All News Posts Tagged 'jumatatu11' (2,198)

Okwi atumia dakika 122 kufunga bao

Na Omary Mdose

MSHAMBULIAJI ghali wa Simba, Mganda, Emmanuel Arnold Okwi, amefanikiwa kufunga bao lake la kwanza msimu huu baada ya kucheza kwa takribani dakika 122 bila ya kuukwamisha mpira nyavuni.

Okwi amesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miezi sita akitokea kwa mahasimu wao, Yanga ambapo usajili wake ulizua utata kutokana na mchezaji mwenyewe kudai alivunjiwa mkataba na klabu yake ya zamani ya Yanga kwa kuwa hakulipwa mshahara…

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 10:39am — 1 Comment

Phiri alizwa na safu yake ya ulinzi

Na Said Ally

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, amewatupia lawama mabeki wa timu hiyo kwa kusema ndiyo wanachangia timu hiyo kupata matokeo mabaya kwenye michezo ya ligi kwa kuwa wanaruhusu kirahisi kufungwa mabao.

Kikosi hicho cha Simba kimejikusanyia pointi mbili tu licha ya kushuka dimbani katika michezo miwili dhidi ya Coastal Union waliyotoka nayo sare ya mabao 2-2 na Polisi Moro ambapo walifungana bao 1-1.

Akizungumza na Championi…

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 10:39am — 1 Comment

Musoti atua Kenya, timu zamgombania

Khadija Mngwai na Ibrahim Mussa

ALIYEWAHI kuwa beki wa Simba, Mkenya, Donald Musoti, ameonekana kuwa lulu nchini kwao baada ya timu kadhaa kuonyesha dalili za kutaka kumsajili.

Musoti aliondoka nchini kimyakimya tangu Jumapili ya wiki iliyopita na kurejea kwao huku akisubiria kujua hatma ya kupata haki yake baada ya kuamua kuwashtaki Simba kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), kufuatia kumuacha kiholela.

Kamati ya usajili ya Simba,…

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 10:39am — No Comments

Hatari, Chollo naye hatihati kuivaa Yanga

Na Wilbert Molandi

SIMBA imepata pigo lingine baada ya beki wake wa pembeni mkongwe, Nassoro Said ‘Chollo’ kuumia mkono wa kulia wakati timu yake ilipocheza dhidi ya Polisi Morogoro juzi, hivyo kuna uwezekano wa kuikosa mechi dhidi ya Yanga.

Tayari Mkenya, Paul Kiongera na kipa Ivo Mapunda wataikosa Yanga kutokana na majeraha. Simba itakutana na Yanga Oktoba 18 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.

Vipimo vya madaktari atakavyofanyiwa leo, ndiyo…

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 10:21am — No Comments

Kisiga amwaga machozi mbele ya Phiriρ

Kiungo wa Simba, Shabani…

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 8:00am — 2 Comments

Phiri awabadilikia Okwi, Tambwe Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia,…

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 8:00am — 2 Comments

JIPATIE NAKALA YAKO YA CHAMPIONI JUMATATU

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 8:00am — 1 Comment

Kavumbagu aanza jeuri Ligi Kuu Bara

Mshambuliaji wa kimataifa wa Azam FC,…

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 8:00am — 1 Comment

TP Mazembe yatolewa Caf, Ngassa bado kinara

TP Mazembe…

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 8:00am — 2 Comments

Coutinho: Mtaisoma namba

Mbrazili wa Yanga, Andrey…

Added by GLOBAL on September 29, 2014 at 8:00am — 2 Comments

TUNDA MAN: SIFIKIRII KUTOKA KIMAPENZI NA WEMA

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 11:00am — 5 Comments

Wanajeshi wamchana jichoni kiungo Mbeya City

Na Hans Mloli, Mbeya

MAAFANDE wa JKT Ruvu, juzi walituhumiwa kwa kuwapiga viatu Mbeya City, kiasi cha kiungo Steven Mazanda kuchanika juu ya jicho alipokuwa akiwania mbira.

Mbeya City iliwakaribisha maafande hao wa Jeshi la Kujenga Taifa kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya lakini walipigwa viatu hadi kulazimika kufanya mabadiliko ya mara kwa mara kutokana na wachezaji wao kuumia katika mtanange nhuo uliomalizika kwa suluhu.

Mbeya City…

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 10:15am — 1 Comment

Musoti agoma, Simba wakuna kichwa

Na Khadija Mngwai

BEKI wa kati, Mkenya, Donald Musoti, amekataa kwenda Zanzibar kucheza kwa mkopo kama alivyotakiwa na viongozi wa Msimbazi baada ya kuondoa jina lake kwenye orodha ya wachezaji wake wa msimu huu.

Musoti ambaye alijiunga na Simba katikati ya msimu uliopita akitokea Gor Mahia ya Kenya, hivi karibuni alifungashiwa virago vyake kisha nafasi yake ikachukuliwa na Mganda, Emmanuel Okwi aliyesajiliwa dakika za mwisho kabla ya dirisha la…

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 10:15am — 2 Comments

Tambwe awachanganya viongozi Simba SC

Na Sweetbert Lukonge

NYOTA wa kimataifa wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe, amewachanganya viongozi wa klabu hiyo na kufikia hatua ya kumwekea ulinzi mkali ili kumuepusha na ushawishi ambao anaweza kuupata kutoka kwa baadhi ya klabu zinazoshiriki michuano ya Ligi Kuu Bara na baadaye akaingia mitini.

Uongozi wa klabu hiyo umefika hatua hiyo baada ya kupata taarifa kuwa anaviziwa na moja ya timu za ligi kuu ambayo imeanza mikakati hiyo baada ya…

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 8:00am — 2 Comments

Dakika 180 zawamaliza Okwi, Jaja

Emmanuel Okwi.

Na…

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 8:00am — 5 Comments

Jaja awajaza noti Mtibwa Sugar

Na Sweetbert Lukonge

MTIBWA Sugar wameahidiwa donge nono na uongozi wa klabu yao kufuatia ushindi mnono wa mabao 2-0 walioupata dhidi ya Yanga kwenye Uwanja wa Jamhuri, juzi Jumamosi.

Mastaa wa Mtibwa wameahidiwa kitita hicho kutokana na kupata ushindi huo pamoja na kuwazuia kupata bao lolote mastraika wa Yanga waliokuwa wakiongozwa na Mbrazili, Geilson Santana ‘Jaja’ ambaye kabla ya mchezo huo alikuwa gumzo na kuonekana ataitisha safu ya ulinzi…

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 8:00am — No Comments

Maxime: Jaja, Coutinho ni wa Uwanja wa Taifa tu

Na Sweetbert Lukonge

BAADA ya kuiongoza timu yake kupata ushindi mnono wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga huku Mbrazili mmoja, Geilson Santos ‘Jaja’ akiwemo dimbani, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mecky Maxime, amewaponda Wabrazili wa Yanga akisema ni wachezaji wa Uwanja wa Taifa tu.

Mtibwa iliendeleza ubabe wake kwa Yanga kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, juzi mbele ya mashabiki kibao waliojitokeza, shukrani kwa mabao ya mkongwe Mussa Mgosi na Ame…

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 8:00am — No Comments

Mkenya wa Loga aimaliza Simba Taifa

Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko…

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 8:00am — 1 Comment

JIPATIE NAKALA YAKO YA CHAMPIONI JUMATATU

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 8:00am — 1 Comment

Daktari Yanga azichapa uwanjani

Daktari wa Yanga,…

Added by GLOBAL on September 22, 2014 at 8:00am — 3 Comments

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa Sep 19. 0 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ıznƃunɥɔW on Sunday. 23 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by maleka sakeha Sep 14. 80 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by navarrohart Jun 8. 37 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by anilahsan Jun 26. 72 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Aicar Salewa May 23. 5 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by anilahsan Jul 12. 21 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service