rutta chriat
  • Female
  • Dares-salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share Twitter
  • News Posts
  • Discussions (5)
  • Groups
  • Photos
  • Photo Albums
  • Videos

Rutta chriat's Friends

  • leyla
  • Rose D
  • UPENDO  MLAY
  • ummy
  • Chaz Rose
  • lilian ernest bitegeko
  • loveness faith

rutta chriat's Discussions

burudani

Started Jul 23, 2010 0 Replies

 kwanini wa sanii wengi wa bongo    walio  kwenye biashara ya muziki wengi wao ukiwasiliza historia zao wame kacha shule?

wanaume

Started this discussion. Last reply by Renatus Rwezahura Sep 17, 2010. 11 Replies

 kwanini wanaume walio wengi upenda wanawake ambao kiuchumi wako chini?

mapenzi

Started this discussion. Last reply by Dr. Jimmy Jan 7, 2011. 3 Replies

 je ni kwanini wanaume wengi hupenda wanawake ambao kiuchumi wako chini

 

rutta chriat's Page

Gifts Received

Gift

rutta chriat has not received any gifts yet

Give rutta chriat a Gift

Latest Activity

rutta chriat commented on Global Publishers's video
Feb 24, 2011
rutta chriat commented on GLOBAL's photo
Thumbnail

Dogo Janja

"dogo mkali"
Jan 22, 2011
rutta chriat commented on GLOBAL's photo
Thumbnail

Lulu

"lulu ur stupid, don late ur self die for stupidit"
Jan 22, 2011
Dr. Jimmy replied to rutta chriat's discussion mapenzi
"Kwa sababu ni watii kwenye ndoa zao na ili pia waweze kuwatala kiraisi ata akilala nyumba ndogo anamwambia alikuwa kwenye utafutaji"
Jan 7, 2011
rutta chriat left a comment for leyla
"leila how are u? happy new year"
Dec 31, 2010
rutta chriat and Rose D are now friends
Dec 31, 2010
suleiman swalehe replied to rutta chriat's discussion mapenzi
"Hilo swali ni rahisi ni ili waweze kuwatawala kirahisi wanawake hao ambao kiuchumi wako chini na vile vile wanatarajiwa kushika amri barabara, lakini kama kiuchumi wako juu mambo mengine watapinga kwa vile wana uwezo wa kuyafanya"
Dec 31, 2010
Kare Kwareh replied to rutta chriat's discussion mapenzi
"Sio kweli, wanaume wengi siku hizi wanapenda wanawake wenye kipato cha juu, chunguza utaona."
Dec 30, 2010
leyla and rutta chriat are now friends
Dec 26, 2010
rutta chriat left a comment for leyla
"mtoto we waukweli mbaya na huo ushungi umeniua mbaya"
Dec 23, 2010
rutta chriat commented on GLOBAL's video
Thumbnail

MSIKILIZE LULU LIVE!

"kana chezea maisha"
Dec 23, 2010
Renatus Rwezahura replied to rutta chriat's discussion wanaume
"hiyo ni kweli kabisa asilimia kubwa ya wanawake wenyenazo au wenyeuwezo kifedha ni pasua kichwa ndani ya familia dharau mtindo mmoja."
Sep 17, 2010
Nikumwitika James replied to rutta chriat's discussion wanaume
"ni kweli kabisa, ni kwamba, wanaogopa kuendeshwa"
Sep 15, 2010
justine baranyikwa replied to rutta chriat's discussion wanaume
"Hapo kuna sababu kadhaa,ila kama umechunguza na kugundua hilo basi ngoja tuchange!! Mafanikio ya mwanamke yapo ktk pande tatu. 1.Juhudi zake binafsi 2.Wazazi wake 3.Mwanaume. ukiona mwanamke amefanikiwa basi lazima amepitia kimoja kati ya…"
Aug 9, 2010
manka replied to rutta chriat's discussion wanaume
"ni akili potofu tu, wanahofia mwenye kipato kumzidi yeye atamtawala, mapenzi sio pesa wala mali jamani!"
Aug 9, 2010
vanesa rwerengera replied to rutta chriat's discussion wanaume
"Mimi niko tofauti kidogo.. Wanaume wa sasa wanataka wanawake wenye nazo sana ili: 1 wasaidiane kuinua uchumi wa familia, 2. mwanaume akiamini kuwa mkewe anaweza kusaidia familia wakati akiwa ayupo, wanafurahi kwa kuwa atapata nafasi ya kutanua. 3.…"
Aug 5, 2010

Profile Information

Name
RUTTA
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
ijummaa

Comment Wall (6 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 4:49am on August 7, 2010, Rose D said…
mmmh ,ahsante dia bt may b uko sahihi ila mie bado bibti mwaya... :-)
At 3:41pm on July 29, 2010, UPENDO MLAY said…
HONGERA SANA DADA, KWA KUMPATA MWENZI WAKO, MPENDANE, MSHIRIKIANE, NA MUMWOMBE MUNGU KWNI YEYE NDIYE MWANZILISHI WA NDOA. BE BLESSED.
At 5:18pm on July 23, 2010, Chaz Rose said…
nionavyo mm:mara nyng mtu yyt awe mwanaume au mwanamke km mko sawa kifedha ama kielimu mnakuwa hamuogopani!ila km ukizidiwa kimojawapo lzm utajihic mnyonge..mfn wapo wanaoitwa 'mzee' sabu tu wanapesa lkn niwatoto wdg.ndo mana wanaume wana2mia saikolojia hii kwa kuoa wanawake walio chini kifedha ama kielimu ili heshima iwepo ktk nyumba!
At 4:51pm on July 23, 2010, Chaz Rose said…
thanx dadaaa...
At 12:36pm on July 14, 2010, loveness faith said…
hey how are u?yes i love any body even u
At 5:48pm on July 13, 2010, Chaz Rose said…
ucogope dadangu,kwani hata wanyama wana haki ya kupendwa...
 
 
 


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
11 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
11 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
13 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago
kheri zewe commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"minyama uzembe"
13 hours ago
kheri zewe commented on GLOBAL's blog post AJINYONGA KWA MADAI YA UGUMU WA MAISHA
"duh ama kweli kila mtu na mawazo na fikra zake kwa hiyo huyu jamaa ameona shida za maisha dawa yake…"
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website