All News Posts Tagged 'mchanganyiko11' (1,254)

ABOUBAKAR SADIK APASULIWA

Stori: Joseph Shaluwa

AFYA ya mtangazaji mwenye jina kubwa Bongo, Aboubakar Sadik ambaye anatumikia Radio One Sterio ya jijini Dar es Salaam, si nzuri kiasi cha kulazimika kufanyiwa upasuaji haraka.…

Added by GLOBAL on July 30, 2014 at 8:54am — 2 Comments

MR.NICE AFUNGUKA SIRI YA KUFILISIKA KWAKE!

Stori:  Shakoor Jongo

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibuka na kufunguka kuwa siri ya kufilisika kwake ni kupenda kwake sifa kutoka kwa wapambe na matumizi mabaya ya fedha alizokuwa akiziingiza.…

Added by GLOBAL on July 30, 2014 at 8:41am — 1 Comment

ULITAKA KUTOKA AU MAFANIKIO KIMUZIKI? KWAKO,

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva,'Mo Music'…

Added by GLOBAL on July 30, 2014 at 8:01am — No Comments

MSANII ANASWA CHINA

Stori: Musa Mateja

HUKU modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’, akisota jela nchini China kwa skendo ya kukamatwa na madawa ya kulevya (unga), mrembo mwingine ambaye aliwahi kujaribu kuchomoka kisanii kwenye muziki wa Kizazi Kipya…

Added by GLOBAL on July 30, 2014 at 7:50am — 5 Comments

STEVE NYERERE: WASANII TUWEKEZE PSPF

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.

Stori: mwandishi wetu

MWENYEKITI wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewataka…

Added by GLOBAL on July 30, 2014 at 7:44am — No Comments

GARI LA DUDE LAKAMATWA DAR KWA UJAMBAZI

Stori: waandishi wetu

GARI la muigizaji maarufu wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ limekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam likihusishwa na tukio la ujambazi linalodaiwa kutokea Kijitonyama Mpakani usiku wa saa 5.15 Julai 21 mwaka huu.…

Added by GLOBAL on July 30, 2014 at 7:00am — 1 Comment

GARI LA MTOTO WA MALECELA LAKAMATWA

Stori:  Joseph Shaluwa

MKURUGENZI wa Kampuni ya Ntyuka Security ya mjini Dodoma, Samwel Malecela ameingia matatani baada ya gari lake aina ya Toyota Prado kukamatwa kwa ajili ya kupigwa mnada kutokana na kukabiliwa na madeni.…

Added by GLOBAL on July 30, 2014 at 7:00am — No Comments

WEMA: UGONJWA WA NGOZI UMENIHARIBU

Stori: Musa Mateja

MISS Tanzania 2006/07 Wema Sepetu amesema ugonjwa wa ngozi ulioshambulia sehemu ya shavu lake la kushoto umeharibu urembo wake na kumfanya ashindwe kutoka.…

Added by GLOBAL on July 23, 2014 at 8:30am — 8 Comments

VURUGU KANISA LA MORAVIAN... NI FULL SINEMA

Stori: Haruni Sanchawa

ILIKUWA ni full sinema mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya waumini wa Kanisa la Moravian, lililopo…

Added by GLOBAL on July 23, 2014 at 8:30am — 4 Comments

BABY MADAHA, SHILOLE WATIFUANA

Stori: Gladness Mallya

MTIFUANO mzito umeibuka kati ya mastaa wa Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ na Baby Madaha baada ya kurushiana vijembe.…

Added by GLOBAL on July 23, 2014 at 7:30am — 3 Comments

RAY, CHIKI NUSURA WAZICHAPE!

Stori: Musa Mateja

ILIBAKI kidogo mastaa wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’, na Salum Mchoma ‘Chiki’, wazichape baada ya kutokea mzozo kati yao uliodumu kwa dakika tatu wakirushiana maneno.…

Added by GLOBAL on July 23, 2014 at 7:30am — 4 Comments

RAY C: CHID BENZ ATAOZEA JELA

Stori: Musa Mateja

NYOTA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ambaye hivi karibuni aliripotiwa kupokea kipigo cha maana kutoka kwa msanii mwenzake, Rashid Makwilo almaarufu Chid Benz, ameibuka na kudai kuwa atahakikisha rapa huyo anaozea jela kwa kitendo hicho…

Added by GLOBAL on July 23, 2014 at 7:00am — 4 Comments

LULU AMMWAGIA DOLA DK. CHENI

Stori: Waandishi Wetu

MUIGIZAJI mwenye mvuto wa kipekee Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ juzikati alimsapraizi staa…

Added by GLOBAL on July 23, 2014 at 6:30am — 8 Comments

INAUMA! NJEMBA AKIHARIBU...

Stori: Deogratius Mongela na Chande Abdallah

Hii ni laana! Njemba mwenye umri wa miaka 27 aliyetambuliwa kwa jina moja la Osward, amekiharibu vibaya kitoto cha kike (jina linahifadhiwa) (3) baada ya kukiingilia kimwili huko Yombo Njiapanda ya Mwinyi, jijini Dar es…

Added by GLOBAL on July 16, 2014 at 2:55pm — 4 Comments

CHID NI USHAMBA AU JELA INAKUITA?

Rashid Makwilo ‘Chid…

Added by GLOBAL on July 16, 2014 at 7:44am — 1 Comment

SHILOLE AMTETEA SERENGETI BOY WAKE

Stori: Gladness Mallya

MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametetea maisha yake ya kimapenzi na Nuh Mziwanda, akisema madai kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye, siyo kweli kwani wanalingana umri.…

Added by GLOBAL on July 16, 2014 at 7:37am — 5 Comments

RACHEL SITOKI NA TID JAMANI!

Stori: shani ramadhani

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat maarufu kama Rachel, amekanusha uvumi kuwa anatoka kimapenzi na mkongwe wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’.…

Added by GLOBAL on July 16, 2014 at 7:30am — 5 Comments

DEVOTA ACHEKELEA OFISI BONGO MOVIE

Stori: mayasa mariwata

MUIGIZAJI wa filamu nchini, ambaye ni Katibu wa klabu ya Bongo Movie Unity, Devota Mbaga amesema amefurahi sana kuona kundi lao likipata ofisi za kuendeshea kazi zao.…

Added by GLOBAL on July 16, 2014 at 7:25am — No Comments

KAJALA APATA MCHECHETO GHAFLA

Stori: mayasa mariwata

MUIGIZAJI mwenye jina katika filamu za Bongo, Kajala Masanja juzi kati alipatwa na mchecheto ghafla wakati wa shughuli iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere maarufu kama Steve Nyerere huko Masaki, jijini Dar es Salaam.…

Added by GLOBAL on July 16, 2014 at 7:00am — 4 Comments

RAMADHANI YAMALIZA BIFU LA WEMA, PENNY!

Stori: Waandishi Wetu

STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amesema baada ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu na mtangazaji maarufu Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’, sasa ameamua kumsamehe rasmi kwa heshima ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.…

Added by GLOBAL on July 16, 2014 at 7:00am — 1 Comment

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by Amani mp Jul 26. 17 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by anilahsan Jul 19. 79 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by navarrohart Jun 8. 37 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by anilahsan Jun 26. 72 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Aicar Salewa May 23. 5 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by anilahsan Jul 12. 21 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service