All News Posts Tagged 'ijumaa11' (1,673)

KAJALA AWA BALOZI WA WANAWAKE BONGO

Stori:IMELDA MTEMA

Staa maarufu wa filamu hapa Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni alipata shavu la nguvu baada ya kuibuka kuwa balozi wa wanawake Tanzania nzima kupitia taasisi ya Women Connect iliyopo jijini Dar.…

Added by GLOBAL on April 18, 2014 at 6:00am — 7 Comments

‘JAMANI NAKUFA HUKU NAJIONA’!

Asha Manga ,25, mkazi wa Tarafa ya Turiani Wilaya ya Mvomero mjini hapa, anaumwa sana kwani anasumbuliwa na uvimbe kwenye taya unaoendelea kukua kila siku.…

Added by GLOBAL on April 18, 2014 at 5:30am — 2 Comments

KADINDA AMWITA LULU NYAU

Stori: Mwandishi Wetu

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda amempongeza Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwa kumuita nyau.…

Added by GLOBAL on April 18, 2014 at 5:30am — 7 Comments

AISHA MADINDA: MIMI NIIBE SIMU,

STORI: Musa Mateja na Shakoor Jongo

Mnenguaji maarufu Bongo aliyewahi kutopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kabla ya hivi karibuni kuamua kuacha, amegandwa na skendo ya kuiba siku lakini mwenyewe alipoulizwa, alishangazwa na madai hayo huku akidai kuwa hawezi kufikia hatua hiyo.…

Added by GLOBAL on April 18, 2014 at 5:00am — 2 Comments

MASOGANGE, WAKISEMA UNAJIUZA UTAKATAA?

Agnes…

Added by GLOBAL on April 18, 2014 at 5:00am — 9 Comments

SHIJA SASA ATAMANI NDOA NA WASTARA

Stori: Gladness Mallya

MSANII wa filamu Bongo, Deogratius Shija amefunguka kuwa anatamani sana kumuoa msanii mwenzake, Wastara Juma lakini anaamini kikwazo kitakuwa ni dini.…

Added by GLOBAL on April 18, 2014 at 5:00am — 5 Comments

WEMA AMFUNGIA DIAMOND, ASHINDWA KUMZIKA MZEE GURUMO

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo

HAYA yanaweza kuwa ni mambo ya malovee! Kuna madai kwamba Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ alishindwa kushiriki zoezi la kuuaga mwili wa mwanamuziki mkongwe Tanzania, marehemu Muhidin Mwalimu Mohamed Gurumo ‘Maalim Gurumo’ kwa sababu alifungiwa asitoke ndani…

Added by GLOBAL on April 18, 2014 at 12:58am — 9 Comments

MAINDA AANGUA KILIO KANISANI

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya

OOHHOO! Mwigizaji mkubwa wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kuangua kilio ‘laivu’ kanisani kisa kubanwa na waandishi wa Global Publishers juu ya madai ya kupora waume za watu na ishu ya kutaka kuolewa na mchungaji hivyo kuzua ‘kitimbwili’…

Added by GLOBAL on April 17, 2014 at 2:30pm — 6 Comments

KAJALA AONESHA JEURI YA MAGARI

Stori:Gladness Mallya na Shakoor Jongo

MSANII wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba.…

Added by GLOBAL on April 11, 2014 at 7:00am — 8 Comments

SNURA AMWANIKA BABA WA MTOTO WAKE

Stori: GLADNESS MALLYA

KWA mara ya kwanza msanii wa muziki nafi lamu Bongo,Snura Mushi amemwanika baba wa mtoto wake na  kusema ndiye mumewe mtarajiwa wa kufa na kuzikana.…

Added by GLOBAL on April 11, 2014 at 6:00am — 5 Comments

KUMBUKUMBU YA KANUMBA YAMJENGA WOLPER KIIMANI

Stori: MAYASA MARIWATA

Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amesema kila anapofikiria kifo cha aliyekuwa gwiji wa filamu  chini, marehemu Steven Kanumba anajikuta akizidisha ibada na kumtukuza Mungu wake.…

Added by GLOBAL on April 11, 2014 at 6:00am — No Comments

MKE ACHOMA NYUMBA KISA WIVU WA MAPENZI

Stori:DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO

KATIKA hali ya kusikitisha, mwanamke mmoja mwenye ujauzito wa miezi 7 sasa, Vaileth Kibwana, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mjini hapa baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita kuiteketeza nyumba yao kwa moto, katika kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi baina…

Added by GLOBAL on April 11, 2014 at 5:00am — 8 Comments

AUNT ATIMULIWA KWA WEMA!

Stori: iMELDA MTEMA

TIMBWILI la aina yake limetokea nyumbani kwa ‘Beautiful Onyinye’ wa Bongo, Wema Sepetu, kati ya Martin Kadinda na nyota wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, ‘Kubwa’ lina kisa klizima.…

Added by GLOBAL on April 10, 2014 at 11:30pm — 11 Comments

MAMA ADAI KUIBIWA MTOTO LEBA

Stori: Chande abdallah na Deogratius Mongela 

Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jinala Shakila Bakari (30),mkazi wa Mbagala jijini Dar, ametoa madai mazito kuwa manesi wa hospitali moja (jina linahifadhiwa) iliyopo Mbagala wamemuiba mmoja wa watoto wake wawili aliojifungua Machi 28, mwaka…

Added by GLOBAL on April 4, 2014 at 1:55am — 9 Comments

VAI ACHEZEA KICHAPO

Stori: Gladness Mallya

KICHAPO! Mwigizaji wa filamu za Kibongo, Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ amechezea kichapo ‘vitasa’ kutoka kwa bwana’ke aliyetajwa kwa jina la Boniface Matiku ‘Bonny’.…

Added by GLOBAL on April 4, 2014 at 1:42am — 8 Comments

PASTOR FUSKA ANASWA!

Stori: Richard Bukos na Issa Mnally

OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers inaendelea! Wiki hii ilifanya kazi nyingine nzito, kumnasa Pastor John Paul Simon Rubanguka wa kanisa la kiroho la Maximum Deliverance lililopo Masaki, Dar ambaye alinaswa akichezewa utupu na wanawake watatu…

Added by GLOBAL on April 4, 2014 at 1:30am — 24 Comments

WEMA ANAHITAJI KUOMBEWA

'Baby' wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu akiwa pekupeku baada ya kupandisha mori!

NAJUA nitawakera wengi sana…

Added by GLOBAL on April 4, 2014 at 1:30am — 13 Comments

DUDE AWATOA NISHAI BONGO MUVI

Stori:Gladness Mallya

STAA wa filamu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amewatoa nishai viongozi wa Bongo Muvi kwa kueleza kuwa, risala iliyosomwa siku ya ‘bethidei’ yao ya kutimiza miaka mitatu imepotosha ukweli.…

Added by GLOBAL on April 4, 2014 at 1:01am — 1 Comment

NAY KUMUOA SIWEMA KABLA YA KUJIFUNGUA

Stori: MAYASA MARIWATA

MWANAMUZIKI Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amesema yupo kwenye mikakati ya kufunga pingu za maisha na mpenzi wake anayejulikana kwa jina la Siwema baada ya kumtundika mimba.

Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Nay alisema anajivunia kukaribia kuitwa baba na kizuri ni kwamba msichana aliyempa mimba alikuwa na ndoto za kumuita mke wake hivyo ndoa itafungwa kabla ya mtoto kuzaliwa.

“Kikubwa…

Added by GLOBAL on April 4, 2014 at 1:00am — 1 Comment

NISHA BWANA MPYA, GARI MPYA

Mwaka huu umekuwa wa mafanikio kwa msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ kutokana na kuvuta ndinga mpya na huku akidaiwa kutoka na mwanaume mpya.…

Added by GLOBAL on April 4, 2014 at 12:59am — 8 Comments

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

ADVERTISE HERE

Forum

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by Kasharu Martin Apr 15. 2 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by willson jon on Tuesday. 23 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Kasharu Martin Apr 15. 7 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by Mohammed Nasser Abdullah Mar 19. 6 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Joyce Moses Oct 1, 2013. 4 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa Jun 20, 2013. 0 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by LUPILYA GREGORY SIMON Dec 19, 2013. 7 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by James Buyoya Dec 2, 2013. 10 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service