All News Posts Tagged 'ngono' (6)

WATANZANIA WANNE MBARONI KWA KUWATUMIKISHA MABINTI KINGONO NCHINI CHINA

Baadhi ya mabinti wanaotumikishwa katika biashara hiyo ya ngono.…

Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 10:30am — 6 Comments

Picha za ngono zazua kizaazaa kwenye kompyuta bungeni Indonesia

Baadhi ya picha za ngono kwenye kompyuta.

WANASIASA na waandishi wa habari katika bunge la Indonesia walishituka baada ya kompyuta zake kuanza kuonyesha tovuti za ngono.Kompyuta ambazo hutumiwa na waandishi wa habari na wageni ili kupata habari za ndani ya bunge na masuala mengine ya kisiasa, zilikuwa zikionyesha tovuti ya ngono kila…

Added by GLOBAL on August 4, 2010 at 3:57pm — 2 Comments

Jamaa ashitakiwa kwa kufanya ngono na mbwa aitwaye Christie BrinkleyAina ya mbwa kama yule aliyehusishwa kuingiliwa na Pacher.

MWANAMME mmoja anayejulikana kuwa ni kipenzi cha wanyama, anashikiliwa kwa kudaiwa kufanya ngono na mbwa, kisha akaenda kulalamika kwa maofisa wa wanyama kwamba maisha yake na mnyama huyo yalikuwa si mema.Armand M. Pacher ambaye anadaiwa kufanya uzinzi na…

Added by GLOBAL on July 22, 2010 at 4:52pm — 6 Comments

Mfungwa aomba kufanya ngono gerezani

Mfungwa akiwa gerezani.

Uingereza

MFUNGWA mmoja wa madawa ya kulevya, Christopher Pollock, ametaka aruhusiwe kufanya mapenzi akiwa gerezani kwani jambo hilo linaruhusiwa nchini kwao Hispania.Mtu huyo alidai kuruhusiwa hivyo kwa vile barani Ulaya watu huruhusiwa kufanya mapenzi na…

Added by GLOBAL on May 18, 2010 at 2:00pm — 4 Comments

Nyota wa soka wahojiwa sakata la ngono

Ribery aliyehojiwa kama shahidi.NYOTA wa soka Mfaransa, Franck Ribery, amehojiwa na polisi kama shahidi katika madai ya watoto wadogo wa kike kufanya ukahaba.Mchezaji huyo wa timu ya Bayern Munich na wa timu ya taifa ya Ufaransa hakushitakiwa kwa kosa lolote na mwanasheria wake amesema "alihojiwa kama shahidi tu na mambo yote yakaishia…

Added by GLOBAL on April 20, 2010 at 3:05pm — No Comments

Tiger Woods akumbwa na kashfa nyingine ya ngono

Tiger Woods ambaye amekumbwa na kashfa nyingine ya ngono.

WAKATI nyota wa mchezo wa golf duniani, Tiger Woods, wa Marekani, akijaribu kumaliza kashfa ya kujihusisha katika vitendo vya ngono vilivyomvurugia kwa…

Added by GLOBAL on April 11, 2010 at 4:33pm — 3 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 22. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 25. 29 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson Nov 23. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

Loading… Loading feed

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }