All News Posts Tagged 'mahaba11' (1,547)

MUMEWA MTU SUMU HUKU KUTWA UNACHAT NAYE!

MJINI kuna maneno mengi kweli yanasemwa, kila siku linazaliwa jipya. Lakini mara zote, kinachoendelea ni kujifariji tu. Eti mara utasikia mjini hakuna wazee kila mtu baby, wapiii. Wazee wapo wengi sana, sema tu wanajitoa ufahamu.…

Added by GLOBAL on September 24, 2014 at 4:00am — No Comments

NDOA YENYE MZOZO KILA SIKU MKE ANA KASORO - 2

Wiki iliyopita katika mada yetu tuliishia pale ambapo dada Mary alikuwa akizungumzia nafasi ya mke katika ndoa ambapo alisema ‘yeye kama yeye’ haamini kama anaweza kufanya jambo ambalo likamfanya mumewe achukue hatua ya kumpiga au kuzozana naye kwa vile anaijua nafasi yake katika ndoa.…

Added by GLOBAL on September 23, 2014 at 4:00am — No Comments

NINI CHA KUFANYA MPENZI WAKO ANAPOWASILIANA NA EX WAKE?

Kabla sijaingia kwenye mada ya leo, hebu tushirikishane kuhusu hali iliyomtokea dada yetu mmoja kutoka jijini Dar es Salaam. Aliwasiliana nami siku kadhaa zilizopita, akiwa analia, amekata tamaa, anaomboleza mithili ya mtu aliyepewa taarifa za msiba. Alichokisema ni hiki:…

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 5:30am — 2 Comments

UNAAMBULIA MAUMIVU KILA UKIPENDA? SOMA

HAPAWENGI sana wanaumizwa penzini, wanakutana na mtu na kutupa mapenzi yao yote lakini ndani ya muda mfupi wanaambulia maumivu.…

Added by GLOBAL on September 20, 2014 at 4:00am — 1 Comment

MBINU 10 ZA KUFUFUA PENZI LILILOKUFA

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa. Ni wiki nyingine tunapokutana kwenye busati letu ambapo tunajuzana na kujadiliana mambo mbalimbali kuhusu uhusiano wa kimapenzi.…

Added by GLOBAL on September 19, 2014 at 5:30am — No Comments

ANAKUPENDA ILA ‘SHETANI HUMPITIA’ NA KUKUSALITI, SABABU NI HIZI!

Nilishawahi kusema huko nyuma kwamba, hakuna anayeweza kusimama kwa kujiamini na kusema hasalitiwi. Asilimia kubwa tunasalitiwa lakini kwa kuwa hatujui, tunabaki na imani kwamba, wapenzi wetu ni waaminifu.…

Added by GLOBAL on September 18, 2014 at 5:00am — 1 Comment

USIZIDISHE WIVU, UTAYUMBISHA NDOA YAKO

NAJUA, watu wengi wanakuambia ni lazima wawe na wivu kwa wenza wao kwa sababu hiyo ndiyo maana ya kupenda. Ninakubaliana nao, lakini siungani nao. Niko tofauti, sitaki kuwa na wivu na nitajaribu kueleza kwa kadiri ninavyoweza ili uweze kunielewa.…

Added by GLOBAL on September 17, 2014 at 5:30am — 1 Comment

SHOGA, MWANAUME HACHEKEWI

Mmh aiih, jamani kumbe mlikuwa mkinisubiri kwa hamu hivyo, basi kama kawaida nimetua kama dege la Kimarekani. Yangu hali si mbaya nakuhofieni nyie wenzangu, wengi bado wana hamu ya kuniona ili wapate mengi zaidi eti kupitia kona hii wanapunjika bora ungekuwa…

Added by GLOBAL on September 17, 2014 at 4:30am — No Comments

NDOA YENYE MZOZO KILA SIKU, MKE ANA KASORO!

NAFURAHI sana kukutana nanyi wapenzi wasomaji wangu wa safu hii inayozungumzia maisha ya mapenzi kwa ujumla. Wiki…

Added by GLOBAL on September 16, 2014 at 5:00am — No Comments

UVIVU WAKO NI SABABU YA MWENZIO KUCHEPUKA-3

Kwa mwanamke ni hatari zaidi, kwani kwa wanaume wasio na uvumilivu, mwisho wa siku huishia kubakwa. Hata hivyo, mara nyingi hiyo haiishii hapo, tatizo hukua zaidi na zaidi kulingana na jinsi mgogoro wa kuwekeana ‘kauzibe’ unavyoshamiri ndani ya nyumba.…

Added by GLOBAL on September 15, 2014 at 5:30am — 1 Comment

UKIWA HODARI WA KUHONGA, KAA MKAO WA KUACHWA WAKATI WOWOTE!

Leo nataka kuzungumzia suala la uhongaji katika uhusiano. Kuhonga ni tabia ambayo imeshamiri sana katika jamii yetu. Kipindi cha nyuma tumezoea kusikia ama kuona wanaume wakiwahonga wanawake lakini sasa hivi mambo yamebadilika.…

Added by GLOBAL on September 13, 2014 at 4:30am — 1 Comment

MMEGOMBANA? FUATA MBINU HIZI KURUDISHA MAPENZI

Kugombana ni jambo ambalo halikwepeki katika uhusiano wa kimapenzi. Upo ugomvi ambao ni wa kawaida na huisha kirahisi lakini upo ugomvi ambao huwa mkubwa na kama ukitokea na ukashindwa kujua nini cha kufanya kuweka mambo sawa, husababisha ufa kwenye penzi lenu.…

Added by GLOBAL on September 12, 2014 at 5:00am — 2 Comments

MBINU 5 ZA KUJIFUNZA MAPENZI ILI USIACHIKE, USISALITIWE!

Nilishawahi kusema huko nyuma kwamba, mapenzi yanachukuwa sehemu kubwa sana ya maisha yetu ya kila siku.Tunafanya kazi usiku na mchana lakini pesa tunazopata tunazitumia kwenye kufurahia maisha na wapenzi wetu.…

Added by GLOBAL on September 11, 2014 at 5:00am — 1 Comment

SHOGA, HUWEZI KUITENGANISHA SHUKA KWA MANENO

Hehehe.. heeeeee, heiiiya, acha nicheke miye mtoto wa marehemu sijui wazazi wangu huko walipo wapo katika hali gani. Waweza ukaona nacheka kwa furaha, la hasha, kuna watu wengine kwa kweli kila kitu watende wao wakitenda wenzao huwa mwao.

Hivi kweli inaingia akilini wewe mama mtu mzima kutaka kuongoza ndoa…

Added by GLOBAL on September 10, 2014 at 6:30am — 1 Comment

UKIFANYA KAMA HUJALI, HUTASUMBUKA!

KUNA kelele nyingi sana kutoka kwa akina mama, wakilia kutendwa na wenza wao. Nimewahi kukutana nao wengi sana, wakilalamika na ukijaribu tu kuwagusia kuhusu nia yako ya kutaka urafiki nao, utawasikia: “Weee, tena sitaki hata kumsikia mtu anaitwa mwanaume.”…

Added by GLOBAL on September 9, 2014 at 5:30pm — No Comments

KUNA AFADHALI UKIMFUMANIA MUMEO NA DEMU MZURI KULIKO ANAYEPAKA WANJA WA 'SINA BWANA' -2

MPENDWA msomaji, wiki iliyopita katika mada yetu ya Kuna afadhali ya kumfumania mumeo na demu mzuri kuliko anayepaka wanja wa ‘sina bwana?’ tuliishia kwa simulizi ya dada Mwanaidi Mkwazu, mkazi wa jijini Dar ambaye alisema kwa upande wake iliwahi kumtokea alimfumania mume wake akiwa na demu bomba.…

Added by GLOBAL on September 9, 2014 at 6:30am — 2 Comments

UVIVU WAKO NI SABABU YA MWENZIO KUCHEPUKA-2

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita nilielezea  kuhusu wanaume wasivyowaelewa wenza wao wanapowaambia wamechoka wanapohitaji kuwa nao faragha.  Kwa nini? Endelea  na darasa hili...

Utafiti unaeleza kuwa wanaume wengi huwa hawakubali neno “nimechoka” ambalo anaweza kuambiwa na mwenzi…

Added by GLOBAL on September 8, 2014 at 6:00am — 2 Comments

UKIPENDA PANAPOSTAHILI UTAONA THAMANI HALISI YA PENZI-2

Katika somo lililopita kama nilivyogusia ushauri wa Brandon King na makala yake ya “Be aware of heart” nilieleza kuwa ni kosa kubwa kumuona mwenzi wako ana thamani ndogo na wakati huohuo ukawa unatoa kipaumbele kwa watu wa pembeni.…

Added by GLOBAL on September 5, 2014 at 5:30pm — 1 Comment

YANAYOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida.…

Added by GLOBAL on September 4, 2014 at 6:30am — 1 Comment

LEOLEO HAPANA, LAKINI UNATAKA VOCHA?

LABDA akina dada wataona nimewaandama wao, kwa sababu hata katika toleo lililopita nilizungumza kuhusu wao, nikiwakumbusha kuhusu mambo madogomadogo yanayowashusha thamani katika kujenga uhusiano wao mpya.…

Added by GLOBAL on September 3, 2014 at 8:32am — 2 Comments

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa on Friday. 0 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by bujangan 13 hours ago. 22 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by maleka sakeha Sep 14. 80 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by navarrohart Jun 8. 37 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by anilahsan Jun 26. 72 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Aicar Salewa May 23. 5 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by anilahsan Jul 12. 21 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service