GLOBAL
 • Dar es Salaam
 • Tanzania, United Republic Of
Online Now
Share on Facebook
Share

GLOBAL's Friends

 • Grace Nyarara
 • Mussa Mdaili
 • Daudi Charles Ngosha
 • Joseph Paul
 • Jamyoh James
 • Erick Ngula, NJ
 • Joshua Luoga
 • Eliado Elias Adolf
 • mesia samwel sambo
 • Mallesa
 • kokusima rwakilomba
 • Shaban Abraham
 • Felix Ngoja
 • khairunisai said
 • ISSA MACUMI

GLOBAL's Discussions

EWURA YASHUSHA BEI YA MAFUTA NI KUANZIA KESHO JANUARI 7, 2015‏

Started Jan 6 0 Replies

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura),…

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started this discussion. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 5 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started this discussion. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 18 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la…

Tags: VURUGU

Profile Information

Name
Uwazi
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
Uwazi..the best kwa kuweka mambo wazi....
How did you know about Global Publishers
Newspaper
 

GLOBAL's Page

GLOBAL's Photos

 • Add Photos
 • View All

GLOBAL's News

KAZI YA MOCHWARI NA LAANA ZA MAITI - 23

Posted on March 31, 2015 at 9:29am 0 Comments

ILIPOISHIA:

“Baada ya kuzuia utaiingiza dawa sehemu hizo hakikisha maiti inayozikwa siku ya pili ikiwezekana na wewe uwepo kwenye mazishi hayo, baada ya kuondoka chukua mchanga wa kaburini na kuja kuumwaga ndani ya chumba cha kuhifadhia maiti na usiku uoge maji ya maiti. Hapo kazi itakuwa imekwisha, hata wakukamate na nini hawatakuwa na nguvu ya kukufanya chochote.”“Tutashukuru,” alisema Somati.SASA ENDELEA...        

Baada ya maelezo yale…

MIAKA MINNE NDANI YA MAPANGO YA AMBONI-4

Posted on March 31, 2015 at 9:25am 0 Comments

ILIPOISHIA

Wakati ninakimbia nilikuwa nimeweka mikono yangu mbele ili kujihami endapo nitaelekea kwenye ukuta wa pango. Kuweka mikono yangu mbele kulinisaidia kwani mara kadhaa niliacha njia bila kujua na kujitia kwenye kuta. Akili yangu ilipotulia niliacha kukimbia kwa kuona nilikuwa ninazidi kujipoteza ndani ya pango hilo, nikawa natembea kwa mwendo wa kawaida huku nikipapasa kuta za pango kutafuta njia.SASA ENDELEA....

Macho yangu yalipozoea…

MWANAMKE ALIVYOMFANYA ZEZETA KAKA YANGU - 2

Posted on March 31, 2015 at 9:25am 0 Comments

“Tunafurahi kukuona leo. Mimi ndiye baba wa Edgar Ugonile na huyu ni mama yake mzazi, bila shaka mdogo wake huyu, Jerome mnafahamiana, hebu tufahamishe, hali ya mwenzako huko Malawi,” alisema baba.

Ipacho aliwaangalia wazazi wangu na kuanza kutiririkwa na machozi. Wote tulipigwa na butwaa! SONGA NAYO.

“Sasa kijana unapolia unatutia wasiwasi mkubwa, tueleze kama mtoto wetu amefariki dunia,” akasema baba.

Wakati baba anasema hayo nilimuona mama akifuta machozi kwa kutumia…

MWOKOTA CHUPA ZA MAJI - 17

Posted on March 31, 2015 at 9:24am 0 Comments

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:

Baada ya kupata juisi, Linda alimchukua mwokota chupa wake hadi kwenye maduka ya ndani, hasa yale yanayouza nguo za kiume...

“Hiyo suruali ya jinsi ni bei gani?” aliuliza Linda...

“Elfu arobaini,” alijibiwa.

“Ha! Linda, huyu kijana ni nani wako?”

SASA ENDELEA...

Linda alishtuka kusikia sauti ya mama yake ikimuuliza kwa nyuma.…

Comment Wall (90 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 12:51pm on February 21, 2015, pikachuaa said…
At 12:51pm on February 21, 2015, pikachuaa said…
At 12:32am on January 1, 2015, Chakachua said…
Happy new year
At 6:43pm on December 3, 2014, Chakachua said…
Membaz wamegoma kutoa maoni yao mkaona bora mtoe wenyewe!!
At 8:13am on October 29, 2014, Mohammed Nasser Abdullah said…

rushwa ndio inazaa hiyo tanzania inatawaliwa na rushwa kibao kiasi uhai wa binadamu hamna thamani.

viongozi hodari sana kutoa pole kwenye vifo lakini wazembe kuchukua hatua kwa wavunja sheria. wabunge, mawaziri sijui kazi yao gani kama siyo kuomba posho zaidi na kuimba bungeni na wengine kama shekhe hadi kulia kwenye bunge sasa katika kuhakikisha sheria inatendeka ni vizuri alie sana.

At 9:53am on October 15, 2014, Mary Lisa said…
At 3:18pm on September 29, 2014, Mohamed ramadhani said…
Jaman global mbn mnatufanyia hvyo why ckhz story amtuekei mpk mnaboa jaman
At 7:40pm on August 15, 2014, Kheri Wakudeka said…
Big up tim zima ya glob mko poaa mahabari yenu yananibamba ujumbe kuchepuka janga la taifa tuache kuchepuka
At 7:34pm on August 15, 2014, Kheri Wakudeka said…
Kuradhi pepo
At 7:33pm on August 15, 2014, Kheri Wakudeka said…
jamani ili pepe mbona mnalisingizia kila siku pepe ndio mkosaji mimi wakili wa pepe Kheri wakudeka@yahoo.com
 
 
 

NI SUPERMARKET GANI BORA KULIKO ZOTE KATI YA HIZI? NA KWA NINI? TOA MAONI YAKO!
  

Forum

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by cantonna Mar 18. 2 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by penina mwailunda on Thursday. 2 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 1 Reply

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 1 Reply

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 5 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 18 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 32 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

JUAN MATA KUTUA MANCHESTER UNITED ATASIADIA KULETA MATOKEO BORA BAADA YA TIMU KUSUASUA?

Started by GLOBAL in Burudani. Last reply by 278l80orb0i39 Mar 4. 90 Replies

Juan Mata anataraji kutua Manchester United akitokea klabu ya Chelsea ya…

TOP NEWS WEEK HII

Latest Activity

Khaled Shams posted a status
5 minutes ago
Khaled Shams posted a status
5 minutes ago
Khaled Shams posted a status
5 minutes ago
Khaled Shams posted a status
5 minutes ago
Khaled Shams posted a status
6 minutes ago
Khaled Shams posted a status
6 minutes ago
Khaled Shams posted a status
7 minutes ago
Khaled Shams posted a status
7 minutes ago
Khaled Shams posted a status
7 minutes ago
GLOBAL posted blog posts
10 minutes ago
Profile IconGlobal Publishers via Facebook
Thumbnail

MAMA AWAFUNGIA NDANI WANAYE 3 KWA MIAKA 10 NI mambo ya kushangaza sana ambayo yamenaswa na…

See More
Facebook14 minutes ago · Reply
wawanboediono posted a status
15 minutes ago

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }