abdullah Nassor has not received any gifts yet
tina babi left a comment for abdullah Nassor
Kimama Kinini commented on abdullah Nassor's photo
Kimama Kinini commented on abdullah Nassor's photo
Kimama Kinini commented on abdullah Nassor's photo
FortuneColman commented on abdullah Nassor's photo
fredrick mwoga kikwembe commented on abdullah Nassor's photo
tina babi said… tinalutunku@yahoo.com
Hello,
My name is Miss tina lutunku.
i saw your profile today and become interesting to know more about you. please i will like you respond to me at my private e-mail address (tinalutunku@yahoo.com) so that i will tell you more about my self and also give you my picture. and tell you the reason of contacting you. distance and color dose not matter what matters most is love. thanks for your understanding. i am waiting for your responds.
yours tina.
yustina paul nyama said… ni Vodacom Tz
yustina paul nyama said… siyo kiivyo weweeee!! nimekosa nini?
lajuj majuj said…
Jimmy said… Abdullah Nassor asante kwa kujibu swali langu ambalo nilikuomba unitajie japo mstari mmoja wa biblia ambao umepotoshwa. Umenitolea mfano wa mistari inayohusu tohara.
Kwa kuangalia mfano wako, nadhani unamaanisha kwamba, Agano la Kale ndilo sahihi na Agano Jipya kwa kiasi kikubwa ni uchakachuaji wa lile la Kale. Mimi nakubaliana na mtazamo kuwa Agano la Kale ni sahihi kabisa. Isipokuwa kuna mahali ambapo wengi wamepigwa chenga).
Abdullah mimi naomba niulize maswali kadhaa:
Je, uovu au wema wa mtu unakaa wapi? Je, ni kwenye mwili au kwenye moyo? Mtu akifa, kinachoenda mbinguni ni mwili au moyo? Nassoro, kama mtu ni mwovu, je, uovu wake unaweza kuondoka kwa kuondoa ngozi ya kwenye uume wake? Je, moyo unaweza kusafika kwa kuoga mwili?
Kile kilichofanyika katika agano la kale kilikuwa ni mfano wa jambo halisi ambalo Mungu alitarajia tulifanye. Haikuwa kusudi lake tuishi kwa kufuata mifano badala ya uhalisia. Nadhani nijambo lililo wazi kabisa kwamba usafi wa kweli ni ule unaofanyika moyoni; si mwilini. Ndio maana ya tohara ya rohoni.
Na mimi napenda nikuongezee mifano zaidi ya aina hii uliyoitoa. Ni mifano ya mambo ambayo yalifanyika kimwili katika Agano la Kale pamoja na maana yake iliyokusudiwa katika Agano Jipya. Jambo hilihili nimelieleza kwa kirefu kidogo kwenye makala yangu moja ambayo unaweza kuipata kwa kubofya HAPA.
Mimi napenda kujadiliana juu ya masuala ya Mungu. Kwa hiyo, nitafurahi kama tukijadiliana zaidi na zaidi. Mungu akubariki.
salma shaban said… | 1 |
GLOBAL |
| 2 |
NDAUKA the GREAT |
| 3 |
julius manning |
| 4 |
LJH_3 |
| 5 |
Tatu Majaliwa |
| 6 |
hope |
| 7 |
mayalilwa |
| 8 |
steven emmanuel |
| 9 |
Matilanga Lukingita |
| 10 |
tina babi |
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Mohammed Mar 26. 6 Replies 0 Likes
JE, NI KWELI KWAMBA KIPIGO CHA BAO 2-1 ILICHOKIPATA MAN UTD KUTOKA KWA REAL MADRID USIKU WA KUAMKIA LEO LAWAMA ZOTE ZIMWENDEE MWAMUZI WA MCHEZO AU MAN UTD WAJILAUMU WENYEWE? TUPE MAONI YAKO!!!
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Ali Abdalla Ali Apr 22. 20 Replies 8 Likes
Tumeshuhudia kwa siku za hivi karibuni hali halisi iliyokuwa inatokea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, kwa hali hii ni ishara kuwa Spika na Naibu wake washindwa kuliongoza bunge hilo?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by Phinehas Rishiansia Kileo May 3. 6 Replies 3 Likes
Wafuasi wa CCM wakimshambulia mfuasi wa Chadema mkoani Dodoma…
Tags: BENDERA, WA, DODOMA, NANI, KULAUMIWA?
Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by NELSON UVAMBE on Monday. 27 Replies 5 Likes
HIVI KARIBUNI KUMEKUWEPO UPOTEVU WA AMANI HAPA NCHINI PAMOJA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI. MKOANI KAGERA WANANCHI WENYE HASIRA WALIWAUA POLISI, IJUMAA ILIYOPITA WAKULIMA NA WAFUGAJI HUKO WILAYANI KILOSA WALIZUA VURUGU NA KUFUNGA BARABARA,…
Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by Domino Bagambisa Jan 21. 17 Replies 4 Likes
Kiungo hatari wa Azam FC, Mrisho Ngassa leo amepelekwa Simba SC kwa mkopo na timu yake…
Tags: SOKA
Started by GLOBAL in Habari. Last reply by Billy Frank Irungu Apr 26. 118 Replies 21 Likes
Tags: NCHINI, HAPA, UNAFURAHIA, HUDUMA, ZAKE?
Started by Gysper in Siasa. Last reply by Jamal amor May 9. 24 Replies 4 Likes
hivi ni nani yuko sahihi kuhusu uchaguzi wa UMEYA arusha CCM au CHADEMA?
Started by Kulikoni Ughaibuni in Siasa. Last reply by richardngeze Feb 12. 12 Replies 9 Likes
Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa linaloikabili ni kuwa na Rais ambaye takriban…
© 2013 Created by Global Publishers.



