August 2011 News Posts (769)

FABREGAS MOTO CHINI...

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:16am — 1 Comment

Machaku aomba kujitoa Stars

Na Khatimu Naheka

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya taifa, Taifa Stars, Salum Machaku amesema anataka kuomba kuondolewa kwenye kikosi cha timu ya taifa kwa kuwa ni majeraha ya kidole gumba.Kiungo huyo alipatwa  na tatizo hilo juzi wakati wa mazoezi ya kikosi hicho ya kujiwinda na mchezo wa…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:14am — No Comments

Sweet Honeymoon (Fungate tamu)-63

MPELELEZI wa Kimataifa wa Kujitegemea, Mike Kian amesafiri kutokea Iran hadi Hai, Kilimanjaro, Tanzania alipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro. Hapo alikodisha taksi hadi jijini Arusha ambapo alikwenda katika kampuni ya kitalii na kukodisha gari aina ya Landrover na kwenda nalo porini.Kian alikwenda huko kwa kazi moja tu; kumsaka Salha (Isina) ambaye alikuwa akitafutwa kwa ajili ya kurithi mali za Sheikh Khalifa. Amefikia katika Kijiji cha…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:13am — 10 Comments

Kitambi cha Babi chawashtua Pondamali, Kado

Na Khatimu Naheka

KOCHA wa makipa wa Taifa Stars, Juma Pondamali amemshangaa kiungo wa timu hiyo Abdi Kassim ‘Babi’ kwa kufanikiwa kupunguza kwa kiasi kikubwa kitambi chake ukilinganisha na wakati alipokuwa hapa nchini.Pondamali alipatwa na mshangao huo juzi wakati wa mazoezi ya kikosi hicho yanayoendelea katika Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam ambapo kiungo huyo alionyesha kiwango kikubwa huku akionekana mwepesi zaidi.Akiwa na mmoja wa makipa wa…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:09am — No Comments

Humud nje Azam wiki tatu

Na Ezekiel Kitula

KIUNGO wa Azam, Abdulhalim Humud ameumia goti na atakuwa nje ya uwanja kwa muda wiki tatu.

Humud ambaye msimu uliopita aliichezea Simba, amepata maumivu hayo baada ya kuichezea timu yake michezo miwili tu ya Ligi Kuu ya Vodacom.Ameumia wakati wa mazoezi ya Jumamosi…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:08am — No Comments

Sunzu achokoza mzuka wa Boban

Na Saleh Ally

MSHAMBULIAJI nyota wa Simba, Felix Sunzu amesema kati ya viungo maestro ambao amewahi kuwaona katika bara la Afrika, Haruna Moshi ‘Boban’ anayekipiga naye Msimbazi ni mmoja wao.Kauli hiyo ya Sunzu, huenda ikampa nguvu zaidi Boban kwa kupandisha mzuka wa juhudi ambao huenda…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:07am — 2 Comments

Cannavaro apumzishwa siku 7 zaidi

Na Wilbert Molandi

MADAKTARI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wamemuongezea wiki moja na nusu beki kisiki wa kutegemewa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ya kukaa nje ya uwanja akiuguza majeraha ya bega.Cannavaro alipata majeraha hayo kwenye mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba ambapo…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:06am — No Comments

Wachezaji Yanga wamuondoa Wenger Arsenal

Na Waandishi Wetu 

KUFUATIA ushindi wa mabao 8-2 walioupata Manchester United dhidi ya Arsenal, kiungo mkabaji wa Yanga, Juma Seif ‘Kijiko’, amekereka  akimtaka kocha mkuu wa timu hiyo, Arsene Wenger, kuiacha klabu hiyo kongwe.Kijiko ni shabiki wa kutupwa wa klabu hiyo kongwe ya England…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:04am — No Comments

Basena: Hawa nane wataipa Simba Ubingwa

Na Wilbert Molandi

KOCHA Mkuu wa Simba, Moses Basena amesema anajivunia wachezaji wake nane walioitwa kwenye timu zao za taifa kwa ajili ya kuzitumikia huku akiamini kuwa nyota hao wataiwezesha klabu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu huu.Wachezaji walioitwa kwenye timu zao za…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:00am — No Comments

EID MUBARAK...

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 11:00am — No Comments

Wachezaji Simba waongezewa dozi

Na Ezekiel Kitula

KATIKA hali inayoonekana ni kudhamiria kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom, Simba itaanza kufanya mazoezi ya uwanjani mara mbili kwa siku.Tangu ianze mazoezi ya kujiandaa na ligi, Simba imekuwa ikifanya mazoezi mara moja tu wakati wa asubuhi lakini sasa itakuwa ikifanya…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 10:59am — No Comments

Villa yavuna laki 3 Kanda ya Ziwa

Na Khadija Mngwai

UONGOZI wa klabu ya Villa Squad ya jijini Dar es Salaam umesema umeingiza kiasi cha shilingi 360,000 ikiwa ni jumla ya mapato ya mechi zake zote walizocheza Kanda ya Ziwa.Akizungumza na Championi Jumatano, Katibu Mkuu wa Villa, Idd Godigodi alisema kiasi hicho cha fedha ni kidogo ukilinganisha na mahitaji yao, hali iliyosababisha kutotosheleza katika suala zima la nauli na mambo mengine.“Mgao wetu kwenye mechi dhidi ya Toto ulikuwa…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 10:49am — No Comments

Sinza Sound kula Idd Johannesburg

Na Mwandishi Wetu

BENDI ya muziki wa dansi ya Sinza Sound inayoongozwa na mkongwe katika tasnia hiyo Mzee Manyema watafanya maonesho mawili ya kukata na shoka katika sherehe za Idd Mosi na Idd Pili ndani ya Hoteli ya Johennesburg, Sinza – Mori, Dar.Akilonga na kona hii, Mzee Manyema amesema pamoja na kwamba wapo busy sana na shoo mbalimbali wanazopata mialiko, wameamua kula sikukuu ya Idd katika uwanja wa nyumbani.“Tunatakuwa pale hotelini kwa siku zote…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 10:32am — 1 Comment

Polisi Sweden wamzunguka Soka

Na Mwandishi Wetu

JESHI la Polisi nchini Sweden limefikia katika hatua nzuri katika msako lionaoendesha kumsaka mshambuliaji kinda wa African Lyon, Yusuf Soka.Habari kutoka Sweden zinaeleza Polisi nchini humo walipita katika sehemu mbalimbali katika jiji la Stockholm wanakoishi Watanzania kuulizia anuani ya Soka hapa nchini.“Unajua Polisi walifika kwenye nyumba za Watanzania ikiwemo ile aliyokuwa akiishi Soka na kuulizia anuani yake ya Tanzania,” alisema…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 10:30am — No Comments

Banza anaswa akisukwa

Na Rhobi Chacha

RAMADHANI Masanja ‘Banza Stone’ aliye staa wa muziki wa dansi Bongo, akisukuma gurudumu la burudani…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 10:26am — 7 Comments

Natamani kuzaa na Rose Ndauka

Na Rhobi Chacha

MSHIRIKI wa Shindano la Bongo Star Seach (BSS), mwaka 2008, Rahim Mohamed, amevunja ukimya na kueleza hisia zake za moyoni kwamba anatamani sana kuzaa na Diva wa Tasnia ya Filamu Bongo, Rose Ndauka.Akipiga stori na Fleva Mchanganyiko, pande za Sinza - Lion, Dar wikiendi…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 10:00am — 13 Comments

KATUNI MIX...

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 9:46am — 2 Comments

ROSTAM, MKAPA KUUNGANA KAMPENI ZA CCM IGUNGA

ALIYEKUWA Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz ni miongoni mwa makada watakaotumiwa na CCM katika kampeni za kumsaka mrithi wake katika jimbo hilo.Habari zilizopatikana jana kutoka ndani ya kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kilichokutana juzi, Ikulu Dar es Salaam zinasema Rostam amepangwa kuhudhuria uzinduzi wa…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 9:30am — 4 Comments

JAMANI MBAVU ZANGU...

Ang’atwa na nyoka akipiga chaboKijana mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Sully juzikati aling’atwa na nyoka wakati akipiga chabo katika chumba cha jirani yake pande za Manzese Midizini, jijini Dar es Salaam.Ilikuwa ni usiku wa manane wakati Sully aliposikika akipiga kelele nyuma ya nyumba akiomba msaada na kuwafanya majirani zake kutoka nje ili kutaka kujua kilichomsibu.Kila mtu alijua labda Sully alikumbwa na tukio baya usiku huo, hivyo…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 9:20am — No Comments

VITUKO NDANI YA DALADALA

Wapeana namba za simu baada ya kunusurika kifo!UTAMADUNI wa Watanzania umebadilika na ustaarabu umetoweka. Sasa imekuwa ni kawaida kwa watu kutojuliana hali pindi wanapokutana ndani ya usafiri wa daladala.Kila anayepanda huwa anakaa kwenye siti au kusimama bila kutoa salamu kwa mtu aliyemkuta.Watumiaji wengi wa usafiri wa daladala wanaweza kuwa mashahidi wa jambo hili.

Lakini katika hali ya kushangaza, abiria wote wanapokuwa ndani ya daladala…

Added by GLOBAL on August 31, 2011 at 9:19am — No Comments

News Topics by Tags

Monthly Archives

2015

2014

2013

2012

2011

2010

1999

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by hiepelines Jul 4. 6 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Aug 15. 7 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Aug 15. 6 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by Joe reggan Apr 24. 2 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }