POLISI AMCHARANGA MAPANGA MWANAYE KISA MAPENZI
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga
KATI ya stori za mwaka zinazosikitisha, hii ni mojawapo! Polisi mstaafu, mkazi wa Kitongoji cha Sango, Kata ya Nyasubi wilayani Kahama mkoani hapa, Samson Bwire (54), anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kumcharanga mapanga binti yake, Devotha Gerald (4), kisa kikidaiwa…

Added by GLOBAL on May 20, 2013 at 9:45am — 5 Comments
NISHA ADAIWA KUWATOSA WATOTO YATIMA
MSANII WA ZE COMEDY AFANYA UCHAFU ‘BICHI’
Na Mwandishi Wetu
MSANII memba wa Kundi la Ze Comedy linaloruka kupitia Runinga ya East Africa, Master Face amenaswa akifanya uchafu wa kushikana ‘kimalovee’ na msanii mwenzake aitwaye Happy ambaye alikuwa ametinga kivazi cha nusu utupu.…

Added by GLOBAL on May 20, 2013 at 8:30am — 7 Comments
KILICHOMPATA MADAM RITA KINASIKITISHA!
Na Imelda Mtema
KILICHOMPATA Madam Rita kinasikitisha! Ndivyo unavyoweza kusema ukibahatika kumuona the big boss wa Benchmark Production inayoratibu Shindano la Bongo Star Search, Rita Poulsen ‘Madam’ anayetembelea magongo baada ya kupata ajali mbaya ya gari.…

Added by GLOBAL on May 20, 2013 at 8:30am — 8 Comments
RAY: SIZALISHI FILAMU CHINI YA KIWANGO
LISA JENSEN ATUNDIKWA MIMBA BILA NDOA!
Na Musa Mateja
STAA mrembo wa Kibongo aliyewakilisha Tanzania kwenye Shindano la Miss World 2012, Lisa Jensen kwa sasa anaitwa mama kijacho baada ya kutundikwa mimba kabla ya ndoa.…

Added by GLOBAL on May 20, 2013 at 8:30am — 6 Comments
TUMEMUUA DK. MASSAU
Na Mwandishi Wetu
JIJI la Dar es Salaam bado linazizima kufuatia kifo cha aliyekuwa mwasisi wa Taasisi ya Moyo Tanzania (THI), Dk. Ferdinand Massau Magessa aliyefariki dunia, majira ya saa 12 jioni ya Mei 16, mwaka huu katika Hospitali ya Aga Khan, Dar, Ijumaa Wikienda lina mkasa wa kukutoa…

Added by GLOBAL on May 20, 2013 at 8:00am — 10 Comments
JIDE KORTINI
Na Erick Evarist
HUKU sakata lake na Kituo cha Redio Clouds FM likiendelea kushika kasi, habari ya mjini ni kwamba inadaiwa mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ leo anatarajia kufikishwa Mahakama ya Kinondoni, Dar bila kutajwa aina ya mashitaka yanayomkabili.…

Added by GLOBAL on May 13, 2013 at 8:30am — 2 Comments
JOHARI: SIMTEGEMEI RAY
Na Mwandishi Wetu
MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa levo aliyofikia hivi sasa ni ya kuweza kusimama mwenyewe na anaweza kusimamia filamu pasipo mkurugenzi mwenzake wa Kampuni ya RJ Company, Vincent Kigosi ‘Ray’.…

Added by GLOBAL on May 13, 2013 at 8:30am — 3 Comments
WASANII WA KAOLE WAPATA AJALI
Na Gladness Mallya
WASANII wa Kundi la Kaole, Mariamu Athuman ‘Kalunde’ na Herry Mohamed ‘Niko’ wamepata ajali na kuumia vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupasuka tairi na kuacha njia.
Ajali hiyo ilitokea hivi karibuni maeneo ya Kiteto mkoani Manyara ambapo wasanii hao ambao ni…

Added by GLOBAL on May 13, 2013 at 8:30am — 6 Comments
AUNT: NIMERUDI NA FURAHA SAUZI
Na Mwandishi Wetu
SIKU chache baada ya kutua Bongo akitokea Afrika Kusini ‘Sauzi’, mwigizaji Aunt Ezekiel ameweka bayana kuwa amekuwa na furaha baada ya kukutana na mumewe, Sunday Demonte.…

Added by GLOBAL on May 13, 2013 at 8:30am — 7 Comments
MAKUBWA! AISHA BUI ASAKA WA KUZAA NAYE
KWELI haya ni makubwa! Baada ya kuadimika kwa muda mrefu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Aisha Bui ameibuka na kusema kuwa anatafuta mwanaume ambaye atamzalia mtoto na hatimaye waoane ila akadai wa kumuoa kwa sasa hamuoni.…

Added by GLOBAL on May 13, 2013 at 8:00am — 14 Comments
ALIYEFUMANIWA NA DENTI… FAINI DOLA 400
Issa Mnally na Richard Bukos
YULE mfanyabiashara ‘alwatani’ wa jijini Dar ambaye hivi karibuni alifumaniwa gesti akiwa na mwanafunzi wa kidato cha pili, huenda akapandishwa kizimbani siku yoyote, Ijumaa Wikienda limeinyaka.…

Added by GLOBAL on May 13, 2013 at 8:00am — 10 Comments
TUHUMA NZITO: WABUNGE BONGO WANAJICHUBUA!
Na Erick Evarist
KUMBE! Baadhi ya wabunge wa kike ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatumia vipodozi vinavyochubua ngozi ya juu ya mwili ili wawe na mwonekano mweupe (kama wazungu).…

Added by GLOBAL on May 13, 2013 at 8:00am — 8 Comments
JACK ABANWA SKENDO, RUSHWA YA NGONO!
WOLPER ATUPIWA VITU NJE
Na Hamida Hassan
STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kutupiwa nje na baadaye kuzuiliwa vyombo vyake kwenye ile nyumba ya kifahari ya kupanga aliyokuwa akiishi Mbezi Beach, Dar es salaam.…

Added by GLOBAL on May 6, 2013 at 8:30am — 11 Comments
SIRI NJE!
Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa
NYUMA ya habari ya mfanyabiashara tajiri wa Kariakoo jijini, Costa Shirima (47), anayedaiwa kujirusha kutoka ghorofa ya tisa katika Hoteli ya Concord iliyopo Kariakoo Mtaa wa Mchikichini, Dar es Salaam na kufariki dunia, kuna siri ambayo Ijumaa Wikienda…

Added by GLOBAL on May 6, 2013 at 8:30am — 14 Comments
RAY ‘ASINGIZIWA’ MTOTO WA BATULI
Na Mwandishi Wetu
KATIKA hali ya kushangaza, mashabiki wameibuka na kumsingizia mtoto wa mwigizaji Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ kuwa ni wa Vincent Kigosi ‘Ray’.…

Added by GLOBAL on May 6, 2013 at 8:30am — 11 Comments
BABU SEYA, PAPII KOCHA WAPATA PIGO LINGINE
Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’.
Na Imelda Mtema
MAMA mzazi wa mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ aitwaye…

Added by GLOBAL on May 6, 2013 at 8:30am — 5 Comments
MACHOZI YA MWANAMKE HUYU… LAANA KWA JACK PENTZEL
Na Gladness Mallya
NAOMBA nikutambulishe kwa wasomaji wangu wewe Jacqueline Steven Pentzel. Wengi walikufahamu kwa jina la Jack Chuz kwa kuwa ulikuwa mpenzi wa mwigizaji ambaye ni Mkurugenzi wa Tuesday Entertainment, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’.…

Added by GLOBAL on May 6, 2013 at 8:30am — 9 Comments
2013
2012
2011
2010
1999
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
Tatu Majaliwa |
| 6 |
hope |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
tina babi |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
hope commented on GLOBAL's blog post Big skrini kuonyesha Fainali ya Uefa Dar Live
hope commented on GLOBAL's blog post Waarabu wampa mkataba Haruna Niyonzima
Faridi Mohamed commented on GLOBAL's blog post HENYAHENYA!
hope commented on GLOBAL's blog post Beki Mtibwa atua Simba kwa Sh 30m
hope commented on GLOBAL's blog post Yaw Berko arudi Yanga SC, asaini mkataba mpya
BEN BENO commented on GLOBAL's blog post Queen of the Gorillas (Malkia wa Masokwe) - 113
BEN BENO commented on GLOBAL's blog post Kibadeni kuanza kuinoa Simba Mei 28
verdiana moris commented on GLOBAL's blog post MUME WA MTU ANASWA NA DENTI© 2013 Created by Global Publishers.




