Featured News Posts (34,664)

JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS!

Added by GLOBAL on July 16, 2014 at 7:00am — 2 Comments

MSHAURI WA RAIS UHURU: MAUAJI YA KENYA YANALENGA KUZUA UHASAMA WA KIDINI

Baadhi ya miili ya abiria waliouawa jana na Al-Shabaab eneo la Mandera, Kenya.…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 4:10pm — No Comments

HAIJAPATA KUTOKEA, VODACOM KINARA WA KULIPA KODI KATIKA SEKTA YA MAWASILIANO NCHINI

MWISHONI mwa wiki kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania iliibuka kinara wa pili kwa walipa kodi wakubwa na inaongoza katika kundi la sekta ya mawasiliano nchini ambapo haijawahi kutokea.

Akiongea katika kilele cha maadhimisho ya 8 ya Wiki ya Mlipa Kodi yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Kitengo cha…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 3:30pm — No Comments

TASWIRA KATIKA MAHAFALI YA 9 YA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR

Naibu Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Angellah Kairuki (kushoto), akimkabidhi cheti Muhitimu aliyefanya vizuri Shahada ya Kwanza ya Jinsia na Maendeleo, Nyamambara Simon katika…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 11:23am — 1 Comment

ABDULRAHMAN KINANA: MUDA WA KULINDANA HAUPO TENA‏

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ali Mtopa akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara  mjini Lindi wakati akimkaribisha Katibu mkuu wa…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 11:30am — 1 Comment

ARSENAL ILIVYOANGUKIA PUA KWA MAN UNITED

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 10:30am — 1 Comment

MBRAZIL EMERSON KUZIBA PENGO LILILOACHWA NA JAJA ALIYEKATISHA MKATABA NA YANGA

Geilson Santana Santos ‘Jaja’.

KLABU ya Yanga inatarajia kumsajili kiungo mkabaji mpya kutoka Brazil Emerson De Oliveira Neves Rouqe kuziba nafasi hiyo iliyoachwa na mshambuliaji Geilson Santana Santos ‘Jaja’…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 9:30am — 3 Comments

RAIS KIKWETE ATOLEWA NYUZI KATIKA MSHONO, AFYA YAKE YAZIDI KUIMARIKA

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepumzika kwenye hoteli maalumu baada ya kutoka katika…

Added by GLOBAL on November 23, 2014 at 9:30am — 1 Comment

MSIBANI WA MTOTO ALIYEFIA KITUO CHA POLISI

Ndugu na jamaa wakiomboleza msiba wa mtoto…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 3:56pm — 1 Comment

MAMA AWAPA KIPONDO NJEMBA 5!

Stori: DUSTAN SHEKIDELE , Morogoro

ZAMANI kulikuwa na kasumba kwamba wanaume ndiyo huwapiga wanawake lakini hivi karibuni kibao kimegeuka ambapo mama mjasiriamali, aliyetajwa kwa jina moja la Mama Ashura ambaye ni mfanyabiashara wa viazi mviringo, anadaiwa kuwapa kipondo…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 8:30am — 7 Comments

MAMBO HADHARANI

Stori: Hami da Hassan na Haruni Sanchawa

KIFO cha tajiri maarufu mjini Bukoba, Leonard Mtensa (50) ambacho kimetingisha kanda nzima ya ziwa, kilichotokea dakika chache baada ya marehemu kudaiwa kufanya mapenzi ndani ya gari lake, sasa mambo hadharani juu ya kila kitu…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 3:00am — 7 Comments

MCHUMBA: MASOGANGE KANISALITI

STORI: Musa Mateja

MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa msichana huyo amemsaliti baada ya kuvunja makubaliano yao.…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 3:00am — 2 Comments

RAY: CHUCHU SASA NDO’ KILA KITU KWANGU

Stori: Musa Mateja

LEGENDARY kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa, Chuchu Hans ndiye kila kitu na kilichobaki ni ndoa tu.…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 3:00am — 1 Comment

KAJALA KUZAA TENA!

Stori: Imelda Mtema

MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha.…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 4:00am — 4 Comments

BATULI KUOLEWA SOON

Stori: Gladness Mallya

GOOD news kwa mtoto mzuri Bongo Movies, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ ni kwamba anatarajia kuolewa hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya upweke kwa muda mrefu, Risasi Jumamosi linakujuza.…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 4:00am — 2 Comments

JOKATE ATAJA SABABU ZA KUWA KARIBU NA WANAUME WENGI

Stori: Imelda Mtema

MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi.…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 3:30am — 3 Comments

Mfalme mpya Simba

Mshambuliaji Danny Sserunkuma raia wa…

Added by GLOBAL on November 22, 2014 at 10:27am — 3 Comments

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson yesterday. 11 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by mark gibson yesterday. 28 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson on Thursday. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson yesterday. 45 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson yesterday. 74 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson yesterday. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 6 hours ago. 36 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

UKIMYA WA VYOMBO VYA DOLA KUTOA TAARIFA ZA MATUKIO YA MAUAJI NA UTEKAJI NI ISHARA KUWA WANAHUSIKA?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson 18 hours ago. 20 Replies

Absalom Kibanda akiwa ICU.USIKU wa Jumanne ya Machi 5 kuamkia Machi…

Tags: UTEKAJI, NA, MAUAJI, NI, ISHARA

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service