Featured News Posts (20,674)

USIKU WA HIP HOP & THE VODACOM MIC KING KURINDIMA DAR LIVE BAADAYE

Ni usiku wa Hip Hop na The Vodacom Mic King ndani ya ukumbi wa maraha wa Dar Live leo Mei 25, 2013. Mkali wa MIC kuondoka na gari lake jipya aina ya Toyota Funcargo (New Model). Show hii si ya kukosa!

Added by GLOBAL on May 17, 2013 at 4:30pm — No Comments

WAKALI HAWA KUONGOZA SHANGWE NDANI YA DAR LIVE LEO

Joh Makini.…

Added by GLOBAL on May 23, 2013 at 1:00pm — 1 Comment

MAMBO YATAKAVYOKUWA KATIKA USIKU WA HIP HOP NA THE VODACOM MIC KING BAADAYE

Added by GLOBAL on May 25, 2013 at 2:35am — No Comments

MBIO ZA HISANI ZA MBUZI 2013 ZAKARIBIA

Mwenyekiti wa Mbio za Mbuzi za Hisani Dar es Salaam, Karen Stanley (katikati) akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya mbio hizo zinazotarajiwa kutimua mbuzi jijini humo Juni 1 mwaka huu katika Viwanja vya The Green, Barabara ya Kenyatta…

Added by GLOBAL on May 25, 2013 at 2:30am — No Comments

CHEKA NA KATUNI ZA GPL

Added by GLOBAL on May 25, 2013 at 2:20am — No Comments

DAKTARI ADAIWA KUJINYONGA KWA SHUKA GESTI

DAKTARI wa meno wa Hospitali ya Wilaya ya Morogoro, Alnord Limo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40, amekutwa amefariki dunia kwenye chumba cha gesti huku habari zikidai alijinyonga kwa shuka.…

Added by GLOBAL on May 25, 2013 at 1:30am — No Comments

MARAFIKI, ULIMI WAKO, KABURI LA MAPENZI YAKO-7

WIKI iliyopita tulijifunza mambo kadhaa juu ya namna ambavyo ulimi unaweza kuwa sumu kubwa katika uhusiano wako. Leo tunaendelea pale tulipoishia.

Mfano;…

Added by GLOBAL on May 25, 2013 at 1:47am — No Comments

JACK DUSTAN APATA AJALI YA GARI

Na Imelda Mtema

MREMBO aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus Season II, Jacqueline Dustan ‘Jack’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro na kupata majeraha usoni na mguuni.

Akizungumza na Exclusive Star, Jack alisema Jumanne iliyopita walikuwa kwenye teksi…

Added by GLOBAL on May 25, 2013 at 1:52am — No Comments

RAMA MLA WATU, MAMA YAKE WAACHIWA NA MAHAKAMA

Ramadhan Suleiman ‘Rama mla watu’ akiwa mahakamani leo.…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 2:00pm — 3 Comments

Big skrini kuonyesha Fainali ya Uefa Dar Live

Na Mwandishi Wetu

MASHABIKI wa soka watakaoingia kwenye Ukumbi wa Dar Live kwenye shoo ya wakali wa Hip Hop, kesho Jumamosi, watapata nafasi ya kushuhudia mechi ya Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye ‘skrini’ kubwa.

Mbali na kutazama mechi hiyo kati ya Bayern Munich na Borussia Dortmund…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 9:00am — 2 Comments

MUME WA MTU ANASWA NA DENTI

Na Issa Mnally

INAUMA sana! Wakati wazazi wakihenyeka na wakati mwingine kujinyima ili mabinti zao waweze kupata elimu bora itakayowasaidia maishani mwao wapo wapuuzi wanaokatisha jitihada hizo.…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 8:00am — 13 Comments

HENYAHENYA!

Na Issa Mnally

KWA muda mrefu Ijumaa limekuwa likipokea malalamiko kuhusu uwepo wa jamaa anayedaiwa ni tapeli maarufu Dar kisha kuingia mzigoni na kumnasa ‘laivu’ ambapo alihenyeshwa kwa kibano cha karne na raia waliokuwa na hasira.…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 8:00am — 8 Comments

WOLPER, BABY MADAHA BIFU LA KIFO!

Na Gladness Mallya

SIKU chache baada ya wasanii wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper na Baby Madaha kuingia kwenye mzozo wa kugombea nyumba moja ya kupanga ambayo wote waliilipia kodi kwa nyakati tofauti, bifu zito linalotajwa kuwa ni la kifo limeibuka.…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 8:30am — 10 Comments

FLORA, H- BABA NDOA SASA NI JUNE 8

Na Gladness Mallya

WALE wasanii wawili waliodumu kwenye uchumba kwa muda mrefu, Ramadhan Baba ‘H.Baba’ na Flora Mvungi wameamua kuvunja ukimya na kutangaza rasmi kuwa wanatarajia kufunga ndoa Juni 8, mwaka huu.…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 8:30am — 8 Comments

Yaw Berko arudi Yanga SC, asaini mkataba mpya

Yaw…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 9:00am — 1 Comment

Beki Mtibwa atua Simba kwa Sh 30m

Na Wilbert Molandi

KLABU ya Simba imefanikiwa kumsajili beki wa pembeni wa Mtibwa Sugar, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ kwa dau la shilingi milioni 30.

Klabu hiyo imekuwa ikiwania kwa muda mrefu saini ya beki huyo mwenye kasi kwa ajili ya kuziba pengo la Amir Maftah ambaye Mei 18, mwaka huu amemaliza…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 8:30am — 3 Comments

MISS GEITA 2013 KUFANYIKA JUNI MOSI MWAKA HUU

Baadhi ya warembo waliokutwa katika mazoezi ya kushiriki taji la Miss Geita 2013.

Na Salum Maige, Geita

24. 05. 2013

KINYANG’ANYIRO cha kumsaka mrembo wa kwanza wa mkoa…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 7:22pm — 2 Comments

BREAKING NEWS: AMRI KIEMBA NAYE AJIUNGA NA YANGA

Kiungo Amri…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 5:30pm — 3 Comments

NAPE AWASILI MJINI BERLIN, UJERUMANI

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye (katikati) akikaribishwa na baadhi ya viongozi wa chama cha SPD mjini Berlin, Ujerumani alipowasili jana kuhudhuria sherehe za…

Added by GLOBAL on May 24, 2013 at 2:50pm — 1 Comment

ADVERTISEMENT


Advertisement

 

Forum

KIPIGO CHA BAO 2-1 KWA MAN UTD, KOSA LA MWAMUZI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies

JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!

HALI INAYOENDELEA BUNGENI, SPIKA NA NAIBU WAKE WAMESHINDWA KUONGOZA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies

Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?

VURUGU ZA CCM NA CHADEMA KUGOMBEA MLINGOTI WA BENDERA DODOMA, NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies

Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…

Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?

VURUGU ZINAZOENDELEA HAPA NCHINI NANI WA KULAUMIWA?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies

HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…

MRISHO NGASSA KUPELEKWA SIMBA SC BILA RIDHAA YAKE, JE NI HALALI?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies

Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…

Tags: SOKA

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…

Latest Activity

Anja Madsen posted a status
25 minutes ago
Anja Madsen posted a status
25 minutes ago
Anja Madsen posted a status
25 minutes ago
Agustin Thomsen posted a status
28 minutes ago
Erick Stclair posted a status
30 minutes ago
Quentin Burchfield posted a status
""
33 minutes ago
Quentin Burchfield posted a status
34 minutes ago
Quentin Burchfield posted a status
34 minutes ago
Quentin Burchfield posted a status
34 minutes ago
Quentin Burchfield posted a status
35 minutes ago
Quentin Burchfield posted a status
35 minutes ago
Quentin Burchfield posted a status
""
35 minutes ago

© 2013   Created by Global Publishers.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service