Mawazo Katota has not received any gifts yet
Aminael FF said… Asante sana Mawazo kwa kunitakia kheri ktk siku yangu ya kuzaliwa, ubarikiwe sana!!!!
Jimmy said… Ni kweli kabisa kuzimu kuna serious business. Maana huko ndiko wanga wanakoenda kupata nguvu zao, wafanyabiashara wanaenda kupata njia za kupata fedha, wasanii wanaenda kupata njia za kuwa maarufu, n.k. Lakini Katota, mkuu wa kuzimu ambaye ni shetani ana aliye MKUU zaidi aliyemweka humo. Huyo aliye MKUU zaidi ana uwezo wa kuingia na kutoka humo muda wowote kama apendavyo.
Jimmy said…
Apple & mangoe said…
Adam Chumbani said… Thanx Bro!
Charo Kateta said… Nashukuru sana.
JOJO John said… Katota,
Nimatumaini yangu hujambo, ndugu yangu nimependa comment yako kuhusu madawa ya urevi. keep it up mean.
God bless you.
Regards,
Christopher Simwitta said… Thanks
Jimmy said… Ni sahihi kabisa ndugu yangu Katota. Na hayo maandalizi yanayotakiwa ni ya sentensi moja tu. Yesu Kristo anasema hivi: pasipo mimi ninyi hamwezi kufanya neno lolote. (Yohana 15:15). Anachotaka tufanye hasa si kuwa na dini au kufanya matendo mema, maana hatuwezi. Bali anasema: Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami. (Ufunuo 3:20).
Kwa Katota rafiki yangu, kama umeshafanya hivyo, basi yeye atafanya yale ambayo sisi hatuwezi. Kama bado, changamkia dili hiyo ambayo ni bora kuliko zote! Ubarikiwe.
lumi mwandelile said… hapo umenena, sio kazi yetu kujua huyo mama alizaa na nani kikubwa tumsaidie huyo kijana ili hao wadogo zake mapacha wapone. wadau tujitoe tumtembelee muhimbili huyo mtoto na kumpa chochote. kutoa ni moyo. ukifika muhimbili uliza wodi ya makuti
| 1 |
GLOBAL |
| 2 |
julius manning |
| 3 |
Man KKK |
| 4 |
chama baby |
| 5 |
Sili Silali |
| 6 |
IL-YA |
| 7 |
msichoke mlugu |
| 8 |
mohd nasser |
| 9 |
Maji Marefu |
| 10 |
Hellen Attarsingh Gupta |
Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
