All News Posts Tagged 'katuni11' (848)

KATUNI

Added by GLOBAL on August 28, 2014 at 8:00am — 2 Comments

JAMANI MASELA KAMA... VIPI TUTALALA UZEENI!!

Oya…Niaje masela wangu? Inakuwa nini wazazi? Kitaa hii haiwi kitu yaani timamu kabisa. Damudamu milele mafansi wangu. Ndo kama hivyo mwenyekiti nimeshatimba kukisanua.Turudi kwenye topiki la tudei arifu. Kuna mwanangu mmoko juzikati alinitoa na listori la mai waifu wake ambaye alitaka kujidedisha…

Added by GLOBAL on August 28, 2014 at 7:47am — 1 Comment

OYA MASELA SHIDA INGEKUWA SUMU TUNGEDEDI WENGI!!

Wakubwa shikamooni…wadogo hamjambo? Masela nianje…niaje wanyama wangu wa nguvu? Mzuksi? Hapo Dom barida? Kitaa hii ni mpango mzima arifu! Ama nini? Basi sawa. Kanyaga twende! Mastori ya ebola piga dauni bati tumwombe Saa Godi atuepushe na msala huo.

Ebana kuna kichaa wangu mmoko amenifuata, akaniteli kuwa…

Added by GLOBAL on August 21, 2014 at 8:48am — 1 Comment

KATUNI

Added by GLOBAL on August 21, 2014 at 7:30am — 5 Comments

MKE WANGU KASHINDA BAHATI NASIBU BAA

Enzi zangu za kwenda baa zilinifanya nisikie mambo mengi sana ambayo kama huendi huko hutayasikia popote pengine. Siku moja walevi watatu walikutana kaunta na kama ilivyo kawaida haikuchukua muda mrefu wakawa marafiki na kuanza kuhadithiana mambo mengi, mengine ya siri kabisa.

Kwanza wakatambulishana…

Added by GLOBAL on August 20, 2014 at 8:34am — 1 Comment

KATUNI

Added by GLOBAL on August 14, 2014 at 8:00am — 2 Comments

KATUNI

Added by GLOBAL on August 13, 2014 at 9:23am — 3 Comments

KATUNI

Added by GLOBAL on August 7, 2014 at 9:44am — 4 Comments

OYA MASELA PENALTI HAIPIGWI KWA KICHWA!

Niaje wanyama wangu wa nguvu? Hapo kitaa ya kati inakuwaje wana? Ama nini? Kipande hii piga nyiuti kozi ni mpango mzima. Yaani ni fulu!

Washikaji zangu tumoro si ndo kama hivo pale Uwanja wa Taifa? Ni Usiku wa Tamasha la Matumaini. Ebana asikuchiti pipo chaliiangu kozi kutakuwa na kila kitu na…

Added by GLOBAL on August 7, 2014 at 9:05am — 1 Comment

NAOMBA USHAURI WAKO

Kwako Mzee wa Cheka na Kitime,

Dar es Salaam.

Salaam nyingi zikufikie popote ulipo, sisi huku ni wazima kabisa. Nimekuwa nikisoma makala zako na kugundua kuwa wewe ni mtu mwenye busara sana. Namuomba Mungu akuzidishie uhai.

Nia na madhumuni ya barua hii ni…

Added by GLOBAL on August 6, 2014 at 8:54am — 2 Comments

KATUNI

Added by GLOBAL on August 1, 2014 at 9:24am — 3 Comments

OYA… USINGOJE HADI AKUAMBIE…WEE MCHOMBEZE!

Aje…aje wazazi kitaa hicho? Inakuwa nini watu wangu wa nguvu? Hopu mko poa ileile wanangu. Kitaa hii ni mzuksi hadi unamwagika. Kama vipi basi sawa. Kanyaga twende. Mia!

Ebana kitu cha biriani kwa siku bee mfululizo ilikuwa noma sana. Kitu cha pati za Idd kilikuwaje kitaa hiyo? Bigi apu kwa mwanangu Saleh…

Added by GLOBAL on July 31, 2014 at 8:30am — No Comments

MBWA BINGO AJUA KUSOMA

Tajiri wa kijiji aliyekuwa anapenda sana sifa, alifanya kila jitihada mwanae ajiunge na chuo kikuu kimoja ili awe mtu wa kwanza kijijini kuwa na digrii. Yanki alijiunga na chuo lakini baada ya miezi michache akaishiwa pesa, akawaza atapataje pesa toka kwa mzee wake? Akapata wazo, akamuandikia baba yake…

Added by GLOBAL on July 30, 2014 at 7:46am — No Comments

MASELA MI’ NINA MATATIZO YA MACHO SO SIONI WIVU!

Oya masela inakuwaje hapo kitaa cha kati? Nini na nini…niajeniaje pipoo hapo Roki Siti? Ama nini? Kitaa hii mambo freshi dizaini kama mzuka upo dauni hivi. Enewei kitaeleweka tu ujanja ni kutokukata tamaa kwenye hili laifu la mizinguo mwanzo mwisho.

Ebana eee…wanangu ndo kama hivo kitu cha mwaka kinakatika…

Added by GLOBAL on July 24, 2014 at 9:39am — 1 Comment

KATUNI

Added by GLOBAL on July 24, 2014 at 9:29am — 2 Comments

MATUMIZI SAHIHI YA SIMU KWA WENYE MICHEPUKO

JAMAA zangu wengi sana wanapata taabu kwa sababu ya simu. Kidude hiki ambacho kinatakiwa kitupunguzie shida katika maisha chenyewe ndicho kimekuwa shida kubwa. Mtu unakuwa huna raha kabisa shauri ya kidude hiki why? Jamani why?

Kuna hii ishu ya kuwa na michepuko, kimsingi hili jambo ni gumu kumalizika,…

Added by GLOBAL on July 23, 2014 at 7:30am — 1 Comment

KATUNI

Added by GLOBAL on July 22, 2014 at 8:58am — 2 Comments

OYA UKIONA UNAPENDWA NA MASHORI, UJUE UNA NYOTA YA NGOMA!

Inakuwa nini machizi wangu pale kati? Niaje…niaje washkaji zangu? Kitaa hiyo ni mpango? Kipande hii tunasebenza mwanzo mwisho aisee makachaa wangu. Timu ya taifa hasaa…ama nini? Basi barida barafu. Kama vipi karibu sana kwenye stori zetu. Hizi ni tamu kinoma chaliiangu! Kanyaga…

Added by GLOBAL on July 17, 2014 at 8:55am — 2 Comments

KATUNI

Added by GLOBAL on July 16, 2014 at 8:30am — 2 Comments

KATUNI

Added by GLOBAL on July 10, 2014 at 9:02am — 1 Comment

Monthly Archives

2014

2013

2012

2011

2010

1999

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by kathy paramores on Wednesday. 19 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by anilahsan Jul 19. 79 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by navarrohart Jun 8. 37 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by anilahsan Jun 26. 72 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Aicar Salewa May 23. 5 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by anilahsan Jul 12. 21 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service