All News Posts Tagged 'JWTZ' (13)

MAOFISA WA JWTZ WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL DAR‏

 
Meneja Uhusiano wa TBL,Edith Mushi akisalimiana na Mkufunzi wa Kozi ya Eme, Kapteni Erasto Kalinga.…

Added by GLOBAL on July 20, 2015 at 11:35am — No Comments

RAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI ZA KUMBUKUMBU YA MIAKA 50 YA JWTZ

 Amiri Jeshi Mkuu  Rais Jakaya Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu John Samwel Malecela,Waziri Mkuu Mstaafu…

Added by GLOBAL on September 7, 2014 at 12:30pm — No Comments

JWTZ LAKANUSHA TAARIFA ZILIZOENEA MITANDAONI KUHUSU WANAJESHI WAKE

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limepata habari kupitia mtandao wa Jamii Forum na Gumzo la Jiji  na mingineyo kuwa likizo zimesitishwa Jeshini  na waliokuwa  likizo wameitwa kurudi kazini.

Taarifa hizo pia zimeeleza kwamba Brigedi za Tembo na Kifaru zimepewa maagizo ya kuwa katika hali ya utayari…

Added by GLOBAL on September 13, 2013 at 7:00am — 1 Comment

JWTZ YAPELEKA KILIO RWANDA

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange.

*Yakamata maofisa wake wanne wa Kijeshi

*M-23 wakiri majeshi ya UN ni hatari yatawamaliza

ASKARI…

Added by GLOBAL on September 4, 2013 at 10:30am — 5 Comments

TAARIFA YA KIFO CHA AFISA WA JWTZ DRC, GOMA

Mkuu wa Majeshi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange.

1.       Kama mnavyofahamu, JWTZ linashiriki katika operesheni za Umoja wa Mataifa huko Goma DRC. Kikosi chetu kimeendelea kutekeleza majukumu yake ya kulinda…

Added by GLOBAL on August 29, 2013 at 10:00pm — 2 Comments

TAARIFA KUTOKA JWTZ KUHUSU MTU ALIYEJITAMBULISHA KUWA ASKARI JESHI KATIKA MKUTANO WA CHADEMA SIMANJIRO MKOANI MANYARA

Mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kambi ya Monduli, Arusha akiwa na wabunge wa Chadema, Godbless Lema na Joshua Nassari baada ya kumaliza mkutano wa hadhara katika mji mdogo Mererani, Simanjiro mkoani Manyara.…

Added by GLOBAL on December 25, 2012 at 1:06pm — 5 Comments

JESHI LAWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU SMS YA MABOMU

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

22 Oktoba, 2012
ZIPO taarifa ambazo…

Added by GLOBAL on October 23, 2012 at 11:30am — 2 Comments

MAJAMBAZI WAVAMIA KAMBI YA JWTZ

Jenerali Davis Adolf Mwamunyange

Habari zilizotufikia kabla hatujaenda mitamboni  zinasema kuwa  mtu mmoja anaedaiwa kuwa ni jambazi  wakiwa na wenzake waliingia katika kambi ya JWTZ 511 KJ bohari…

Added by GLOBAL on October 20, 2012 at 3:00pm — 13 Comments

MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI YAAGWA LEO

Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili wa askari wa3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya…

Added by GLOBAL on September 7, 2012 at 3:30pm — 5 Comments

NHC YAWAGEUKIA JWTZ WIZARA NYETI,POLISI

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Nehemia Mchechu akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu hatua ya ukusanyaji wa madeni ya muda mrefu. Kushoto ni Meneja Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Bw. Hermes Mtagwamba.*Yawadai jumla ya bilioni 2/- za…

Added by GLOBAL on October 11, 2011 at 8:30am — 3 Comments

JWTZ yazima jaribio la utekaji wa meli

*Risasi zarindima mashariki mwa Kisiwa cha Mafia *Maharamia saba wakamatwa, sasa wahojiwa polisi

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kufanya uharamia katika umbali wa kilometa 40 Kaskazini Mashariki mwa Kisiwa cha Mafia katika…

Added by GLOBAL on October 5, 2011 at 8:30am — 5 Comments

MABOMU YA JWTZ YALIPUKA TENA

WAKATI kumbukumbu ya milipuko ya mabomu katika kambi ya JWTZ ya Gongo la Mboto ikiwa bado hazijafutika katika fikra za wakazi wa jiji la Dar es Salaam, mabomu mengine ya jeshi yamelipuka katika kambi ya Kizumbi mkoani Shinyanga.Lakini tofauti na milipuko ya GongolaMboto, yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 20, na wengine 400 kujeruhiwa, milipuko ya…

Added by GLOBAL on February 28, 2011 at 11:30am — 8 Comments

WAKAZI WA DAR ES SALAAM WATOLEWA HOFU!!

http://4.bp.blogspot.com/_PnI9d8LAaQQ/TH0AXGLguEI/AAAAAAAARMg/8NaemtwFkMg/s1600/JENERALI+DAVID+MWAMUNYANGE+PIX+NO+3.JPGNa Benjamin Sawe, Maelezo


Wakazi wa Dar es Salaam, hususani Kigamboni, wametakiwa kutoshtuka mara waonapo ndege pamoja na helikopta za kivita zikipita maeneo ya anga la Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki, imesema kuwa wananchi wanatakiwa kutokuwa na hofu yoyote kwani hiyo ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Majeshi.

Katika wiki ya maadhimishohayo mgeni…

Added by GLOBAL on August 31, 2010 at 5:30pm — 2 Comments

Monthly Archives

2015

2014

2013

2012

2011

2010

1999

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by hiepelines Jul 4. 6 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Aug 15. 7 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Aug 15. 6 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by Joe reggan Apr 24. 2 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }