GLOBAL
GLOBAL
  • Dar es Salaam
  • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share Twitter

GLOBAL's Friends

  • mshuka remija
  • Rajabu mgaya
  • uba jumanne salim
  • Delly peter mandah
  • johnson mukubwa
  • Richi Mambo
  • lodrick elifadhili j
  • Kamanyola
  • simon sakalani
  • Sheb kilz
  • Rose
  • Elibariki Yona
  • abbassi ibrahim
  • Nelson kamnde
  • Mpokigwa Jackson

GLOBAL's Discussions

JE, MAXIMO ATASHANGILIA TIMU GANI KATI YA BRAZIL NA TAIFA STARS JUNI 7?

Started this discussion. Last reply by oscar theobard Jun 7, 2010. 1 Reply

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Stars, Marcio Maximo ambaye pia ni raia wa nchini Brazil, Jumatatu ijayo Juni 7 atakuwa na wakati mgumu kuchagua timu gani aishangilie kati ya timu yake anayoifundisha ya…

God Bless You.... Now, and Always....

Started Apr 17, 2010 0 Replies

When I was a kid, my mom liked to make breakfast food for dinner everynowand then. And I remember one night in particular when she madebreakfastfor dinner after a long, hard day at work. On that…

Tags: story, good

KINA ‘KLITSCHKO’ WAENDELEA KUTAMBA LAKINI KWA NINI TV ZA MAREKANI HAZIONYESHI MAPAMBANO YAO?

Started Apr 12, 2010 0 Replies

Vitali KlitschkoSiku chache zilizopita Wladmir Klitschko aliendeleza wimbi la ushindi pale alipofanikiwa  kumtwanga Eddie Chambers wa Marekani kwa KO raundi ya 12.katika pambano la uzani wa juu la…

Profile Information

Name
Uwazi
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
Uwazi..the best kwa kuweka mambo wazi....
How did you know about Global Publishers
Newspaper
 

GLOBAL's Page

GLOBAL's Photos

  • Add Photos
  • View All

GLOBAL's Videos

  • Add Videos
  • View All

GLOBAL's News

GLOBAL

WASANII WAKALI KUSHIRIKI SHOO DAR LIVE JUMAPILI

Posted on February 10, 2012 at 4:00pm 0 Comments

Mwana FA akielezea jinsi atakavyofanya makamuzi ya nguvu.

Ambwene Yessayah…

GLOBAL

VAN PERSIE ATWAA TUZO YA KUFIKISHA MAGOLI 20 UINGEREZA

Posted on February 10, 2012 at 3:30pm 0 Comments

Robin van Persie akiwa na tuzo yake ya mtu wa kwanza kufikisha magoli 20.

MCHAWI wa soka wa timu ya Arsenal ya Uingereza, Robin van Persie, jana alitunukiwa tuzo ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli 20 katika ligi kuu ya Uingereza msimu huu unaoendelea.

Van Perseie…

GLOBAL

VITANI TENA...

Posted on February 10, 2012 at 3:24pm 0 Comments

GLOBAL

MWANAUME AKISAKA MAPESA JIJINI DAR ES SALAAM

Posted on February 10, 2012 at 2:39pm 3 Comments

Jamaa aliyenaswa na kamera yetu leo mchana akikatiza Barabara ya Sokoine karibu na makutano ya Barabara ya Mkwepu jijini Dar akiwa na furushi kubwa lenye chupa za plastiki katika kile kilichoonekana mishemuishe za kusaka noti.

PICHA : RICHARD…

Comment Wall (39 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 1:48pm on December 6, 2011, Saumu Ali OmariSaumu Ali Omari said…

ni kweli kabisa kuna wapenzi huwa wanakwaza.

At 6:48pm on November 26, 2011, steven makoisteven makoi said…

wazee kwaniaba ya wananchi wa wilaya ya simanjiro mkoani manyara naomba nifikishe kwenu kilio kinachotukabili.Ukosefu wa usambazaji wa magazeti yaani huwa hatujui matukio mengi yanayotokea ni mpaka mtu ajekutoka chuga ndio tunapata taarifa kwamba kuna tukio flani limetokea na hiyo inawezekana tukapata habari wiki baada ya tukio.

At 12:17pm on November 11, 2011, vanilavanila said…

nawapongeza sana global kazi kubwa mnayofanya kuelimisha na kufurahisha jamii.

mimi ni mjasiliamali mdogo ninaishi kigoma natamani sana kufikiwa na hiyo elimu ya shigongo nimejaribu kuuliza huku kwetu haijafika naomba mnisaidie kuipata kwani nimeuchoka umaskini adress yangu aminastationery@yahoo.com

At 5:32pm on November 8, 2011, Olivia  Mathias LyatuuOlivia Mathias Lyatuu said…
CLOBAL TUNASHUKURU KWA KUPA HABARI MBALIMBALI LAKINI PUNGUZENI KUWAANDIKA WASANII UCHWARA KWA HABARI AMBAZO HAZINA MAANA.
At 7:59am on September 12, 2011, SOSPETERSOSPETER said…
INAUMA SAANA ILA LA MSINGI TUWAOMBEE MAREHEM WEWNGINE WALIKUWA WAMEJIANDAAA ILA WENGINE WALIKUWA BABO TUWAOMBEE WOTE MUNGU ASIWAACHE KWENYE UTUKUFU WAKE.AMEN
At 9:41pm on August 29, 2011, miraji rashidmiraji rashid said…
aserna hao ndo man u tena hizo chache but poleni by miraji mpwapwa ttc
At 9:09pm on August 29, 2011, miraji rashidmiraji rashid said…
jaman lulu vp usuper star mzigo wa mwiba huwezi kuubeba
At 2:39pm on July 26, 2011, NURU.H. KITEREBUNURU.H. KITEREBU said…
nawapongeza sana global kwa kazi mnayofanya, . je huyu jamaa anayetembea na shuka la hosp. aalitoka hosp kuja sokoni kufuata matunda au ametoroka. Ilibidi mpiga picha baada ya kupata picha angemuhoji kujua kilichomsibu jamaa
At 4:54pm on July 15, 2011, FURAHA TAUSIFURAHA TAUSI said…
GLOBAL MPO JUU SANA KWA KUPEKUA PEKUA HILO NAWAPONGEZA SANA
At 10:30am on July 15, 2011, ERNEST NDAUKAERNEST NDAUKA said…
napenda kuwa katika safu ambazo unaweza kuchangia vitu vya maana kama hapa. kwanza nawapongezeni sana katika mchakato huu. ila kwangu ni swala hili la kupanda bei ya Mafuta ya TAA na Kukatika UMEME inakuwaje Serikali inashindwa kudhitibi ongezeko la Mfuta ya Taa wakati Mafuta ya Taa yanatumika sana kuliko hiyo disel na Petrol au kisa wao wana magari yakifahari? labda kutokana wanataka kuagiza magari mengi kwahiyo mafuta ya Disel yakiwa juu wataishindwa kuagiza? Ebu serikali ijalibu kuangalia kuna watu wapo kijijini wao hawajui umeme wanajua mafuta ya taa. je endapo kama mafuta yasipo pungua bei Miti na Misitu vijijini itapona? nazani hakuna haja ya kuwa na Askari wa Misitu! Narudi kwa kampuni ya Tanesco Hapa kuna mkono wa mtu ambao ndio unatufanya sisi tuishi katika hali ya giza mafuta ya TAA bei JUU umeme wa MGAO je sisi tutaishi vipi katika Nchi yetu wenyewe. MIAKA 50 BILA NYERERE, BILA UMEME, KUPANDA BEI YA MAFUTA inawezekana?
 
 
 

ADVERTISEMENT

TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Profile Icon
kalisa bruno taifa commented on Dongonyo Juniour's photo
aaaaaaaaaaaaa hata million pound unaweza kutoa
19 minutes ago
Profile Icon
Profile Icon
Profile IconProfile Icon
sophy and mency mgl are now friends 28 minutes ago
Profile Icon
nance liked GLOBAL's blog post 'Shilole aifungukia stori yake ya kubakwa' 36 minutes ago
Profile Icon
mency mgl left a comment for neema molleli
I LIKE YA PROFILE 
50 minutes ago
Profile Icon
mency mgl commented on mency mgl's photo
Hunizidi mimi FURAHA, yani nawapenda sana wote wawili
1 hour ago
Profile Icon
18 blog posts by GLOBAL were featured 1 hour ago
Profile Icon
Blog posts by GLOBAL 1 hour ago
Profile Icon
julius manning commented on GLOBAL's blog post 'KATUNI...'
atampa kila kitu !!!!! sijamwelewa kabisa !!
1 hour ago
Profile Icon
julius manning commented on GLOBAL's blog post 'Uwoya, Wema, Kajala wanatumia dozi'
kichwa cha habari kina uzito mkubwa mi nilifikri wana dozi ya Mzee wa Loliondo
1 hour ago
Profile Icon
mwachali.rogers commented on GLOBAL's blog post 'Caf yaitosa barua ya Yanga SC'
Yanga acheni uoga mnadhani hata caf wakikubali ichezwe 1 mnafikiri itafanyika hapa bongo? Bora…
1 hour ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service