Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 4:00pm — No Comments
Robin van Persie akiwa na tuzo yake ya mtu wa kwanza kufikisha magoli 20.
MCHAWI wa soka wa timu ya Arsenal ya Uingereza, Robin van Persie, jana alitunukiwa tuzo ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli 20 katika ligi kuu ya Uingereza msimu huu unaoendelea.
Van Perseie…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 3:30pm — No Comments
Jamaa aliyenaswa na kamera yetu leo mchana akikatiza Barabara ya Sokoine karibu na makutano ya Barabara ya Mkwepu jijini Dar akiwa na furushi kubwa lenye chupa za plastiki katika kile kilichoonekana mishemuishe za kusaka noti.
PICHA : RICHARD…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 2:39pm — 3 Comments
DStv’s SuperSport 9East, a dawn of a new era for East Africa
Eleven am CAT on Friday, will usher in a new era in East African television, DStv will launch the latest addition to their already bulging 26 SuperSport channels, East Africa’s very own SuperSport 9East.
SuperSport 9East will air in the Democratic…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 12:09pm — 4 Comments
Mshahara sasa kwenda kwa mke
Maafisa katika jimbo la Gorontalo nchini Indonesia wamepata njia mpya ya kuhakikisha wake wa wafanyakazi wa serikali wanapata mgao wa kutosha wa mshahara wa waume…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 11:09am — 5 Comments
Kundi la Waislam wenye itikadi kali nchini Somalia, al-Shabaab, limetangaza kuwa linaungana na kundi la al-Qaeda.…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 10:47am — 8 Comments
“TUNAKUBALIANA na yote yaliyoandikwa humo na tuko tayari kumtunza na kumlea mtoto tutakayemchukua hapa kwa nguvu na juhudi zetu zote tukihakikisha anapata maisha yanayostahili.”
“Basi ni wakati wa ninyi kula kiapo mbele ya mwanasheria wetu.”
“Sawa sista,” walijibu kwa pamoja wakala kiapo na zoezi hilo lilipokamilika sista mkuu akauliza swali akiwataka wataje walihitaji mtoto wa jinsi gani na umri wake.
“Kuanzia miezi…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 10:36am — 3 Comments
ZIMEBAKI siku tatu tu ili ifike ile siku maalumu zaidi ulimwenguni kwa ajili ya wenzi kuoneshana namna wanavyopendana. Ni Sikukuu ya Wapendanao. Shamshamra kila kona.
Marafiki jambo kubwa ambalo nalizungumzia hapa ni namna ya kuifanya siku hiyo kuwa ya tofauti kabisa na siku nyingine au sherehe ya namna hiyo uliyowahi…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 10:33am — 2 Comments
Na Rhobi Chacha
MISS Tanzania mwaka 200, Richa Adhia amesema kuwa ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aliyemtaja kwa jina la Hridhaan Dhllon itafungwa siku chache zijazo.
Akizungumza na Ijumaa, Richa alisema kuwa, amekuwa akiulizwa juu ya ndoa yake huku wengine wakidhani imeyeyuka lakini akasema wako…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 10:23am — 7 Comments
MREMBO aliyepata umaarufu kupitia ushiriki wake kwenye Shindano la Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian amedondoka ghafla kwa presha na kukimbizwa hospitalini.
Kwa mujibu wa chanzo makini cha Ijumaa, Rehema alikutwa na hali hiyo kutokana na…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 10:16am — 5 Comments
-Ijumaa lashuhudia mmoja akifariki dunia mapokezi.
KUFUATIA mgomo wa madaktari unaoendelea, athari zimezidi kuwa kubwa kwa wagonjwa, Ijumaa limebaini.
Waandishi wetu walikuwepo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili juzi Jumatano na kushuhudia kifo cha Jonson Aseno (picha ya kulia) aliyefia mapokezi baada ya kukaa muda mrefu bila kupata huduma.
Akizungumzia tukio hilo, ndugu wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Philip alisema kifo hicho kimewahuzunisha sana…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 10:00am — 11 Comments
Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 10:00am — 10 Comments
Mtoto Cesilia Edward enzi za uhai wake.
Mtoto Cesilia Edward amefariki dunia juzi saa tano usiku wa tarehe 08 katika hospitali ya Regency ya hapa jijini Dar es Salaam ambapo alikuwa amelazwa kwa siku mbili kwaajili ya matibabu.
Marehemu Cesilia alikuwa na umri wa miaka…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 10:00am — 10 Comments
Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 10:00am — 11 Comments
MZEE Mwandambo akiwa ofisini kwake akiwaza namna ya kumpata Arthur, anapokea ujumbe kwa namba asiyoijua ukimueleza kila anachokifanya. Cha kushangaza, ulimwambia kuwa Arthur alikuwa amejificha Lindi.
Alihisi kuchanganyikiwa kabisa. Kitu cha kwanza kufanya ilikuwa ni kumpigia simu Ben na kumwuliza kama kuna mtu aliyewaona wakati wakiwatosa Zanzan na Peter majini. Alipomhakikishia kuwa hakuna, alimwambia kwamba aangalie wenzake wanaweza kuwa wamevujisha siri…

Added by GLOBAL on February 10, 2012 at 9:56am — 4 Comments
2012
2011
2010
1999
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
Dongonyo Juniour |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
kadama J'z |
| 5 |
Ukweli100 |
| 6 |
Quality Centre |
| 7 |
kaka |
| 8 |
lumi mwandelile |
| 9 |
Mawazo Katota |
| 10 |
ANDERSON SOGOLE |