Gysper
  • Male
  • dar es salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share Twitter

Gysper's Friends

  • Anne's Duncan
  • claudia claud
  • May Suley
  • MBK 4 REAL

Gysper's Discussions

SMS YA MWISHO KATIKA SIMU YAKO...!

Started Nov 24, 2011 0 Replies

Please unaposoma hii thread lets you tell us what is the last sms in your mobile phone inboxmine sms ya mwisho kuingia imesemeka hivi;' Hi gaspa mzima? Niambie any progress!' from one of my client.

hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Started this discussion. Last reply by Aggrey Feb 23. 21 Replies

 hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?

Gifts Received

Gift

Gysper has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Gysper's Page

Latest Activity

Aggrey replied to Gysper's discussion hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
"Kwa mtazamo wangu mimi kwasababu cjui tume iliyoongoza uchaguzi huo kwamba ilikuwa na nia gani hasa coz inavyoonekana wako kwa ajili ya interest za CCM maana huwezi badili eneo la uchaguzi na uache kuwafahamisha wagombea WOTE au kuwawahisishia…"
Feb 23
hand samwel liked Gysper's discussion hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Feb 19
hand samwel replied to Gysper's discussion hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
"havari yako!! mi nafikiri chadema walikuwa sahihi zaid ingawa mchezo mchafu ulichezeka pale mpaka CCM wakashindwa kwa kweli hawa CCM inabidi tufanye kila njia kuwaondosha kabisa hawana maana kabisa"
Feb 19
dickson brown liked Gysper's profile
Jan 19
dickson brown liked Gysper's profile
Jan 19
Anne's Duncan and Gysper are now friends
Jan 11
Gysper liked MAKULILO Jr,'s blog post The Fulbright Junior Staff Development (JSD) Program for Tanzanians
Jan 1
Gysper replied to Gysper's discussion hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
"teh teh lakini Lema amewakazia buti sana kama angekuwa mbunge mwingine lelemama natumai angekubali kushindwa, ..."
Dec 13, 2011
Ally Jumanne replied to Gysper's discussion hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
"Chama wapo sahihi kwa masilahi ya wananchi wake tofaut ya ccm gamba limetawala na kusahau wayu wake wanateseka "
Dec 10, 2011
Gysper commented on Sixbert's photo
Thumbnail

,,WEMA kama KAWA!!!!!!!!!!!!!

"duuu dunia hadaa ulimwengu shujaa!!!"
Dec 8, 2011
Gysper liked Gysper's discussion SMS YA MWISHO KATIKA SIMU YAKO...!
Nov 24, 2011
Alfred uisso replied to Gysper's discussion hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
"chadema ni sahihi kabisa, ila ccm ndio king'ang'anizi!!"
Nov 23, 2011
Gysper liked GLOBAL's blog post STARTIMES YAPATA MGENI KUTOKA CHINA
Nov 12, 2011
jackline ntandu replied to Gysper's discussion hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
"CHADEMA wapo sahihi ccm wana ulafi na madaraka  "
Nov 10, 2011
manka replied to Gysper's discussion hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
"wanachi."
Nov 4, 2011
Gysper replied to Gysper's discussion hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
"kama chadema alishinda kwanini diwani ni wa CCM????"
Oct 15, 2011

Profile Information

Name
Gysper
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
no
How did you know about Global Publishers
Newspaper

Gysper's News

Hili la kukatika umeme fainali ya KAGAME CUP nani alaumiwe TFF au TANESCO?

Posted on July 11, 2011 at 2:30am 9 Comments

Hivi kweli inaingia akilini umeme kukatika katika fainali ya KAGAME CUP? Je kama mpira ndo ungekuwa dakika ya 199 na umeme umekatika ingekuwaje? Je nani alaumiwe TFF kwa uzembe wa kutojiandaa au TANESCO kukosa…

Comment Wall (1 comment)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 8:52am on February 17, 2011, Mikael Sanga said…
Ingekua Lugalo tungejinyonga!
 
 
 


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

othman Ochu posted a status
"SCENE 1 WAHUSIKA: AMIDU , SHARIFA MAHALI: ZANZIBAR MUDA : JIONI ( WAKIWA WANASHUKA TOKA KATKA BOTI YA JION KUINGIA KATKA MJI WA ZANZI"
9 hours ago
Priscus Adelard shared GLOBAL's blog post on Facebook
9 hours ago
mrembo commented on julius manning's photo
Thumbnail

Mtanzania huru

"pole sana usijali iko siku mungu atakujaalia mungu hamtupi mja wake"
10 hours ago
mrembo commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"mama mzima hayawani mavazi gani hayo takupa mfano chungwa likiwa halijamenywa unatamani ulile…"
10 hours ago
kaka commented on Ali Amur Ali's video
Thumbnail

AZIMIO LA KUANGAMIZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE

"hapo ni kina dada kutua comment zao"
10 hours ago
Gaston Kayombo commented on Ali Amur Ali's video
11 hours ago
roylicious and Jackson Jacob are now friends
11 hours ago
babu wa loliondo (cup) updated their profile
12 hours ago
julius manning commented on julius manning's photo
Thumbnail

vijana 2016 itakuwa hivi

"@furaha mimi ni kikongwe hayo ni kazi kwako."
12 hours ago
Masalu Mayeji Many'hasimha shared GLOBAL's blog post on Facebook
13 hours ago
kheri zewe commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Duh!

"minyama uzembe"
13 hours ago
kheri zewe commented on GLOBAL's blog post AJINYONGA KWA MADAI YA UGUMU WA MAISHA
"duh ama kweli kila mtu na mawazo na fikra zake kwa hiyo huyu jamaa ameona shida za maisha dawa yake…"
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website