Kulikoni Ughaibuni
  • Male
  • United Kingdom
Share on Facebook
Share Twitter

Kulikoni Ughaibuni's Friends

  • Zindy Abdallah
  • Cindy J
  • Saumu Ali Omari
  • laitayo alice
  • kuruthum seifu
  • Shania curves mlendo
  • neema molleli
  • filongwe m

Kulikoni Ughaibuni's Discussions

Je Kuna Ukweli Katika Madai Kuwa Wanaume wa Kibongo Si Waaminifu Ktk Mahusiano?

Started Sep 21, 2011 0 Replies

Kama kuna hoja inayotawala zaidi kuliko nyingine kwenye blogu na maandiko…

Siasa Kando Kidogo,Tuongelee Mahusiano: Jinsi ya Mwanaume Kudili na "Kubwagwa"

Started Sep 21, 2011 0 Replies

Kama ilivyozoeleka,blogu hii inaelemea zaidi katika masuala ya siasa.Lakini kuna…

Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"

Started this discussion. Last reply by john samwel Mar 12. 7 Replies

Tanzania tuna tatizo kubwa.Hakuna haja ya kunyoosheana vidole as to nani amechangia tatizo hilo bali cha muhimu na haraka ni namna tutakavyoweza kutatua tatizo hili.Nisimung'unye maneno: tatizo kubwa…

RSS

Loading… Loading feed

Gifts Received

Gift

Kulikoni Ughaibuni has not received any gifts yet

Give a Gift

 

Kulikoni Ughaibuni's Page

Latest Activity

venance vicent liked Kulikoni Ughaibuni's discussion Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"
May 7
john samwel replied to Kulikoni Ughaibuni's discussion Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"
"Hata ww ni muuaji!!!!! utamtukanaje kiongozi wako na bado anakuongoza? Wewe ni chadema acha ujinga unafki. kawadanganye wachaga!!!!!"
Mar 12
Excellent Motto replied to Kulikoni Ughaibuni's discussion Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"
"taratibu mkuu"
Feb 22
Cindy J and Kulikoni Ughaibuni are now friends
Feb 18
Kulikoni Ughaibuni updated their profile
Jan 30
Kulikoni Ughaibuni and Zindy Abdallah are now friends
Jan 30
samora rajab albert commented on Kulikoni Ughaibuni's blog post RAIS KIKWETE AMEFUNGUA MILANGO
"yeah, wasome zinasaidia sana, hongera kwa makala nzuri"
Jan 26
Kulikoni Ughaibuni's blog post was featured

RAIS KIKWETE AMEFUNGUA MILANGO

Rais Kikwete msibani kwa marehemu Mbunge Regia Mtema.Evarist ChahaliKWA mara ya pili ndani ya takriban kipindi cha wiki moja, Tanzania imepoteza wabunge wawili. Kabla majonzi hayajatuisha kutokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA, Regia Mtema, taifa likapatwa na msiba mwingine wa Mbunge wa Arumeru Mashariki…See More
Jan 26
Kulikoni Ughaibuni posted a blog post

RAIS KIKWETE AMEFUNGUA MILANGO

Rais Kikwete msibani kwa marehemu Mbunge Regia Mtema.Evarist ChahaliKWA mara ya pili ndani ya takriban kipindi cha wiki moja, Tanzania imepoteza wabunge wawili. Kabla majonzi hayajatuisha kutokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia CHADEMA, Regia Mtema, taifa likapatwa na msiba mwingine wa Mbunge wa Arumeru Mashariki…See More
Jan 26
lucas mgaya replied to Kulikoni Ughaibuni's discussion Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"
"KWA KWELI WAPINZANI MNATUCHANGANYA MKIPEWA NAFASI MNASHINDWA KUTIMIZA AHADI ZENU MNABAKIA KUJINUFAISHA NYINYI TU NA FAMILIA ZENU. BORA CHAMA TAWALA KIENDELEE NA KAZI MAANA WAO KAZI YAO NZURI ISIPOKUWA WATU BINAFSI TENA WACHACHE AMBAO TUNAWAMUDU ILA…"
Jan 2
manka replied to Kulikoni Ughaibuni's discussion Kauli Ya JK kuwa Mauaji ya Arusha ni "Bahati Mbaya"
"kwa hiyo wewe ulitaka awafufue? kwanza kuwa na uhakika kwa mambo unayoandika, ulitaka watu wengi waumie kwa sababu ya upumbavu wa watu wachache? acha porojo zako tumechoka na maandamano ya uchochezi, tunataka maandamano yenye manufaa. ungetumia…"
Nov 4, 2011
FURAHA TAUSI commented on Kulikoni Ughaibuni's blog post Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu!
"SAFI SANA"
Oct 18, 2011
lumi mwandelile commented on Kulikoni Ughaibuni's blog post Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu!
"somo zuri"
Oct 17, 2011
julius manning commented on Kulikoni Ughaibuni's blog post Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu!
"somo lako nimelipenda"
Oct 16, 2011
Kulikoni Ughaibuni posted a blog post

Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu!

Simba, Nyati, Faru, Chatu....haya ndiyo majina ya wanyama yanayoweza kukujia akilini pindi ukiulizwa MNYAMA YUPI NI HATARI ZAIDI KWA MWANADAMU. Well, amini usiamini, kiumbe hatari zaidi ni mdogo mara elfu kadhaa akilinganishwa kiumbo na hao majabali tunaowafahamu. Na udogo wake si katika umbile pekee bali pia hata sauti yake ni ndogo kulinganisha na mbwa, paka au mbuzi,…See More
Oct 16, 2011
Kulikoni Ughaibuni's blog post was featured

Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu!

Simba, Nyati, Faru, Chatu....haya ndiyo majina ya wanyama yanayoweza kukujia akilini pindi ukiulizwa MNYAMA YUPI NI HATARI ZAIDI KWA MWANADAMU. Well, amini usiamini, kiumbe hatari zaidi ni mdogo mara elfu kadhaa akilinganishwa kiumbo na hao majabali tunaowafahamu. Na udogo wake si katika umbile pekee bali pia hata sauti yake ni ndogo kulinganisha na mbwa, paka au mbuzi,…See More
Oct 16, 2011

Profile Information

Name
Kulikoni Ughaibuni
How did you know about Global Publishers
Other websites

Kulikoni Ughaibuni's News

RAIS KIKWETE AMEFUNGUA MILANGO

Posted on January 26, 2012 at 1:30am 1 Comment

Rais Kikwete msibani kwa marehemu Mbunge Regia Mtema.

Evarist Chahali

KWA mara ya pili ndani ya takriban kipindi cha wiki moja, Tanzania imepoteza wabunge wawili. Kabla majonzi hayajatuisha kutokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia…

Viumbe Hatari Kabisa Duniani, Anayeshika Namba Moja Ni Mbu!

Posted on October 16, 2011 at 12:30am 3 Comments

Simba, Nyati, Faru, Chatu....haya ndiyo majina ya wanyama yanayoweza kukujia akilini pindi ukiulizwa MNYAMA YUPI NI HATARI ZAIDI KWA MWANADAMU. Well, amini usiamini, kiumbe hatari zaidi ni mdogo mara elfu kadhaa akilinganishwa…

Mwezi Kupatwa Leo Usiku na Utaonekana Kama Umemwagiwa Damu

Posted on June 14, 2011 at 3:00am 14 Comments

Wakazi wa Uingereza leo Jumatano watapata fursa ya kuona kupatwa kwa mwezi ambapo mwezi unatarajiwa kugeuka "mwekundu kama damu" kwa takriban dakika 100. Hata hivyo, wanasayansi wa taasisi ya mambo ya anga ya Marekani (NASA) wanaeleza kuwa wakazi wa Ulaya…

Comment Wall (2 comments)

You need to be a member of Global Publishers to add comments!

Join Global Publishers

At 8:47am on June 17, 2011, hafidh saleh said said…

yeah ni kweli mwezi ulipatwa,na kiukweli wanasayans wanatisha, ila si ulaya tu kwani hadi bagamoyo 2meuona

 

At 12:57am on November 28, 2010, Kulikoni Ughaibuni said…
Sorry,I'm not interested.
 
 
 


ADVERTISEMENT


TANGAZA HAPA

ADVERTISEMENTS

Latest Activity

Sili Silali liked GLOBAL's blog post PSI YATOA SEMINA YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI KATIKA MABAA NA VILABU YA POMBE JIJINI MBEYA
2 hours ago
Theddy Jacob liked GLOBAL's blog post SETH AFUNGUKIA PENZI LA LULU, KANUMBA
4 hours ago
Saleh Jadid Saleh commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Kumbe ww Ilya Upo Iran? nilikuwa sijui mpaka nimesoma profile yako, nakuhurumia kwa kusema uongo…"
8 hours ago
asha liked GLOBAL's blog post Mapenzi ni fursa, iheshimu kwa maana haiji mara mbili
8 hours ago
IL-YA replied to Hussein Marandu's discussion UMMA WA KIISLAM NA KUJENGA JUU YA MAKABURI:Kwanini ukweli huu unafichwa? in the group UKUMBI WA KISLAMU
"Dada Saumu,@ kuhusu kupotea kaburi la mama yako,nakupa pole sana kwa hilo,na hilo limetokana na…"
9 hours ago
chiya left a comment for Jazihina Jaziu
"hi jazihina vipi hali sorry nimechelewa kukujibu  "
10 hours ago
chiya left a comment for chiya
"hi vipi hali sorry nimechelewa kukujibu "
10 hours ago
kajerekani commented on Sili Silali's photo
Thumbnail

Gold digger

"hii ni kali ya mwaka"
11 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
Matata Mpili shared GLOBAL's blog post on Facebook
12 hours ago
arthur moore commented on IL-YA's blog post Dubai:House girl,achanganya mkojo wake na chakula cha mwajiri wake!.Huko Singapore nako wembe ni ule ule!
"Ooh!! asante IL-YA kwa hiyo habari kweli waarabu sio watu wengi wao hawana utu kabisaa na watoto…"
13 hours ago

© 2012  

Designed & Developed by
G5 CLICK COMPANY.

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

How to make a Website