All News Posts Tagged 'makala11' (916)

SHINIKIZO LA DAMU (HYPERTENSION)

WIKI hii tutazungumzia ugonjwa wa shinikizo la damu, au ambao wengi huuita presha na kitaalamu huitwa Hypertension au High Blood Pressure.

Ieleweke kuwa shinikizo la damu ni muhimu kwa ajili ya kusukuma damu katika sehemu zote za mwili, lakini shinikizo la damu la juu huweza kuleta matatizo na…

Added by GLOBAL on April 23, 2014 at 7:00am — No Comments

LULU UMEANZA EEEH!

Elizabeth Michael…

Added by GLOBAL on April 23, 2014 at 5:00am — 5 Comments

WABONGO: CHONDECHONDE JK VUNJA BUNGE LA KATIBA

BAADA ya kutokea kwa sintofahamu ndani ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kwa wabunge wanaounda umoja wa Ukawa kutoka nje, wengi wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kukivunja chombo hicho.…

Added by GLOBAL on April 23, 2014 at 4:30am — 4 Comments

UCHAGUZI MKUU UPO, HAUPO?

MCHAKATO wa kupitiwa kwa rasimu ya katiba kama ilivyowasilishwa na Tume ya Jaji Joseph Warioba, unaendelea katika Bunge Maalum la Katiba linaloketi mjini Dodoma kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.

Katika hali ya kusikitisha kabisa, wiki iliyopita tulishuhudia wajumbe wanaounda umoja unaofahamika kama Ukawa…

Added by GLOBAL on April 22, 2014 at 6:30am — 1 Comment

KUDAI TANGANYIKA KULIANZIA BUNGENI 1993

WAKATI baadhi ya Wazanzibari wanasema muungano umeumeza utaifa wao, Watanganyika kadhaa nao wamekuwa wakisema rasilimali nyingi za Tanzania Bara zimekuwa zikiwanufaisha Wazanzibari.

Wazanzibari, kwa upande wao wanaendelea kusema kwamba kwa kipindi chote hicho wameshindwa kufanya jambo lolote kwa maendeleo yao…

Added by GLOBAL on April 22, 2014 at 6:00am — No Comments

TIBA YA SARATANI YA MATITI - 4

MAKALA haya tunazungumzia ugonjwa wa kansa ya titi, leo tutaanza kueleza tiba yake. Endelea.

 Aina ya upasuaji katika matibabu ya kansa ya matiti ni ile ambayo inahusisha uondoaji wa titi lote lililoathirika pamoja na tezi zote yaani chini ya mkono bila kuhusisha uondoaji wa misuli ya kifua.

Aina…

Added by GLOBAL on April 22, 2014 at 6:00am — No Comments

KANSA YA MATATITI: VITAMIN D NDIYO KINGA KUBWA

Vitamin D, ambayo kwa kiasi kikubwa hupatikana kwa ngozi kupata mwanga wa jua, ina faida nyingi muhimu za kiafya mwilini na utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa vitamin hiyo ndiyo msingi mkubwa wa kuzuia magonjwa mbalimbali mwilini.…

Added by GLOBAL on April 22, 2014 at 5:30am — 1 Comment

UNAWEZA KUWA TAJIRI KABLA YA MIAKA 30

UKWELI mmoja wa wazi ni kwamba kila mmoja wetu angependa kuwa na maisha mazuri, au kifupi kwamba awe na fedha nyingi, kwa maana ya tajiri.

Hii ndiyo sababu mara kadhaa umepata kusikia juu ya watu wanaosaka utajiri kwa njia mbalimbali, zikiwemo haramu na ushirikina. Kama lengo la kila mmoja ni kutafuta kazi…

Added by GLOBAL on April 22, 2014 at 5:30am — No Comments

MEYA SILAA: DAR ITAKUFA

Mwandishi : Elvan Stambuni na Haruni Sanchawa

MEYA wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa amesema ikiwa Halmashauri ya Jiji haitapewa fedha za kutosha na serikali kuu basi Dar itakufa.…

Added by GLOBAL on April 22, 2014 at 5:30am — 3 Comments

MAZOEZI HUPUNGUZA MAFUTA MWILINI

BAADA ya kuzungumzia matatizo, magonjwa na njia za kupunguza unene tukataja kuwa mojawapo ni mazoezi huku tukiahidi kuwa kipengele hicho tutafafanua kwa urefu.Leo tutafafanua kuhusu umuhimu wa mazoezi katika kupunguza unene pia tuangalie na wakati bora wa kuyafanya. Mazoezi ni muhimu sana kwa…

Added by GLOBAL on April 21, 2014 at 8:27am — 1 Comment

MAUMIVU YA SHINGO NA MGONGO

Tatizo hili huwasumbua baadhi ya watu wake kwa waume na zaidi ni watu wazima. Tatizo huwapata zaidi watu wa umri wa kati, yaani miaka 35 hadi 45 na huwa makali zaidi katika umri zaidi ya miaka 45.…

Added by GLOBAL on April 18, 2014 at 4:30am — No Comments

TAMBUA AINA TOFAUTI ZA UVIMBE KWENYE KIZAZI CHA MWANAMKE-3

Wiki zilizopita nilijadili kuhusu Fibroids, Ovarian cysts yaani uvimbe kwenye vifuko vya mayai ya uzazi na tatizo la mwanamke kuwa na vijivimbe vingi vidogo vidogo kwenye vifuko vya mayai ya uzazi, tatizo ambalo kitaalamu hujulikana kama Polycystic Ovarian Syndrome ( PCOS). Leo nitamalizia somo hili.

Leo…

Added by GLOBAL on April 17, 2014 at 7:00am — No Comments

SIMULIZI TAMU YA WEMA SEPETU-6

Wiki iliyopita, Wema alisimulia mpaka kwenye matumizi ya mkorogo ambapo alisema kwa sasa yuko sawa, ngozi safi na hatumii tena mkorogo.…

Added by GLOBAL on April 17, 2014 at 6:00am — 3 Comments

VIDEO CHAFU BONGO FLEVA, NDIYO UBORA WA KIMATAIFA?

Malikia wa Bongo…

Added by GLOBAL on April 16, 2014 at 4:00am — 2 Comments

FAHAMU SARATANI YA TEZI DUME (PROSTATE CANCER)

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani.

Ugonjwa…

Added by GLOBAL on April 16, 2014 at 3:30am — No Comments

SIKU RAIS WA ZANZIBAR ALIPONG’OLEWA MADARAKANI- 3

TUNAMALIZIA kwa kueleza kile kilichosababisha aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi (pichani) kung’olewa madarakani mwaka 1984.

Baada ya madai kuwa kuna mapinduzi yanataka kufanywa Zanzibar suala hilo lilifikishwa Kamati Kuu ya CCM nayo ikaamua kuunda timu mbili kwenda kuchunguza tuhuma hizo…

Added by GLOBAL on April 15, 2014 at 7:30am — 5 Comments

KATIBA IZUIE NDOA ZA UTOTONI BILA KUJALI DINI

SUALA la ndoa za watoto wadogo – chini ya umri wa miaka 18 – limekuwa likiendelea kwa miaka mingi bila kupatiwa ufumbuzi na tumeamua kulizungumzia kutokana na ukweli kuwa Bunge Maalum la Katiba hivi sasa linatengeneza sheria mama mjini Dodoma.

  Tatizo hili la ndoa za watoto wadogo, kwa mujibu wa mkanganyiko…

Added by GLOBAL on April 15, 2014 at 7:30am — 1 Comment

MAONI YA WACHACHE, WENGI, BUNGE LA KATIBA LIMEPINDA

Na Luqman Maloto

HUKO nyuma niliwahi kuandika makala, nikaeleza “Siasa, porojo na uhuni  siyo matarajio ya Watanzania Bunge la Katiba”. Aliyesoma alinielewa. Kama hukupata bahati hiyo, lengo langu lilikuwa kila mmoja ambaye anaitwa Mjumbe wa Bunge la Katiba, avae uzalendo.…

Added by GLOBAL on April 15, 2014 at 4:00am — No Comments

NJIA RAHISI YA KUTENGENEZA UTAJIRI- 2

Warren Buffett.

WIKI iliyopita tuliangalia kanuni tano zilizomfanya tajiri namba moja duniani, Warren Buffett kufanikiwa katika maisha yake, leo tunamalizia kanuni tano za mwisho ambazo kama…

Added by GLOBAL on April 15, 2014 at 3:30am — 1 Comment

SABABU 18 ZA KUPUNGUZA UZITO

Na Dk Mandai A

Simu 0717961795, 0754391743

Tumeeleza kwa…

Added by GLOBAL on April 14, 2014 at 6:00am — No Comments

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by Kasharu Martin Apr 15. 2 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by willson jon 16 hours ago. 23 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Kasharu Martin Apr 15. 7 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by Mohammed Nasser Abdullah Mar 19. 6 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Joyce Moses Oct 1, 2013. 4 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa Jun 20, 2013. 0 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

Latest Activity

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service