VICKY WILSON
  • Female
  • DAR ES SALAAM
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share Twitter
  • News Posts
  • Discussions (2)
  • Groups
  • Photos
  • Photo Albums
  • Videos

VICKY WILSON's Friends

  • Growing Up African

VICKY WILSON's Discussions

BONGO MOVIES SUBTITLES

Started this discussion. Last reply by Mawazo Katota Dec 10, 2012. 15 Replies

Jamani watanzania wenzangu, katika suala zima la movie zetu za nyumbani subtitles za kingereza imekuwa tatizo sana kiukweli!!!!!! najiuliza inakuwaje movie imeandikwa majina kibao, utakuta producer,…

Gifts Received

Gift

VICKY WILSON has not received any gifts yet

Give a Gift

 

VICKY WILSON's Page

Latest Activity

Mawazo Katota replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
"Hapa sasa ukisema ukweli utakuwa adui wa kila mtu. Kwa sababu wapenzi wa bongo movie ni wengi na hawako tayari kusikia au kuona wanakosolewa. Maoni yangu ni kwamba kama kweli tunataka kuuza nje basi tuingie gharama ya kuepusha aibu ama uongo. Wako…"
Dec 10, 2012
Mtanganyika Masalia liked VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
Oct 6, 2012
Rose Kiondo liked VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
Sep 19, 2012
David Wagwene replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
"BORA MSEME LABDA ITASAIDIA KULETA MAPINDUZI"
Sep 13, 2012
meggie impostra replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
"GUD JOB WANGU MUNGU AKUBARIKI WANATUSHOSHA TU HAWA NA MOVIE ZAO SOMETIMES"
Aug 12, 2012
Harieth George replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
"Poa congrats kwa kipaji"
Jul 29, 2012
yahya liked VICKY WILSON's profile
Jul 6, 2012
yahya liked VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
Jul 6, 2012
flower mtumbi liked VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
Jun 27, 2012
sada pravin replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
"hahahahahahahahaha haya bhana "
Jun 10, 2012
jojoz replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
Jun 3, 2012
Brian Timboi replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
"I also offer to chip in a hand of help, yeah the subtitle translation is a bit wanting i have seen it in most movies"
Apr 23, 2012
Simoma replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
"Kwanza nawapongeza kwa hapa walipofikia,ninacho waomba waachane na kitu umimi na wafanye kazi ya fani, ili movies au michezo ipendeze lazima ushilikiano kati ya mtunzi na muogozaji pamoja na wasanii na yule mtu wa mwisho Ambae ni mzalishaji…"
Mar 26, 2012
Halifa Rama replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
"Ndo maendeleo hayoooo!!"
Nov 20, 2011
Annie Sexy replied to VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
"Sherry, umesema wewe ni translator by ????? ha ha ha ha wale wale........"
Sep 9, 2011
Stella Lugoga liked VICKY WILSON's discussion BONGO MOVIES SUBTITLES
Aug 25, 2011

Profile Information

Name
VICKY WILSON
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
IJUMAA, LOVELY NEWS
How did you know about Global Publishers
Newspaper

Comment Wall (1 comment)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 10:30pm on July 29, 2011, samwel pambe said…
tatizo watanzania wengi wana penda kuangalia rey na kanumba ndiyo wanaona bora sn ktk tasinia ya filam ila wajue akuna lolote sanasana ukiangalia movie zao kuwavalisha wasichana vinguo vifupi wengine atakukaha inakuwa shida sisi tuna baki kujionea vichupi, azifundishi mahadili ya mtanzania kabisa na hao wadosi muangalie kazi tume choka kuona vichupi utamaduni huo atuna kama mmeshindwa hualisia tafuteni kazinyingine, na hao wasichana jieshimuni basi halaaaaaaaaaaaaaaa
 
 
 

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by TZ on Tuesday. 1 Reply

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 21 hours ago. 12 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by maleka sakeha 22 hours ago. 30 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 21. 88 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KILA MARA, TATIZO NI NINI?

Started by GLOBAL in Habari. Last reply by mark gibson Nov 28. 46 Replies

VITENDO VYA KUKAMATWA WATANZANIA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SASA VIMEZOELEKA. KATIKA NCHI MBALIMBALI WATANZANIA WAMEKUWA WAKIKAMATWA KWA UBEBAJI WA MADAWA HAYO. JE, TATIZO NI NINI? NA NINI KIFANYIKE?

Tags: MARA, TATIZO, NI, NINI?, KILA

JESHI LA POLISI KUTOA MILIONI 100 KWA ATAKAYEWEZESHA KUPATIKANA WAHALIFU WANAOMWAGIA WATU TINDIKALI NI KWAMBA LIMESHINDWA KAZI?

Started by GLOBAL in Maisha. Last reply by mark gibson Nov 30. 84 Replies

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.Jeshi la Polisi…

SIMBA SC WAMTUPIA VIRAGO JUMA KASEJA

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by mark gibson Nov 22. 12 Replies

TIMU ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango wake mahiri, Juma…

JE, NI SAHII KWA JESHI LA POLISI KULIPUA MABOMU WAKATI WANANCHI WAKIAGA MIILI YA WENZAO?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by mark gibson 43 minutes ago. 37 Replies

Juzi (Jumanne) polisi walilipua mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wamekusanyika katika Viwanja vya Soweto jijini Arusha kwa ajili ya kuaga miili ya wenzao watatu waliopoteza maisha katika…

TOP NEWS WEEK HII

© 2014   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }