Sebastian Salatiel Shemhilu
 • Male
 • Dar Es Salaam
 • Tanzania, United Republic Of
Share on Facebook
Share

Sebastian Salatiel Shemhilu's Friends

 • Precious Tuma
 • THE BIG CHILL
 • ABDALLAH BALAWAZI
 • Alice Nyar Manyalla
 • safinyasa
 • SHAFII JABILI
 • henry mwakajumba.
 • ANSBERT JUSTUS
 • Alicia Okoh
 • FRANK ISAYA
 • leyla said
 • asha khamis bawes
 • LOVE
 • neema molleli
 • MRS Willy(good mother)

Sebastian Salatiel Shemhilu's Discussions

KUNA HAJA KWA SERIKALI KUANGALIA JINSI YA KUFUFUA KUMBI ZA STAREHE KAMA ZA DDC ILI KUIINGIZIA SERIKALI MAPATO!

Started Jan 12, 2011 0 Replies

Kama kuna vitu ambavyo vilianzishwa enzi za Rais Nyerere ni kumbi za starehe kama za DDC,hivi hizi kumbi zikijengwa upya tena kisasa itakuaje kama si kuongezea serikali mapato?maana hapa Dar es…

HIVI TAIFA STARS ITAENDELEA KUFUNGWA MAGOLI MENGI MPAKA LINI?

Started this discussion. Last reply by Yasi m.marandu Aug 17, 2011. 10 Replies

Kutokana na Timu yetu kufungwa magoli matano na Misri hapa juzi kwenye mashindano ya mto Nile kwa kweli imeleta simanzi sana kwa wadau wa soka hapa nchini,hivi hamna njia sahihi ya kujifunza kutokana…

HIVI SERIKALI HAIONI TAABU ZA WANANCHI WAKE HALI INAYOPELEKEA MAANDAMANO KILA KONA YA NCHI?

Started Jan 12, 2011 0 Replies

Maandamano ndio njia sahihi ya kuomba haki yako mwananchi,kule ARUSHA NA DODOMA hivi karibuni tumeshuhudia maandamano ya kufikisha ujumbe kwa viongozi wetu hasa walilala na kulewa na madaraka,huko…

HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?

Started this discussion. Last reply by Ramadhan mbwambo Feb 28, 2013. 16 Replies

Leo asubuhi kwenye taarifa ya habari kupitia television ya Taifa niliona kitu cha ajabu,pale nilipoona mpaka watoto wanahojiwa taabu wanayopata kupitia kukwama kwa safari yao kwa njia ya treni kwa…

 

Sebastian Salatiel Shemhilu's Page

Latest Activity

Ramadhan mbwambo replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
"Watengeneze reli ili iwe wako sane na mzee,Mabasi ya MTOTO hayatafanya kazi.hujui kwamba Huo ni maradi aw watu."
Feb 28, 2013
richardngeze replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
"Hawa ni majambazi tu, viongozi hatuna!"
Feb 12, 2013
julius manning replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
"umesema kweli dogo"
Nov 1, 2012
Valentine Joachim Muhe replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
"Wanasiasa siyo watu wa kuchezea kwa kuwa na uongo mwingi. Taia kila wakati iko kwenye misaada bila kikomo, wakati rasilimali tuazoo za kutosha. Tazama misitu, madini na maziwa. Mustakabali wa taifa letu haupatikani kwa kuwachekelea wawekezaji bali…"
Oct 2, 2012
Valentine Joachim Muhe replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
Oct 2, 2012
David Wagwene replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
"KUSEMA UKWELI INAHUZUNISHA KUONA VIONGOZI WETU HAWANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI.NAFIKIRI YOTE HII INATOKANA NA KWAMBA WAO SIO WAHANGA.NAWASHAURI WABADILIKE."
Sep 13, 2012
mayalilwa replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
"Wanasiasa wapo wengi tu ila wanadhibitiwa, mnakumbuka zengwe alilopandikiziwa mzee wetu SALIM AHMED SALIM katika kinyang'anyiro cha nani ateuliwe kupitishwa katika nafasi ya kugombea nafasi ya urais toka ndani ya chama tawala mwaka 2005?"
Sep 7, 2012
Jamal Aadamu liked Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
Jun 11, 2012
Sebastian Salatiel Shemhilu liked GLOBAL's photo
Jun 7, 2012
Sebastian Salatiel Shemhilu commented on GLOBAL's photo
Thumbnail

SIMBA 5, YANGA 0

"MARAFIKI WANAPOKUTANA UWANJANI INAKUAJE?"
Jun 7, 2012
Sebastian Salatiel Shemhilu liked GLOBAL's blog post Milovan: Mafisango ndiyo injini ya Simba SC
Apr 16, 2012
Daniel Sanga replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
"hawawajibishe wahucka "
Apr 12, 2012
Daniel Sanga replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
"hapana mi naona hawana uchungu,na wala hawana mwelekeo wakuwa na uchungu hivyo basi watanzania ni wakati wa kufunguka hawa jamaa waachie dola 2015,ili wachukue wale wenye uchungu na wananchi wao, "
Apr 12, 2012
kaka replied to Sebastian Salatiel Shemhilu's discussion HIVI KWELI VIONGOZI WETU WANA UCHUNGU NA WANANCHI WANAOSAFIRI KUPITIA RELI YA KATI?
"  SASA MLITAKA RAIS AFANYE NINI?"
Dec 24, 2011
Soudi Hussein Saidi left a comment for Sebastian Salatiel Shemhilu
"ahaaaaaaaa"
Dec 20, 2011
Sebastian Salatiel Shemhilu commented on Novatus Mugumira's photo
Thumbnail

tugut

"ULEVI NOMA"
Oct 24, 2011

Profile Information

Name
Sebastian
Your favorite Global Publishers Newspaper and Why ?
I like CHAMPION NEWS PAPER BECAUSE I LIKE TO READ ABOUT FOOTBALL WORLDWIDE AND IN OUR COUNTRY
How did you know about Global Publishers
Newspaper

Comment Wall (34 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 9:40am on December 20, 2011, Soudi Hussein Saidi said…

ahaaaaaaaa

At 11:11am on July 5, 2011, asha khamis bawes said…
viiiiiiiiiiiiiiiiipi jamaniiii?kimya mbona kikubwa  mno hata salaaam umeadimika kama  umeme
At 11:50am on May 13, 2011, Miriam John Mndolanga said…

Hongera sana Seba mchango wako unaoutoa katika kuchangia mada unaeleweka sana.

Keep it up!!!!!!

At 3:38pm on March 24, 2011, safinyasa said…
sawa nimekuhelewa tutakuwa tunaongea tu hakuna shida yeyote . ndio mimi niko mzima saana sijuhi wewe huko
At 5:37pm on March 22, 2011, asha khamis bawes said…

kaka mimi  nipo  wewe 2

 

At 3:53pm on March 22, 2011, Alice Nyar Manyalla said…
hapana sio pic  yangu ila nampenda sana huyo dogo!!
At 3:36pm on March 21, 2011, safinyasa said…

ndio nimepaona lakini hata fasi ya ku chat uweunakuja tu ni vizuri .

At 2:39pm on March 18, 2011, Alice Nyar Manyalla said…
yaan ilikuwa heavy!!
At 10:02pm on March 10, 2011, safinyasa said…

naomba unijibu tafadhali.

 

 

 

 

At 9:59pm on March 10, 2011, safinyasa said…
hi sebastian  habari yako ni mimi safi nyasa napenda huwe rafiki yangu unaonaje?
 
 
 
UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2015 ZIMEBAKI:

Forum

MIEZI MITANO IMEBAKI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU, TOVUTI YA TUME YA UCHAGUZI HAIPO HEWANI

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 7 Replies

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damiani Lubuva.IKIWA imebaki miezi…

Tags: NEC

ONGEZEKO LA VITENDO VYA UKAHABA NCHINI TANZANIA BILA UDHIBITI WA MAMLAKA HUSIKA, JE UFANYWE UJASILIAMALI?

Started by sebastian yordan luhanga in Maisha. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

naleta mjadala huu kwenu, kuhusu ongezeko la kutisha la vitendo vya ukahaba nchini kwetu, mbaya zaidi ni kwa vijana wadogo na wengine ni wasomi na wenye uwezo wa kifedha, cha ajabu mamlaka husika ni kama zimefumba macho na kuweka pamba masikioni na…

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?

Started by daniel paul in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 8 Replies

JE? WAYAJUA MADHARA YA UTABIRI WA MATUKIO HAZARANI KATIKA USALAMA WA NCHI?NDOTO ZA URAISI katika kitu cha kustaajabisha, na cha kushangaza, Utakubaliana na mimi kua kumeibuka tabia ya watu na baadhi viongozi tena wengine wa nyazifa za uwaziri KUTOA…

MIUNDO MBINU TANZANIA

Started by Elibahati DAVID AKYOO in Siasa. Last reply by ages agae Sep 5. 3 Replies

Watanzania wenzangu, naomba nisaidiwe hili jambo ambalo limekuwa sugu hapa nchi,kila ikifika kipindi cha uchaguzi barabara zinaanza kuchimbwa hasa vijijini na maeneo ya nje ya miji,je, hii ni aina nyingine ya rushwa au ninini?na kama ni aina…

OKWI ANAIGHARIMU SIMBA, VIONGOZI WAMUANGALIA KWA JICHO LA TATU

Started by Erick Angelo in Soka. Last reply by ages agae Aug 15. 5 Replies

Hakuna haja tena ya kufichana, Okwi anaifanya Simba kama timu ya bonanza!!Lakini ajue Simba imeshindwa kuwavumilia kina Kwizera, Mbiyavanga, Gervais Kago, Ssentongo n.k yawezekana hawa wote walikuwa wana viwango kuzidi Okwi wakati wanatua…

Tags: Okwi

TETESI: BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI HILI HAPA

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 6 Replies

Katika hali ambayo haikutarajiwa, rais Kikwete amefanya mabadiliko makubwa katika baraza lake la mawaziri. Mabadiliko hayo ambayo yatatangazwa kesho jioni yamewatupilia mbali watuhumiwa wa ufisadi sambamba na wazembe katika utendaji.  Waliotupwa…

Tags: SIASA

POLISI KUPAMBANA NA WANAHABARI, WAFUASI WA CHADEMA NANI ALAUMIWE?

Started by GLOBAL in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 21 Replies

Jeshi la Polisi likiwa na silaha pamoja na mbwa, Septemba 18, mwaka huu limepambana na wafuasi wa Chadema na wanahabari waliofika katika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar kufuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe…

Tags: VURUGU

KIU YA WATANZANIA NI IPI, SERIKALI MBILI AU TATU?

Started by Global Publishers Ltd in Siasa. Last reply by ages agae Aug 16. 33 Replies

Kitendawili kilichopo katika taifa leo kwa sasa ni juu ya serikali ngapi zinafaa kuelekea kupata Katiba Mpya, Serikali mbili au Serikali tatu?TOA MAONI YAKO HAPA!

Tags: katiba, siasa

Latest Activity

noyon biswas posted a status
1 minute ago
Shakil Hasan posted a status
5 minutes ago
tay pan posted a status
7 minutes ago
tay pan posted a status
7 minutes ago
tay pan posted a status
7 minutes ago
tay pan posted a status
7 minutes ago
vitalia posted a status
8 minutes ago
kemon kamen posted a status
""
9 minutes ago
liveespn50 posted a status
10 minutes ago
liveespn50 posted a status
10 minutes ago
liveespn50 posted a status
10 minutes ago
liveespn50 posted a status
10 minutes ago

© 2015   Created by Global Publishers Ltd.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

.fb-wrap { width:50%; margin: 0 auto; } .fb-like-box, .fb-like-box span, .fb-like-box span iframe[style] { width: 100% !important; }