All News Posts Tagged 'Zain-Tanzania' (283)

WAFANYAKAZI WA AIRTEL TANZANIA WATUNUKIWA TUNZO BAADA YA KUHITIMU MAFUNZO YA MAUZO

Wahitimu mafunzo ya mauzo na usambazaji yanayoendeshwa na Airtel Centum Sales University (ACSU) wakikata keki kwa pamoja wakati wa tafrija iliyofanyika katika ofisi za Airtel makao makuu Morocco. Wahitimu hao ni wafanyakazi wa Airtel…

Added by GLOBAL on May 13, 2013 at 2:00pm — 1 Comment

OGUN FIRST LADY COMMENDS AIRTEL FOR UPLIFTING PRIMARY EDUCATION

Chief Executive Officer and Managing Director, Airtel Nigeria, Segun Ogunsanya; First Lady of Ogun State, Mrs. Olufunso Amosun; Chairman, Ijebu North Local Government Area, Otunba Olaide Osifeso and Sopen Lukele, Oke-Sopen, Oba M. A…

Added by GLOBAL on May 10, 2013 at 5:41pm — No Comments

AIRTEL YAZINDUA HUDUMA MAALUMU KWA WATEJA WAKE IJULIKANAYO KAMA AIRTEL PREMIUM‏

Mkurugenzi mkuu wa Airtel Sunil Colaso akimzawadia, bi Rose Maina mmoja wa wateja katika uzinduzi wa huduma mpya kwa wateja ijulikanayo kama Airtel Premier Services katika ofisi za Airtel jijini Dar Es Salaam akifuatiwa na Mkurugenzi wa huduma…

Added by GLOBAL on May 10, 2013 at 3:00pm — No Comments

FUNDI UASHI AIBUKA MSHINDI WA MAMILIONI YA AIRTEL‏

Mshindi wa shilingi milioni 15 wa promosheni ya Amka Milionea, Juma Ibrahim Hamza, ambaye ni  fundi uashi akilia kwa furaha na kushindwa kuongea mara baada ya kutangazwa mshindi wa shilingi milioni 15 kupitia promosheni ya Amka Millionea.…

Added by GLOBAL on May 8, 2013 at 1:40pm — No Comments

WASANII WA KIZAZI KIPYA WANG'ARISHA TAMASHA LA AIRTEL YATOSHA MBAGALA‏

Msanii mahiri wa Hi Hop nchini maarufu kama FID Q akikamua katika jukwaa maalum la kuitambulisha huduma kabambe ya Airtel Yatosha katika viwanja vya Zakhem jiini Dar es Salaam na kufanikisha kuwaunganisha Watanzania na wakazi wa jijini Dar es Salaam…

Added by GLOBAL on May 7, 2013 at 2:36pm — 1 Comment

AIRTEL YATOA MSAADA WA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI TANGA

Meneja Mauzo wa Airtel mikoa ya Tanga na Kilimanjaro, Bw. Edmund Lasway (kushoto) akikabidhi baadhi ya vitabu vya sekondari kwa afisa elimu wa wilaya ya Korogwe, Bw. Shaaban Shemzighwa (katikati) ikiwa ni msaada ulitolewa kuchangia elimu  toka…

Added by GLOBAL on May 6, 2013 at 12:00pm — No Comments

Airtel yatangaza mshindi wa million 50 wa promosheni ya Amka millionea‏

Mwandishi wa Clouds TV Austin Bayadi ( wakwanza kushoto) akibonyesha kitufe cha komputa wakati wa droo kubwa ya mwisho ya kumtafuta mshindi wa shilingi million 50 wa promosheni ya Amka millionea ambapo bwana Layakal Akbar Thawer mkazi wa Dar es salaam aliibuka mshindi wa…

Added by GLOBAL on May 4, 2013 at 2:39pm — No Comments

TAMASHA LA AIRTEL YATOSHA KUFANYIKA TEMEKE MWISHONI MWA WIKI HII

Msanii wa kizazi kipya  na mkali wa miondoko ya Hip Hop, Nay Wamitego akitumbuiza katika moja ya matamasha ya Airtel Yatosha.…

Added by GLOBAL on May 2, 2013 at 1:02pm — No Comments

WASANII BONGO FLEVA WAFUNIKA KAMPENI YA AIRTEL YATOSHA JIJINI MWANZA‏

Msaniii wa Miondoko ya Hip Hop Roma Mkatoliki akitoa burudani kwa maelfu ya wakazi…

Added by GLOBAL on April 29, 2013 at 1:00pm — No Comments

Airtel Money Yaendeleza udhamini wake katika semina ya wapiga picha wa vyombo 15 vya habari nchini

Meneja wa Airtel Money Asupya Nalingigwa (kushoto) akiongea na waandishi wa habari wapiga katika semina ya upigaji picha iliyofanyika jijini Dar Es Salaam, akifuatiwa ni Afisa uhusisano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki na Muhadhiri wa Chuo…

Added by GLOBAL on April 19, 2013 at 3:57pm — 1 Comment

Airtel na Nokia wazindua Offer Kabambe ya Nokia Lumia 620

Meneja Biashara wa Nokia Nchini Tanzania Samson Majwala( kushoto) akimkabidhi simu ya Nokia Lumia 620 BatuliChombo mwandishi wa habari wa Sikuba kwenye bahati nasibu wakati wa uzinduzi wa  Simu hiyo kwa ushirikiano katiya Airtel na Nokia …

Added by GLOBAL on April 16, 2013 at 11:00am — 5 Comments

SIMU AINA YA NOKIA LUMIA 620 YATUA ‘BONGO’

Afisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (kulia) na Meneja wa Nokia Tanzania, Samson Majwala, wakionesha aina ya simu hiyo.…

Added by GLOBAL on April 15, 2013 at 3:30pm — 4 Comments

TAMASHA LA UZINDUZI WA AIRTEL YATOSHA LAFUNIKA CHALINZE MKOANI PWANI

Mmoja wa wasanii chipukizi kutoka Chalinze aliyetambulika kwa jina la Jane akiwarusha wakazi wa mji wa Chalinze mwishoni mwa wiki, wakati wa tamasha la uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha, lililofanyika mkoa wa Pwani kwa muda wa siku mbili (Jumamosi &…

Added by GLOBAL on April 15, 2013 at 1:30pm — 3 Comments

TAMASHA LA AIRTEL YATOSHA KUAMIA CHALINZE SIKU YA KESHO JUMAMOSI NA JUMAPILI

Tamasha la Airtel Yatosha lenye lengo la kutoa elimu juu ya huduma mbalimbali za Airtel ikiwemo huduma mpya ya Airtel Yatosha linalofanyika katika mikoa…

Added by GLOBAL on April 12, 2013 at 4:38pm — No Comments

FID Q, NEY WAMITEGO WAFUNIKA TAMASHA LA AIRTEL YATOSHA COCO BEACH

http://3.bp.blogspot.com/-M_wFbJIRhks/UWJ9_6Vd_EI/AAAAAAACIIA/g-Z-KTCY2Bg/s1600/1+(2).JPG

Msanii wa kizazi kipya, Faridi Kubanda maarufu kama Fid Q, akitumbuiza wakati wa tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Coco beach mwishoni mwa wiki.

http://2.bp.blogspot.com/-9MDJJpcgrdI/UWJ991kHaRI/AAAAAAACIH0/2l7JmH4f-H4/s1600/11+(2).JPG

Msanii maarufu wa kizazi kipya, Sir. Juma Nature, akimwaga burudani katika tamasha la Airtel Yatosha lililofanyika Coco beach jijini Dar es Saalam mwishoni mwa…

Added by GLOBAL on April 8, 2013 at 12:30pm — 1 Comment

AIRTEL RISING STARS AWAMU YA TATU KUANZA MWISHONI MWA MWEZI HUU

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel inayofanya kazi pamoja na kampuni ya Samsung zimesaini makubaliano ya kushirikiana kudhamini mashindano makubwa Afrika kwa vijana wa chini ya miaka 17. Katika mkataba huo wa mamilioni ya dola, Samsung pia itakuwa mtoaji rasmi wa vifaa vya mawasiliano kwenye mpango huo wa mashindano maarufu kama Airtel Raising Star…

Added by GLOBAL on April 4, 2013 at 12:21pm — No Comments

AIRTEL NAMED MOST SOCIALLY RESPONSIBLE COMPANY IN NIGER

Airtel Niger’s Regulatory Director, Mr. Karimou Salifou, receives the award from Salifou Labo Bouche,…

Added by GLOBAL on April 2, 2013 at 2:29pm — 1 Comment

AIRTEL YATOSHA YAENDA MIKOANI

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel, Bwana Sunil Colaso, akibandika moja ya kipeperushi cha Airtel Yatosha wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembea wateja wake na kutoa elimu ya huduma zao…

Added by GLOBAL on March 26, 2013 at 11:43am — 2 Comments

AIRTEL YAZINDUA GHARAMA NAFUU ZA KUPIGA SIMU MITANDAO MINGINE‏

Mkurugenzi Mkuu wa Airtel, Bwana Sunil Colaso, akiongea wakati wa uzinduzi wa huduma ya Airtel Yatosha inayomwezesha mteja wa Airtel kupata dakika za muda wa maongezi, sms na kifurushi cha internet.…

Added by GLOBAL on March 21, 2013 at 10:30am — 5 Comments

IT'S TOTO DAY NDANI YA MBALAMWEZI BEACH J'MOSI HII

Added by GLOBAL on March 19, 2013 at 11:00am — 3 Comments

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mayalilwa Mar 8. 26 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

Latest Activity

tina babi left a comment for raymond paul
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
16 seconds ago
macksi fire posted a status
"Heineken Cup Final Live Stream http://www.youtube.com/watch?v=2QeIOd2-UCQ"
38 seconds ago
tina babi left a comment for franco war
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
53 seconds ago
tina babi left a comment for steven p opiyo
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
58 seconds ago
tina babi left a comment for noel ben
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
1 minute ago
tina babi left a comment for Stanslaus
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
2 minutes ago
GLOBAL posted a blog post

YANGA YAIGONGA SIMBA 2-0, YATWAA KOMBE LA VPL

Timu ya Yanga leo imewaadhibu watani wao wa jadi, Simba SC baada ya kuwalaza kwa bao 2-0  katika…See More
2 minutes ago
tina babi left a comment for Jackson Mwassa
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
2 minutes ago
tina babi left a comment for Tariq Suleiman
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
2 minutes ago
tina babi left a comment for Humphrey Mngashwa
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
2 minutes ago
tina babi left a comment for Michael Kimaro
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
2 minutes ago
tina babi left a comment for alpha gibaso
"tinalutunku@yahoo.comHello,My name is Miss tina lutunku.i saw your profile today and become…"
2 minutes ago

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service