, mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kukutana tena leo, wakati mamia ya ndugu zetu wakiwa mahospitalini wakishindana na vifo, lakini sisi tu wazima. Kama ninavyosisitiza wakati wote, hatuko hivi tulivyo kwa sababu ya ujanja wetu, bali uhai na uzima wetu upo mikononi mwake yeye…

Added by GLOBAL on April 15, 2014 at 3:30am — 6 Comments

TATIZO LA MACHINGA LINATAKA BUSARA

NINAWASALIMU kwa jina la Bwana Mungu, mwingi wa rehema na muweza wa kila jambo. Siku zote nimekuwa nikiwasihi kumuweka mbele muumba wa nchi na mbingu, kwani kwake hakuna lisilowezekana.…

Added by GLOBAL on April 8, 2014 at 6:30am — 4 Comments

SITTA HUU NDIYO WAKATI MUAFAKA

KAMA inavyokuwa siku zote, siwezi kusema lolote na nyinyi pasipo kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kufika hapa tulipo leo. Yeye ndiye bingwa wa miujiza na hakika kwake, hakuna lisilowezekana.…

Added by GLOBAL on March 25, 2014 at 5:30am — 3 Comments

UHAMIAJI WANATAKIWA KUFIKIRI ZAIDI

MWENYEZI Mungu, mwingi wa rehema ni wa kushukuriwa sana kwa kila jambo tunalolitenda hapa duniani. Kwa mara nyingine ameendelea kutenda miaujiza yake na leo hii tunakutana tena kwenye safu yetu maridhawa.…

Added by GLOBAL on March 18, 2014 at 1:02am — 1 Comment

TUWAACHE WABUNGE WATUPE KITU BORA

NINA heshima kubwa kwa Mwenyezi Mungu kwa huruma yake juu yangu, kuweza kuwa pamoja na nyinyi tena leo hii, akinitumia mimi kuwafikishia ujumbe wake wenye upendo na amani.

Nimesema mara zote na kamwe sitachoka kuwakumbusha kuwa tupo wazima kama hivi tulivyo kwa sababu ya huruma yake Mungu tu, vinginevyo sisi…

Added by GLOBAL on March 11, 2014 at 4:30am — 1 Comment

MAKUNDI BUNGE LA KATIBA NI MPASUKO

NIMSHUKURU Mungu kwa kuniwezesha kuwa nanyi leo na kuniwezesha kuandika haya nitakayoandika hapa, hakika Mungu ahimidiwe.

Hivi sasa kuna…

Added by GLOBAL on March 4, 2014 at 12:30am — 1 Comment

NI AIBU ILIOJE BUNGE LA KATIBA!

NIMSHUKURU sana Mwenyezi Mungu kwa mara nyingine kwa kutuwezesha kuwa pamoja tena leo, tukijadili mambo muhimu ya taifa letu, ambalo kwa sasa lipo katika mchakato wa kupitia Rasimu ya Katiba, ambao kama utakwenda vizuri, nchi yetu itakuwa na katiba mpya wakati wa Uchaguzi Mkuu ujao.…

Added by GLOBAL on February 25, 2014 at 6:30am — 3 Comments

KAZI KWENU WAJUMBE BUNGE LA KATIBA

KAMA ilivyo kawaida ya kila siku, ni budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutubariki tena leo, tukikutana tukiwa na uwezo wa kutambua kwamba, bila yeye aliye juu, tusingeweza kuwa pamoja.…

Added by GLOBAL on February 10, 2014 at 11:30pm — No Comments

KWA TULIPOFIKIA, YATUPASA TUJIANGALIE UPYA

Na Eric Shigongo

MARA kwa mara nimekuwa nikisisitiza juu ya suala la kumshukuru Mwenyezi Mungu, nikisema kwamba bila yeye, yote tunayoyafanya hapa duniani ni bure kabisa. Baadhi ya watu, wamekuwa wakiniona kama ninayejifanya nimeokoka.…

Added by GLOBAL on February 4, 2014 at 7:00am — 1 Comment

KWA NINI TUNASUBIRI MATUKIO?

NI siku nyingine tena tunakutana katika safu yetu kwa ajili ya kuelimishana juu ya nini kinaendelea katika jamii yetu. Lakini kama ilivyo kawaida yangu, nisingependa kuzungumza lolote na nyinyi bila kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kutujaalia kuwa na afya njema, inayotufanya tunafurahia maisha yetu ya kila…

Added by GLOBAL on January 28, 2014 at 7:30am — No Comments

YA SONGOSONGO YANAWEZA KUFANYIKA KWINGINE TZ

NI jambo la kutia faraja kwamba kwa mara nyingine tumeamka salama na tunaendelea na maisha kama kawaida.…

Added by GLOBAL on January 21, 2014 at 1:22am — 1 Comment

VITAMBULISHO, DAFTARI LA WAPIGA KURA LIANGALIWE KWA MAKINI

HABARI zenu wapendwa wasomaji wa safu hii. Nichukue nafasi hii kwa mara nyingine kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kuwa na afya njema leo.…

Added by GLOBAL on January 14, 2014 at 6:00am — 2 Comments

TUMUACHE, TUMUAMINI JK

KAMA kawaida, naomba kumshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa afya njema kwa kila siku iendayo. Nimesema mara zote kwamba sisi tuko hivi tulivyo leo kutokana na karama yake muumba, kwani wenzetu wengi wametangulia mbele ya haki na wengine ni vilema. Hatukuwa hivi kwa sababu ya ujanja wetu, bali kwa vile yeye…

Added by GLOBAL on January 7, 2014 at 5:00am — 2 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ Dec 16. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 9 hours ago. 13 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by maleka sakeha yesterday. 30 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson 8 hours ago. 13 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 10 hours ago. 38 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }