saleh mohamed
 • zanzibar
 • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share

Saleh mohamed's Friends

 • Sarah c
 • Mohammed Saleh Issa Al Yahmedy
 • Glady-Cathy
 • Nia saleh
 • Anitha Cafrica
 • Egla Mamoto
 • leyla
 • devoter
 • Leyla khamis
 • Suzan (Black is my Beauty)
 • Mrs Tina allen
 • moses sarai
 • ASHA JEY
 • faisal tamimi
 • RAJAN HUSSEIN

saleh mohamed's Groups

saleh mohamed's Discussions

matokeo ya form 4

Started this discussion. Last reply by David Wagwene Sep 13, 2012. 10 Replies

hivi mnaonaje wadau kuh matokeo ya form 4?je ni nani wa kulaumiwa kati ya wizara necta au wanafunzi?

Gifts Received

Gift

saleh mohamed has not received any gifts yet

Give a Gift

 

saleh mohamed's Page

Latest Activity

Mwenda Namwanjila liked saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
Nov 17, 2012
Prince Dany liked saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
Oct 11, 2012
Gaston Kayombo liked saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
Sep 21, 2012
David Wagwene replied to saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
"NA HIYO IAMBATANE NA KUWAWEKEA WALIMU MAZINGIRA YA KUVUTIA KAMA KUWAONGEZEA MISHAHARA NA PENGINE KUWAJENGEA MAKAZI NA MABORESHO HAYO YAWE MARADUFU KWA WANAOENDA KUFANYA KAZI VIJIJINI.HII ITAPELEKEA WALIMU KUVUTIKA KWENYE HIYO FANI NA HIVYO TATIZO LA…"
Sep 13, 2012
David Wagwene replied to saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
"MIMI NAFIKIRI WIZARA YA ELIMU IKOMAE KATIKA KUHAKIKISHA INAONGEZA SHULE KADIRI IWEZAVYO NA HIYO ITASAIDIA SANA KUEPUSHA TATIZO LA USAFIRI KWA WANAFUNZI MAANA SHULE ZITAKUWA KARIBU.PIA KUHAKIKISHA INABADILI UFAULU WA WANAOPASWA KWENDA KUSOMEA UALIMU…"
Sep 13, 2012
daudi kisaka liked saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
Sep 4, 2012
FIKRA PEVU liked saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
May 20, 2012
Sware replied to saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
"Hey frinds my name is faker people gived me that name in american her home if you know you like sex chat with me hooooooooooooooooola"
Apr 10, 2012
Sware liked saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
Apr 10, 2012
dickson gideon best replied to saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
"daaah..wadogo zetu nowdayz awasomi kabisa so mambo lazima yawe magumu kwao..bt wizara nao wajipange kuinua elimu yetu."
Mar 26, 2012
Nehemia mathias replied to saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
"Kwanza mtihani wamefanya necta walaumiwe wanafunze wenyewe"
Feb 16, 2012
apolinary mtamelo replied to saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
"yap,,,,kwa hali inavyoendelea vitu hivi viwili vinachangia kwa umoja,,,yaani wanafunzi na balaza la mitihani,,,,,kwa upande wa wanafunzi ni dhahiri kabisa kuwa hawapo sirious katika masomo yao kwani baadhi yao wengi wamekuwa wakijitumbukiza katika…"
Feb 15, 2012
Alfred uisso replied to saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
"mimi naona wanfunzi hatupo serious, kwasababu tunafundishwa na walimu walikopwa, lugha nayo inatuchanganya, wate tulaumiwe, serikali na wanafunzi.  "
Nov 23, 2011
Alex D Nyagalu replied to saleh mohamed's discussion matokeo ya form 4
"Necta, kwan wanachofundish waalimu ni tofaut na yanayotoka kwenye mtihani wa mwisho."
Nov 14, 2011
saleh mohamed left a comment for RAJAN HUSSEIN
"Wel mrs rajan.nilipotea kwa mda ila nimerudi tena."
Jun 21, 2011
saleh mohamed and faisal tamimi are now friends
Jun 20, 2011

Profile Information

Name
saleh mohamed
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
[IJUMAA WIKIENDA]this the only media in tanzania to get uptodeted news
How did you know about Global Publishers
Newspaper

saleh mohamed's Photos

Loading…
 • Add Photos
 • View All

Comment Wall (3 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 5:38am on March 20, 2011, mtebwematefya mohamed matefya said…
sio picha mbaya umemuona lady gaga
At 11:45am on February 18, 2011, devoter said…
mambo vipi
At 8:22am on February 7, 2011, Sarah c said…
heeyy,thanx for being my first friend Mambo vipi?
 
 
 
UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 ZIMEBAKI:

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 7 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 3 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }