NISHA AKOMA KUTANGAZA MCHUMBA’KE
Na Gladness Mallya
MWANADADA anayesukuma laifu lake kwa uigizaji Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ ametoa kali ya mwaka baada ya kukiri kuwa na mchumba lakini anaogopa kumuanika hadharani akihofia kuibiwa kama ilivyomtokea awali.…

Added by GLOBAL on May 23, 2013 at 8:30am — No Comments
JINI KABULA, ISABELLA ‘WAMTAPIKA’ JACK CHUZ
Na Gladness Mallya
MASTAA wanaunda Kundi la Scorpion Girls, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ na Isabella Mpanda ‘wamemtapika’ mwenzao, Jacqueline Pentzel ‘Jack wa Chuz’ katika kundi lao.…

Added by GLOBAL on May 23, 2013 at 8:00am — No Comments
DUDE AKIRI KUBADILISHWA TABIA NA UMRI
Na Gladness Mallya
MSANII wa filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amefunguka kwamba kutokana na umri wake mkubwa na kuwa na mtoto, kumemfanya kubadili tabia yake ya zamani na…

Added by GLOBAL on May 23, 2013 at 8:00am — No Comments
LULU AIBUA JIPYA
Na Musa Mateja
NYOTA wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’, ameibua jipya ambapo kwa sasa habari ya mjini ni kwamba ana bwana mpya aliyetajwa kwa jina moja la Junior, Amani limezinasa habari hizo.…

Added by GLOBAL on May 23, 2013 at 8:00am — No Comments
INAUMA JAMANI
Na Mwandishi Wetu, Shinyanga
YULE mtoto wa miaka minne, Devotha Gerald aliyecharangwa mapanga kikatili na baba yake mzazi na kukimbizwa Hospitali ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga kwa matibabu, ameaga dunia.…

Added by GLOBAL on May 23, 2013 at 8:00am — No Comments
MCHUNGAJI ALITAKA PENZI BILA KINGA MWANDISHI WETU, MOSHI
Na Mwandishi Wetu, Moshi
KESI ya kutorosha wanafunzi inayomkabili Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God (TAG), Jean Felix Bamana, Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jumatatu wiki hii ilianza kurindima katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, Kilimanjaro huku upande wa…

Added by GLOBAL on May 23, 2013 at 8:00am — No Comments
JINA LA SUGU LAMTATIZA SPIKA WA BUNGE, LAPIGWA STOP
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Mhe. Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’.
Na Mwandishi Wetu
KATIKA hali iliyoonesha sintofahamu, jina la utani la Mbunge wa Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chadema, Mhe. Joseph…

Added by GLOBAL on May 23, 2013 at 8:00am — No Comments
KIZAAZAA SHULENI
Gladness Mallya na Imelda Mtema
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Manzese iliyopo Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam wamezua taharuki kwa wakazi wa eneo la Manzese Uzuri kufuatia baadhi yao kuanguka hovyo, kupiga kelele na kupoteza fahamu huku uchawi ukitajwa kuwa chanzo, Amani lilikuwepo…

Added by GLOBAL on May 16, 2013 at 9:00am — 4 Comments
USTADHI MBARONI KWA ULAWITI
Na Gladness Mallya
USTADHI aliyetajwa kwa jina moja la Ahmad (38) anayefundisha Chuo cha Tawfiq kilichopo Kinondoni B, Dar ambaye pia ni mfanyabiashara, anashikiliwa na polisi kwa madai ya kuwalawiti watoto watatu ambao ni wanafunzi wa Shule ya Msingi Msisiri.…

Added by GLOBAL on May 16, 2013 at 9:00am — 19 Comments
DEMU AMFANYIA TIMBWILI HEMED
Na Erick Evarist
STAA mwenye swaga za kupitiliza Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amepatwa na masaibu ya kutaka kushushiwa kipondo hevi na demu ambaye jina lake halikupatikana mara moja baada ya kumpulizia pafyumu bila ridhaa yake.…

Added by GLOBAL on May 16, 2013 at 9:00am — 10 Comments
UKAHABA WALIGUSA BUNGE
Na Mwandishi Wetu
BIASHARA ya ukahaba imeligusa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani Jumanne iliyopita takribani dakika nane zilitumika kuijadili inavyoshamiri na namna ya kuitokomeza.…

Added by GLOBAL on May 16, 2013 at 8:30am — 6 Comments
CHAZ BABA AMVISHA PETE MCHUMBA’KE JUKWAANI
Na Musa Mateja
PREZIDAA wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba,’ juzikati aliendeleza harakati za maandalizi ya ndoa kwa mashabiki wake baada ya kumvisha pete jukwaani mchumba’ke, Rehema Sospeter.…

Added by GLOBAL on May 16, 2013 at 8:30am — 8 Comments
MASOGANGE: SIKWENDA AFRIKA KUSINI KUJIUZA
Na Mwandishi Wetu
VIDEO Queen wa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange’ ameibuka na kusema kuwa hakwenda Afrika ya Kusini ‘Sauz’ kujiuza kama baadhi ya watu walivyompakazia.…

Added by GLOBAL on May 16, 2013 at 8:30am — 14 Comments
MABAKI YA MWANAMKE YAKUTWA JIRANI NA MAGEREZA
Na Francis Godwin, Iringa
MABAKI ya mwili wa mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 30 ambaye jina lake halikufahamika, yamekutwa eneo la Magereza, Kata ya Miyomboni Kitanzini, Manispaa ya Iringa.…

Added by GLOBAL on May 16, 2013 at 8:30am — 9 Comments
BABY CANDY AELEZA ISHU YA KUWEHUKA
Na Hamida Hassan
VIDEO Queen wa Bongo Fleva, Mimah Mohammed ‘Baby Candy’ ameibuka na kueleza namna ambavyo aliugua malaria kali hadi kudaiwa kuwa amerogwa na shosti wake, Jacqueline Pentzel.…

Added by GLOBAL on May 16, 2013 at 8:00am — 8 Comments
AUNTY LULU APIGWA STOP KUTEMBEA NA ‘KUKU WATAMU’
Na Gladness Mallya
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amepigwa ‘stop’ kutembea na marafiki wanaodaiwa kuwa ni wanaume wenye vitendo vya kike ‘Kuku Watamu’.…

Added by GLOBAL on May 16, 2013 at 8:00am — 5 Comments
KAJALA AAHIDI KUPIGA MZIGO MKALI
Na Imelda Mtema
BAADA ya kurejea uraiani, mwigizaji, Kajala Masanja amesema anawashukuru wote waliomuombea hadi akachomoka kwenye mikono ya sheria na kuahidi mashabiki kuwa zawadi yao itakuwa ni kuzalisha kazi bora.…

Added by GLOBAL on May 9, 2013 at 9:34am — 8 Comments
ALIYEMKAMATA MLIPUA BOMU KANISANI ANENA MAZITO
Na Mwandishi Wetu
ALIYEMKIMBIZA hadi kumkamata mtu anayedaiwa kuhusika na kulipua bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti, jijini Arusha Jumapili iliyopita na kuua watu 3 na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa ameibuka.…

Added by GLOBAL on May 9, 2013 at 9:12am — 30 Comments
WEMA SEPETU AMUANIKA BABA YEKE
Na Mwandishi Wetu
KWA mara ya kwanza Beautiful Onyinye, Wema Sepetu amemuanika baba yake mzazi katika mtandao wa Instagram.
Zilipendwa huyo wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ aliiposti picha hiyo juzikati ikimuonesha akiwa na rafiki yake wa karibu, Pettman pamoja na mzee Abraham Sepetu ambapo wadau kibao…

Added by GLOBAL on May 9, 2013 at 9:00am — 12 Comments
DEREVA AZIMIKA BARABARANI
Na Gladness Mallya
MWANAUME mmoja aliyetambulika kwa jina la Joseph Mwaleni anayedaiwa kuwa ni dereva wa kituo kimoja cha redio Bongo (jina tunalihifadhi), alikutwa amezimika ghafla na kuuchapa uzingizi barabarani akiwa kwenye gari lake.…

Added by GLOBAL on May 9, 2013 at 9:00am — 11 Comments
2013
2012
2011
2010
1999
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
hope |
| 6 |
Tatu Majaliwa |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
Mishy chunga |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.



