Kisa Ngassa kusaini Yanga, Liewig awa mbogo kambini
Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Liewig.
Na Khatimu Naheka
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Liewig amekuwa mbogo kutokana na taarifa za kiungo wake mshambuliaji, Mrisho Ngassa kusaini Yanga, lakini…

Added by GLOBAL on May 17, 2013 at 9:30am — 2 Comments
Minziro: Simba si watoto, wamekomaa wale!
Kocha Msaidizi wa Yanga, Fred Minziro.
Na Hans Mloli
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Fred Minziro ameuliza kwa mshangao juu ya nani anayedai Simba inaundwa na wachezaji watoto, ambapo amesisitiza kuwa…

Added by GLOBAL on May 17, 2013 at 9:30am — 2 Comments
Sure Boy: Siondoki Azam ng'o
Yanga: Tutamtambulisha Ngassa baada ya mechi ya Simba
Na Khatimu Naheka
SIKU chache baada ya kuelezwa kuwa Yanga imeshamsainisha Mrisho Ngassa wa Simba, klabu hiyo ya Jangwani imeelezwa kuwa inafanya mpango wa kumtambulisha mara baada ya mechi ya kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Mmoja wa mabosi wazito wa Yanga, ameliambia Championi Ijumaa…

Added by GLOBAL on May 17, 2013 at 9:00am — 3 Comments
Kim aongezewa miaka miwili, amuita Barthez
Na Khatimu Naheka
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limemuongezea mkataba wa miaka miwili Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen.
Angetile Osiah ambaye ni Katibu Mkuu wa TFF amesema shirikisho limemuongezea Kim ajira kutokana na kuvutiwa na mafanikio aliyoyapata kikosini hapo.…

Added by GLOBAL on May 17, 2013 at 9:00am — 2 Comments
Manji ndani Taifa, Malkia azuiwa Oman
Waandishi Wetu, Dar, Muscat
HOMA ya jiji ni mechi ya keshokutwa, Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ambaye ni nadra kutokea uwanjani, amesema atakuwepo Uwanja wa Taifa jijini hapa.…

Added by GLOBAL on May 17, 2013 at 9:00am — 6 Comments
Barua ya Simba kupinga mwamuzi yapotea TFF
Wazenji: Mazoezi ya Yanga mepesii!
Na Abdi Suleiman, Pemba
KITENDO cha Yanga kufanya mazoezi ya kawaida kimewashangaza mashabiki wa soka kisiwani Pemba ambao wametamka: “Mazoezi yenyewe mbona ya kawaida tu!”
Yanga ilikuwa imeweka kambi kisiwani hapa na kufanya mazoezi katika Uwanja wa Gombani kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba itakayopigwa kesho jijini Dar.
Wakizungumza na gazeti hili, mashabiki waliofika uwanjani hapo jana walisema walitegemea kuona mazoezi ya nguvu.
“Mazoezi…

Refa wa kesho ni askari magereza, alonga na Championi
MAJANGA!
Na Waandishi Wetu
SIMBA na Yanga zitaumana kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Saalam, timu itakayopoteza mchezo huo itakuwa na huzuni kubwa, neno moja tu litafaa kwa watakaotoka vichwa chini, nalo ni ‘majanga’.…

Added by GLOBAL on May 17, 2013 at 9:00am — 4 Comments
Nyosso agoma kwenda Taifa kuziona Simba, Yanga
Na Lucy Mgina
BEKI wa Simba, Juma Nyosso amesema Yanga haina ubavu wa kuifunga Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara kesho kwenye Uwanja wa Taifa, lakini akasisitiza kuwa hana mpango wa kwenda…

Added by GLOBAL on May 17, 2013 at 8:30am — 2 Comments
Emmanuel Gabriel: Kagera haitoki kesho
Straika aliyetua Simba anyimwa jezi
Na Wilbert Molandi
KINDA mshambuliaji Ibrahim Twaha, maarufu kama Messi, amejikuta katika wakati mgumu baada ya uongozi wa Coastal Union kumnyima jezi wakati timu yake ilipoivaa Yanga.
Hali ya kunyimwa jezi ilitokana na uongozi wa Coastal Union kupata taarifa za uhakika kwamba kinda huyo…

Added by GLOBAL on May 10, 2013 at 9:00am — 2 Comments
Presha Simba v Yanga, kondoo afukiwa ufukweni
Na Khadija Mngwai
SIKU chache kabla ya pambano la watani wa jadi, Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa mnamo Mei 18, mwaka huu, wadau wa moja ya klabu hizo wamenaswa wakimfukia kondoo kwenye ufukwe wa bahari, ikiaminika kuwa ni sehemu ya kujiandaa kwa ajili ya mpambano huo.
Tukio hilo lilitokea kwenye Ufukwe wa Bamba…

Added by GLOBAL on May 10, 2013 at 9:00am — 4 Comments
Kapombe ampa tuzo Samatta
Sure Boy ajitoa tuzo Taswa
Na Hans Mloli
KIUNGO wa Azam FC, Aboubakar Salum ‘Sure Boy’ amefunguka wazi na kusema kuwa hafikirii juu ya kushinda tuzo zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa).
Hatua ya mchezaji huyo kusema maneno hayo inakuja baada ya chama hicho kutangaza kutoa tuzo za wanamichezo bora wa mwaka 2012/2013 ambapo Sure Boy anawania katika kipengele cha Mchezaji Bora Chipukizi.
Akizungumza na Championi Ijumaa, Sure Boy alisema hana haja ya…

Daktari Mkuu ajiondoa Simba
Na Khatimu Naheka
KLABU ya Simba imepata taarifa mbaya mwishoni mwa msimu huu, baada ya daktari wao mkuu, Cosmas Kapinga kuandika barua rasmi ya kuachia ngazi.
Awali, daktari huyo ambaye ni mwajiriwa wa serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, alikiacha kikosi hicho miezi michache iliyopita baada ya kutakiwa kwenda kwenye majukumu mkoani Lindi.
Taarifa ambazo Championi Ijumaa ilizipata jana jioni, zilisema kuwa daktari huyo aliutaarifu uongozi wa klabu…

Simba yalikimbia jiji, yatua Zanzibar
Brandts amfuata Liewig Taifa, apigwa chenga
Barthez atoa neno kuhusu Taifa Stars B
2013
2012
2011
2010
1999
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
hope |
| 6 |
Tatu Majaliwa |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Mishy chunga |
| 10 |
shabani abdallah nguluko |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mayalilwa Mar 8. 26 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.



